NYUMA YA PAZIA: Timothy George Weah nyumbani ni wapi hasa?

Mwanaspoti
Published: Nov 27, 2022 09:44:57 EAT   |  Sports

MMAREKANI mmoja mjivuni akiwa katika ubora wake aliwahi kutuambia ‘New York sio jiji, ni dunia’. Ndivyo Wamarekani walivyo. Wajivuni. Wanajipenda. Hawaamini kama kuna dunia nyingine nje ya Marekani. Huyu alikwenda mbali zaidi kwa kuamini kwamba hakuna dunia nyingine nje ya Jiji la New York