From: 2023-07-11 to: 2023-07-18
( )
KATIBU WA AFYA II - 5 POST
MDAs & LGAs
Duties & Responsibilities

i.    Kutoa tafsiri ya sheria, miongozo, kanuni za kudumu za utumishi na nyaraka mbalimbali za Serikali.

ii.    Kutayarisha mipango na makisio ya fedha za shughuli zinazohusiana na afya.

iii.    Kutayarisha taarifa za shughuli za uendeshaji na utekelezaji za mwezi, robo mwaka na mwaka mzima.

iv.   Kusimamia matumizi ya fedha na ununuzi wa vifaa kama ilivyo katika miongozo ya fedha na ununuzi.

v    Kusimamia na kutathmini utendaji wa kazi wa watumishi kulingana na taratibu zilizokubalika.

vi.    Kuandaa mipango ya usafiri kwa wagonjwa.

vii.    Kutoa ushauri wa kiutawala katika masuala ya kila siku kuhusu utekelezaji wa shughuli za afya.

viii.    Kuhifadhi takwimu na kumbukumbu za afya.

ix.    Kufundisha watumishi utunzaji wa rasilimali za afya ( watumishi, fedha, vifaa na muda).

x.    Kufanya utafiti.

xi.    Kusimamia na kutathmini uendeshaji shughuli za afya.

xii.    Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi.

 

Qualifications

Kuajiriwa wenye Shahada ya Uongozi wa Huduma za Afya (Health Service Administration) kutoka vyuo vinavyo tambulika  na Serikali.

Remuneration

TGS.D