Mkali Kusah ametuletea hii single yake ‘Wasi Wasi’, isikilize hapa

Milard Ayo
Published: Feb 22, 2023 14:58:43 EAT   |  Entertainment

Ni Mkali kutokea Bongo Flevani, Kusah ambae time hii ametuletea hii single mpya iitwayo Wasi Wasi. Single hiyo imetayarishwa na producer Cukie Dady, unaweza ukabonyeza play kuisikiliza hapa.

Ni Mkali kutokea Bongo Flevani, Kusah ambae time hii ametuletea hii single mpya iitwayo Wasi Wasi.

Single hiyo imetayarishwa na producer Cukie Dady, unaweza ukabonyeza play kuisikiliza hapa.