Mrembo aliyejenga nyumba 3, aliacha kazi “Moja Milioni 280, wananiita Freemason”

Milard Ayo
Published: Mar 11, 2023 10:31:19 EAT   |  Business

Katika msimu huu wa Malkia wa Nguvu tunakukutanisha na Petronila Mmasi ambaye ni Mwanamke Mwenye umri wa miaka 29 aliyekuwa ameajiriwa katika moja ya hospitali hapa nchini lakini baadaye aliamua kuachana na kazi hiyo nakujiairi. Ayo TV & Millardayo.com imefanya nae mahojiano ya kina kuhusu biashara yake.  

Katika msimu huu wa Malkia wa Nguvu tunakukutanisha na Petronila Mmasi ambaye ni Mwanamke Mwenye umri wa miaka 29 aliyekuwa ameajiriwa katika moja ya hospitali hapa nchini lakini baadaye aliamua kuachana na kazi hiyo nakujiairi.

Ayo TV & Millardayo.com imefanya nae mahojiano ya kina kuhusu biashara yake.