Wajumbe RT wafukuzwa ukumbini uchaguzi mkuu

Mwanaspoti
Published: Nov 27, 2022 09:00:05 EAT   |  Sports

Wajumbe wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT) wametimuliwa ukumbini dakika chache kabla ya kuanza mkutano mkuu na uchaguzi mdogo mjini Dodoma.