Skauti Simba akabidhi mastraika watatu, afunguka kuhusu Dube

Mwanaspoti
Published: Apr 02, 2024 16:45:41 EAT   |  Sports

Tunaendelea na mahojiano na skauti mkuu wa Simba, Mel Daalder na hapa anafunguka mambo mbalimbali yanayohusu usajili wa Wekundu hao, lakini akiweka wazi kwamba tayari kuna mashine tano ameshaziwasilisha kwa mabosi wa klabu hiyo.