United, Spurs zamtaka Rudiger

Mtanzania
Published: Dec 08, 2021 08:26:42 EAT   |  Sports

MADRID, England MANCHESTER United na Tottenham zimejitosa kuiwania saini ya beki wa Real Madrid, Antonio Rudiger. Mkataba wa nyota huyo utakwisha mwishoni mwa msimu huu na tayari ameonesha nia ya kuondoka Stamford Bridge. Ujio wa klabu mbili hizo kwenye mbio za kumtaka Rudiger unaweza kuwa habari mbaya kwa Real Madrid inayomfukuzia kwa muda mrefu sasa. […]

MADRID, England

MANCHESTER United na Tottenham zimejitosa kuiwania saini ya beki wa Real Madrid, Antonio Rudiger.

Mkataba wa nyota huyo utakwisha mwishoni mwa msimu huu na tayari ameonesha nia ya kuondoka Stamford Bridge.

Ujio wa klabu mbili hizo kwenye mbio za kumtaka Rudiger unaweza kuwa habari mbaya kwa Real Madrid inayomfukuzia kwa muda mrefu sasa.

Katika hatua nyingine, Man United na Liverpool zimevamiwa na Atletico Madrid katika kuifukuzia huduma ya kinda wa umri wa miaka 18 anayekipiga FC Dallas, Ricardo Pepi.