Picha:Bawacha wamjulia hali Prof. Jay Muhimbili Dar es Salaam

Milard Ayo
Published: Mar 17, 2022 17:05:12 EAT   |  Entertainment

Viongozi wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA) akiwemo Kaimu Mwenyekiti baraza hilo Sharifa Suleiman wamemtembelea Mwanamuziki, Profesa Jay aliyelezwa Hospitali ya Taifa Muhimbili akipatiwa matibabu.

“Tumekuja katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya kuja kumuona Kamanda mwenzetu, kiongozi mwenzetu, Profesa Jay kiukweli tumemuona na tuna kila sababu ya kuendelea kumuombea”- Sharifa

.

“Tunapendana kumpa moyo Mama Profesa Jay asivunjike moyo hii ni mitihani ya Mungu, naamini maombi yetu tunaendelea kumuombea Profesa Jay atapona na tutaendelea kuwa naye katika harakati za kiasiasa na hata katika muziki tutaendelea kuwa naye,” amesema Sharifa.

.

MAPYA YAIBUKA VIDEO YA PROF.JAY AKIWA ICU ‘TCRA WANACHUNGUZA, SIO MAADILI YA KITANZANIA’