Vita ya Mayele, Kagere Kariakoo Derby iko hapa

Mwanaspoti
Published: Dec 08, 2021 09:05:12 EAT   |  Sports

Makali ya safu za ushambuliaji za Simba na Yanga katika siku za karibuni huenda yakaifanya mechi ya watani wa jadi baina ya timu hizo, Jumamosi kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa ikawa na idadi kubwa ya mabao.