Mgunda atoa msimamo wake Simba

Mwanaspoti
Published: Nov 26, 2022 08:49:00 EAT   |  Sports

KOCHA Mkuu wa Simba, Juma Mgunda ametoa msimamo mkali wa kusimama na wachezaji wake kwa matokeo yoyote yale huku akiwaonya mashabiki kuacha kuwashambulia badala yake wawape sapoti.