Gunna na Chloe wametuletea hii video mpya ‘You and Me’ itazame hapa

Milard Ayo
Published: Feb 22, 2022 09:20:20 EAT   |  Entertainment

Ni Mkali Gunna akiwa na Chloe wametuletea hii video mpya ya wimbo wao uitwao You and Me.

Ni Mkali Gunna akiwa na Chloe wametuletea hii video mpya ya wimbo wao uitwao You and Me.

Wawili hao wameonekana kuwa na ukaribu usio wa kawaida na kuleta tafsiri kwamba huenda wakawa katika mahusiano, hapa itazame video mpya ya wimbo wao uitwao You and Me.