Milard Ayo Sports

Klopp: Liverpool wanaweza kutwaa taji la Ligi kuu wakiwa na umaliziaji mzuri

Meneja wa Liverpool Jurgen Klopp bado ana matumaini kuhusu nafasi yao katika kinyang’anyiro cha ubingwa na bado anaamini kama watashinda mechi zote sita zilizosalia watakuwa mabingwa wa Premier League tena....

12 minutes ago


Sowetan Live Sports

Exit from Europe can help Liverpool focus on league, says Klopp

Liverpool's elimination from the Europa League quarterfinals can help them focus on their Premier League title chase, manager Juergen Klopp said.

15 minutes ago


Mtanzania Sports

BETIKA haipoi Kariakoo Derby, Washindi 56 kuishuhudia kesho kwa Mkapa

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital WASHINDI 56 Promosheni ya Mtoko wa Kibingwa msimu wa 07 kuitazama Derby ya Kariakoo kati ya Yanga na Simba itakayofanyika kesho kwenye uwanja wa Mkapa...

1 hour ago


Milard Ayo Sports

Nukuu za Kocha Gamondi kuelekea mechi ya Yanga dhidi ya Simba SC

Ni April 19, 2024 ambapo Kocha wa timu ya Young Africans, Miguel Gamondi amefunguka mbele ya Waandishi kuelekea mchezo wa Derby ya Kariakoo Wababe Simba na Yanga unaotarajiwa kuchezwa siku...

1 hour ago


Mwanaspoti Sports

Matola: Yanga ni bora ila msikariri!

KOCHA Msaidizi wa Simba, Suleiman Matola amesema hakuna mechi rahisi ya dabi wanawaheshimu wapinzani wao kutokana na kuwa bora lakini wao pia wamejiandaa kukabiliana nao. Matola amesema mchezo wa kesho...

2 hours ago


Mwanaspoti Sports

10 za Kariakoo Dabi si mchezo!

JUMAMOSI ya wiki hii, kuna Kariakoo Dabi inapigwa kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam, Yanga ni wenyeji wa mchezo huo wa Ligi Kuu Bara wakiikaribisha Simba. Hii ni Kariakoo...

2 hours ago


Mwanaspoti Sports

Simba kujichimbia hoteli ya kifahari

SIMBA inatarajia kutua jijini Dar es Salaam leo alasiri, ikitokea Zanzibar ambako iliweka kambi ya siku tatu, kujiandaa na Kariakoo Dabi dhidi ya mtani wake Yanga, itakayopigwa kesho kuanzia saa...

2 hours ago


Milard Ayo Sports

Barcelona wanavutiwa na kiungo mkabaji wa Everton Amadou Onana

Everton hawana budi bali kumuuza Amadou Onana katika dirisha la usajili la majira ya kiangazi kutokana na sababu za kifedha, kwa mujibu wa Sport. Chombo cha habari cha Uhispania kiliripoti...

2 hours ago


Milard Ayo Sports

Ancelotti alilia nilipoondoka Real Madrid kwenda Man Utd – Casemiro

Kiungo wa kati wa Brazil Casemiro amefichua kuwa Carlo Ancelotti alilia mbele yake baada ya kujua uamuzi wa mchezaji huyo kuondoka Real Madrid na kujiunga na Manchester United mwaka 2022....

2 hours ago


Milard Ayo Sports

Araújo kuzungumzia mkataba wake Barca

Beki wa Barcelona Ronald Araújo anasema kuwa atajadili mustakabali wake katika klabu hiyo mwishoni mwa msimu huu. Araújo, 25, ana mkataba na Barca hadi Juni 2026 na amekuwa kwenye mazungumzo...

2 hours ago


Load More...

Trending on YouTube

Thumbnail
Marioo - Hakuna Matata (Visualiser)
Thumbnail
Dulla Makabila - Furahi ( OFICIAL VIDEO)
Thumbnail
Rayvanny - Hongera (Music Audio)
Thumbnail
Bella Kombo ft. Evelyn Wanjiru & Neema Gospel Choir - Mungu Ni Mmoja (Official Video)
Thumbnail
Harmonize - Na Nusu (Official Lyrics Video)
Thumbnail
Darassa feat Zuchu - Romeo (Visualiser)
Thumbnail
D Voice - Zoba (Official Lyric Audio)
Thumbnail
Diamond Platnumz - Namleta (Official Audio)
Thumbnail
TitoM & Yuppe - Tshwala Bam [Ft. S.N.E & EeQue] (Official Music Video)
Thumbnail
Chino Kidd Ft Daway - Binadamu (Official Lyrics Video)

Job Vacancies





Entertainment