Bares na mitihani minne Prisons

Mwanaspoti
Published: Feb 01, 2023 10:51:03 EAT   |  Sports

KOCHA mpya wa Tanzania Prisons, Mohamed Abdalah 'Bares' yupo viunga vya Jiji la Mbeya tayari kwa kuanza majukumu mapya na Wajelajela hao ambao Ijumaa watakipiga na Mtibwa Sugar, Uwanja wa Sokoine kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara.