Mastaa sita KMC pancha

Mwanaspoti
Published: Nov 26, 2022 11:30:15 EAT   |  Sports

KMC FC inakabiliwa na changamoto ya wachezaji sita tegemeo ambao ni majeruhi ndani ya kikosi hicho ambapo kwasasa wanaendelea na matibabu,kwa mujibu wa Ofisa Habari, Christina Mwagala.