Yanga yaicha Mbeya City ikiandika rekodi mpya

Mwanaspoti
Published: Nov 26, 2022 18:04:46 EAT   |  Sports

MATOKEO ya leo Yanga ikiichapa Mbeya City mabao 2-0 inafikisha mechi 49 bila kupoteza mchezo wowote kwenye ligi pia inazidi kujiimarisha kukaa kileleni, ikifikisha pointi 32, katika mechi 12 iliyozocheza.