Barbara: Kishindo kinakuja, Simba kufyeka mastaa

Mwanaspoti
Published: Nov 27, 2022 08:24:36 EAT   |  Sports

MABOSI wa Simba wamekerwa na kitendo cha timu yao kudondosha pointi kwenye mechi za ugenini na wamekubaliana kwamba hakuna namna dirisha dogo la usajili lazima watumie pesa timu irudi kwenye ubora wake katika baadhi ya maeneo.