NIONAVYO: World Cup linaanza kuwa Kombe la Dunia

Mwanaspoti
Published: Nov 26, 2022 11:10:23 EAT   |  Sports

WATU husema mambo yanav yobadilika ndivyo yanavyorudi yalipokuwa.Timu inaifunga Argentina na kutangaza siku ya mapumziko nchi nzima.Tukio la kwanza lilikuwa ni ushindi wa mabao 4-2 wa Uruguay dhidi ya Argentina kwenye fainali za kwanza za Kombe la Dunia na la pili ni ushindi wa Saudi Arabia wa mabao 2-1 dhidi ya Messi na Argentina katika Kombe la Dunia linaloendelea Qatar.