
Watakaopewa tiketi Yanga ni hawa
Published: May 25, 2023 17:22:25 EAT | Sports
MZUKA wa pambano la kwanza la fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Yanga na USM Alger unazidi kupanda na mabosi wa klabu hiyo wametoa ufafanuzi wa mgao wa tiketi za bure zilizotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan na makampuni mbalimbali kwa ajili ya mechi hiyo