Picha: Suma Mnazaleti arudi kwenye game, afanya hili usiku wa kuamkia leo

Milard Ayo
Published: Mar 11, 2023 14:10:29 EAT   |  Entertainment

Ni usiku wa Machi 10, 2023 ambapo  wa muziki wa Bongo Fleva Suma Mnazaleti  aliandaa party na kuwaalika watu mbalimbali ikiwa kama na ujio wa kurudi rasmi katika game ya muziki wa Bongo Flevani baada ya muda wa miaka kadhaa kukaa kimya. Hafla hiyo ilifanya Dar es Salaam na hapa nimekusogezea baadhi ya picha ushuhudie […]

Ni usiku wa Machi 10, 2023 ambapo  wa muziki wa Bongo Fleva Suma Mnazaleti  aliandaa party na kuwaalika watu mbalimbali ikiwa kama na ujio wa kurudi rasmi katika game ya muziki wa Bongo Flevani baada ya muda wa miaka kadhaa kukaa kimya.

Hafla hiyo ilifanya Dar es Salaam na hapa nimekusogezea baadhi ya picha ushuhudie kile kilichojiri katika Ujio huo wa Suma Mnazaleti na miongoni mwa mastaa wasingeli waliohudhuria hafla hiyo ni Mzee wa Bwax na Sholo Mwamba.

.
.
.
.
.
.

.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.