Simba waibua mazito mkataba wa GSM na TFF

Mwanaspoti
Published: Dec 08, 2021 15:53:55 EAT   |  Sports

Uongozi wa Simba umepanga kugomea kuvaa jezi zenye nembo ya mdhamini mwenza wa Ligi Kuu, kampuni ya GSM kwa madai ya kutokuwepo kwa uwazi wa mkataba kati ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na kampuni hiyo uliosainiwa mwezi uliopita.