
Minziro awekwa nje Geita
Published: May 25, 2023 12:47:04 EAT | Sports
KIMENUKA huko Geita Gold wakati ligi ikiwa inaelekea ukingoni mambo yamekuwa sivyo kwa wachimba madini hao ambao makocha wa timu hiyo kumekuwa na tofauti juu ya mikataba yao dhidi ya uongozi.