Usiku huu!! Waziri Mkuu Majaliwa atangaza ratiba’Ukitaka kumuaga Mzee Mwinyi’

Milard Ayo
Published: Feb 29, 2024 23:40:26 EAT   |  News

Ni Usiku huu ambapo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatangaza ratiba ya shughuli ya Mazishi ya Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa Tanzania, Ally Hassan Mwinyi ambae alifariki Dunia Februry 29,2024 saa 11:30 jioni Hospitalini Jijini Dar es salaam alipokuwa akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa saratani ya mapafu. Unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi na zaidi.

Ni Usiku huu ambapo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatangaza ratiba ya shughuli ya Mazishi ya Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa Tanzania, Ally Hassan Mwinyi ambae alifariki Dunia Februry 29,2024 saa 11:30 jioni Hospitalini Jijini Dar es salaam alipokuwa akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa saratani ya mapafu.

Unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi na zaidi.