From: 2023-09-04 to: 2023-09-11
( )
MSAIDIZI WA UVUVI - 4 POST
MDAs & LGAs
Duties & Responsibilities

i.   KutoahudumayauganikwaWavuviikiwanipamojanamatumizi sahihiyazanazauvuvi.

ii.   Kukusanyatakwimunakutunzakumbukumbuzauvuvinakutoataarifa.

iii.   Kutoaushaurikwavikundivyausimamiziwarasilimalizauvuvi.

iv.   Kuhakikiusajiliwavyombonamatumiziyazanazauvuvinakutoataarifa.

v.   Kukagualesenizauvuvikutokananaeneoalipo.

vi.   Kuandaanakusimamiamafunzoyauganikatikauvuvikwavitendo.

vii.   Kufanyadoriakatikaeneolake.

viii.   KushirikikatikashughulizaUtafiti na

ix.       Kufanyakazinyinginezafaniyakeatakazopangiwanamkuuwakewakazizinazohusiananafaniyake.

Qualifications

KuajiriwawahitimuwaKidatochaIVauVIambaowamepatamafunzoyaUvuvinakutunukiwa AstashahadayaUvuvi(NTALevel5)kutokaWakalawaElimunaMafunzoyaUvuvi(Fisheries  EducationandTrainingAgency–FETA)aukutokachuochochotekinachotambuliwanaSerikali.

Remuneration

ngazi ya Mshahara TGS B