Simba yaizidi mkwanja Yanga

Mwanaspoti
Published: Nov 26, 2022 09:09:34 EAT   |  Sports

KAMA kuitika basi waliitika kwenye Uwanja wa Liti mjini hapa. Mashabiki waliojitokeza kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Singida Big Stars dhidi ya Simba wameizidi mechi ya Dodoma Jiji na Yanga kwenye uwanja huohuo.