Kumbe bao nyingi zina gundu Kombe la Dunia

Mwanaspoti
Published: Nov 26, 2022 11:15:00 EAT   |  Sports

HISPANIA imeichapa Costa Rica mabao 7-0 katika mechi ya kwanza ya Kundi E kwenye fainali za Kombe la Dunia 2022 huko Qatar juzi Jumatano.