Chomoka na Ndinga ndio mpango mjini

Mwanaspoti
Published: Nov 23, 2022 14:17:01 EAT   |  Sports

Zikiwa zimepita siku chache tokea kuanza kwa michuano ya Kombe la Dunia huko nchini Qatar, Kampuni ya michezo ya kubahatisha Parimatch Tanzania imewapa wateja wake na wadau wote wa kubeti mchongo wa kujishindia gari mpya na ya kisasa kabisa, simu janja pamoja na bodaboda kutoka katika kampeni yao ya Chomoka na Ndinga.