Uchaguzi Simba kufanyika Januari 29

Mwanaspoti
Published: Nov 26, 2022 13:09:20 EAT   |  Sports

KAMATI ya Uchaguzi wa Klabu ya Simba imetangaza rasmi kufanyika uchaguzi wake mkuu Januari 29 mwakani.