Amerika yaadhibu spika wa Uganda kwa kupitisha sheria inayoharamisha ushoga na usagaji
NA MERCY KOSKEI AMERIKA imefutilia mbali visa ya spika wa bunge la kitaifa wa Uganda Anita Among, baada ya kupitisha sheria za kutotambua mashoga na wasagaji nchini humo. Kulingana Asuman Basalirwa, aliyewasilisha mswada huo, ujumbe huo wa kufutilia mbali visa ya sasa ya spika huyo ulithibitishwa kupitia barua pepe. Akinukuu ujumbe huo baada Rais wa Uganda Yoweri […]