Good news kutoka GSM zikufikie popote ulipo ukae kama mtu na hii kubwa kabisa ASANTE CARD

Milard Ayo
Published: Feb 01, 2023 13:36:30 EAT   |  General

Good news ninayotaka kukusogezea ni kwamba GSM wanatangaza uzinduzi wa Asante Card zenye mchakato wa kukupatia zawadi za papo hapo. Ukiwa na Asante Card utapata nafasi ya kupata punguzo la asilimia 5%  kila unapofanya manunuzi ya katika madukan ya GSM ikiwemo Splash, Babyshop, Max, Shoexpress, GSMsports. Na pia kila Mwanachama wa Asante Card anauwezo kupokea […]

Good news ninayotaka kukusogezea ni kwamba GSM wanatangaza uzinduzi wa Asante Card zenye mchakato wa kukupatia zawadi za papo hapo.

Ukiwa na Asante Card utapata nafasi ya kupata punguzo la asilimia 5%  kila unapofanya manunuzi ya katika madukan ya GSM ikiwemo Splash, Babyshop, Max, Shoexpress, GSMsports.

Na pia kila Mwanachama wa Asante Card anauwezo kupokea taarifa maalumu kuhusiana na  Mauzo pamoja na matukio maalumu kabla taarifa hiyo haijafika kwa umma.

Jiandikishe sasa na Asante Card kwenye maduka ya GSM ufurahie huduma zao na punguzo hilo la kibabe.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by BLUE BOY WA KISHUA (@millardayo)