Mkali wa Nigeri Adekunle Gold katuletea hii collabo yake akiwa na Ty Dolla Sign

Milard Ayo
Published: Feb 21, 2022 09:30:21 EAT   |  Entertainment

NI Mkali kutokea Nigeria, Adekunle Gold ambae time hii ametuletea hii collabo yake mpya aliyoifanya na msanii wa Marekani Ty Dolla Sign.

NI Mkali kutokea Nigeria, Adekunle Gold ambae time hii ametuletea hii collabo yake mpya aliyoifanya na msanii wa Marekani Ty Dolla Sign.

Wimbo huo mpya unakwenda kwa jina la One Woman, unaweza ukabonyeza play kuusikiliza hapa.

BILLNAS APIGA MAGOTI NA KUMVISHA PETE YA UCHUMBA NANDY MBELE YA WAZAZI WAKE ‘MAHARI MILIONI 10’