Tommy Flavour katuletea hii video mpya ‘Lay down’

Milard Ayo
Published: Mar 31, 2022 09:40:11 EAT   |  Entertainment

Ni Mkali kutokea lebo ya Kings Music, Tommy Flavour ambae time hii ametuletea hii video mpya ya wimbo wake uitwao Lay Down.

Ni Mkali kutokea lebo ya Kings Music, Tommy Flavour ambae time hii ametuletea hii video mpya ya wimbo wake uitwao Lay Down.

Unaweza ukabonyeza play kuutazama kisha usisahau kuandika neno lolote ili mkali huyo akipitia asome mlichomuandikia.