Smart Africa Group yafuturisha wadau, watoto Dar

Mtanzania
Published: Apr 27, 2022 08:36:39 EAT   |  Business

Sheikh wa Wilaya ya Ilala, Adam Mwinyipingu aliyemwakilisha Mufti Mkuu Sheikh Abubakar Zuber akizungumza jambo wakati wa futari iliyoandaliwa na Kampuni ya Smart Africa Group (SAG) kwa wadau wao wa biashara na watoto yatima wanaolelewa katika Msikiti wa Mtambani, Dar es Salaam jana jioni.
Ofisa Mtendaji wa Kampuni ya Smart Africa Group (SAG),Emmanuel Kawedi akizungumza jambo wakati wa futari iliyoandaliwa na kampuni hiyo kwa wadau wao wa biashara na watoto yatima wanaolelewa katika Msikiti wa Mtambani, Dar es Salaam jana jioni.