
‘Nishati imefanya maonesho ya Karne’- Mwijage
Published: May 31, 2023 10:32:23 EAT | News
Ni Mei 31, 2023 Mbunge wa Muleba Kaskazini, Charles Kaijage amesema maonesho ya #WikiYaNishati yanayoendelea katika viwanja vya Bunge, ni ‘maonesho ya karne’. Mwijage amesifu namna ambavyo kupitia maonesho hayo ameweza kupata majibu yote kuhusu umeme katika jimbo lake. Wabunge wengine waliochangia katika #BajetiYaNishati, nao wamepongeza maonesho hayo hususan ubunifu na matumizi.
Ni Mei 31, 2023 Mbunge wa Muleba Kaskazini, Charles Kaijage amesema maonesho ya #WikiYaNishati yanayoendelea katika viwanja vya Bunge, ni ‘maonesho ya karne’.
Mwijage amesifu namna ambavyo kupitia maonesho hayo ameweza kupata majibu yote kuhusu umeme katika jimbo lake.
Wabunge wengine waliochangia katika #BajetiYaNishati, nao wamepongeza maonesho hayo hususan ubunifu na matumizi.