From: 2023-07-11 to: 2023-07-18
( )
AFISA MIFUGO MSAIDIZI DARAJA LA III- (LIVESTOCK FIELD OFFICER III) - 20 POST
MDAs & LGAs
Duties & Responsibilities

i.Kutoa huduma za ugani katika uendelezaji wa mifugo na mazao yake;

ii.Kutibu mifugo na kutoa taarifa za magonjwa, tiba na chakula;

iii.Kusimamia utendaji kazi wa Wahudumu Mifugo;

iv.Kutunza takwimu na taarifa mbalimbali za mifugo;

v.Kukagua ubora wa mazao ya mifugo;

vi.Kusimamia ustawi wa wanyama; na

vii.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na msimamizi wake wa kazi zinazohusiana na fani yake.

Qualifications

Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha IV au VI ambao wamepata mafunzo ya mifugo na kutunukiwa Astashahada ya Afya ya Mifugo na Uzalishaji (NTA Level 5) kutoka Wakala wa Mafunzo ya Mifugo (Livestock Training Agency - LITA) au kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Seri

Remuneration

TGS. B