From: 2022-03-31 to: 2022-04-13
(LAND MANAGEMENT )
AFISA ARDHI MSAIDIZI - 1 POST
Ministry of Lands, Housing and Human Settlements Development
Duties & Responsibilities

i.       Kuingiza kumbukumbu katika kompyuta;

ii.      Kutoa ushauri kwa wateja;

iii.    Kupokea kukagua na kusambaza majalada kwa  maafisa kwa utekelezaji;

iv.    Kusaidia Maafisa Ardhi katika ukaguzi na kuchukua kumbukumbu kama picha, taarifa, vipimo vya majumba na michoro,

v.      Kujumuisha na kuandaa taarifa za ukaguzi;

vi.    Kuandaa rasimu za Hati na uingizaji wa plani ya Hati (deed plan); na

vii.   Kuagiza plani za Hati (Deep Plan);

Qualifications

Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Nne au Kidato cha Sita, waliofuzu mafunzo ya miaka miwili ya Umiliki Ardhi na Uthamini kutoka Vyuo vya Ardhi au Vyuo vingine vinavyotambuliwa na Serikali

Remuneration

TGS C