Fei Toto: Yanga hii acheni, afunguka walichowazidi Simba

Mwanaspoti
Published: Nov 26, 2022 10:22:36 EAT   |  Sports

BAADA ya Simba kuangusha pointi nyingine mbili dhidi ya Mbeya City, staa wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ ametamka kwamba huu ni mwaka wao tena na kuna kila dalili kuwa hakuna wa kuwazuia kirahisi.