Habari Leo News

Mpogolo: ‘Machinga’ zingatieni maelekezo

DAR ES SALAAM: MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo amewataka wafanyabiashara wadogo ‘Machinga’ waliopo Kariakoo kuzingatia maelekezo yanayotolewa na serikali ili kuhakikisha uendeshaji wa soko hilo unakuwa na ufanisi...

2 hours ago


Taifa Leo News

Mwanamke aliyeangamia Shakahola na mtoto alitafuta mhubiri wa kufufua mumewe

NA WYCLIFFE NYABERI SIMANZI ilitanda katika kijiji cha Radienya, eneobunge la Nyatike, Kaunti ya Migori mnamo Alhamisi wakati wa mazishi ya Bella Ouma na bintiye Lisa, ambao walikuwa miongoni mwa...

2 hours ago


Habari Leo News

WRM wajivunia kusaidia maendeleo ya jamii

ILALA, Dar es Salaam: KANISA la The Word of Reconciliation Ministries (WRM), linaadhimisha miaka 17 ya huduma tangu kuanzishwa kwake, huku likijivunia ushiriki wake katika kusaidia maendeleo ya kijamii. Kilele...

2 hours ago


Habari Leo News

Wawili wafa ajali iliyoteketeza mabasi

RUVU, Pwani: KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Pwani, Pius Lutumo amethibitisha watu wawili wamefariki dunia na wengine watano kujeruhiwa ikiwemo askari wawili wa jeshi la zima moto na uokoaji katika...

3 hours ago


Mtanzania News

Tanzania, Hungary zasaini mkataba wa ushirikiano sekta ya maji

Na Esther Mnyika Mtanzania Digital Serikali ya Tanzania na Hungary zimesaini mkataba wa ushirikiano katika sekta ya maji utakaosaidia udhibiti wa mafuriko na maji taka ambao umekuwa changamoto. Ikumbukwe kuwa...

3 hours ago


Habari Leo News

Dk Biteko avunja bodi kampuni ya Tanesco

MWANZA: NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko ameagiza kuvunjwa kwa bodi ya kampuni tanzu ya TANESCO ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na Usambazaji...

3 hours ago


Mtanzania News

UWT kuwezesha wanawake nchini kupata nishati safi ya kupikia

Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) umedhamiria kwa vitendo kutekeleza dhamira ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ya kuhakikisha inamtua kuni mwanamke kichwani kwa kuhakikisha inazalisha...

4 hours ago


Taifa Leo News

Afisi za UDA Bondo zachafuliwa na wahuni

KASSIM ADINASI VIJANA wenye hasira mnamo Jumatano walivamia jengo la afisi za UDA katika eneobunge la Bondo, Kaunti ya Siaya na kulipaka matope na uchafu. Bondo ni nyumbani na ngome...

4 hours ago


Milard Ayo News

China Kinara Uwekezaji Tanzania :Dkt. Tausi Kida

Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Dkt. Tausi Kida, amesema kuwa juhudi kubwa zinazofanywa na serikali ya awamu ya sita ya kuhamasisha uwekezaji imefanikisha ongezeko la usajili...

4 hours ago


Habari Leo News

Samia: Tutafanyia kazi ripoti ya CAG, Takukuru

DODOMA: RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali  itafanyia kazi mambo yaliyoibuliwa katika Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)  na taarifa ya utendaji kazi wa Taasisi...

4 hours ago


Load More...

Trending on YouTube

Thumbnail
Nandy ft G nako, Joh Makini, Rosa Ree, Khaligraph Jones, Moni & Stamina - DAH Remix (Official Video)
Thumbnail
Jux - Bado (Official Audio) [Visualizer]
Thumbnail
Harmonize - Side N***a (Official Music Video)
Thumbnail
Billnass feat Mbosso - Number One (Official Music Video)
Thumbnail
Ibraah Feat. Harmonize - Dharau (Official Lyrics Video)
Thumbnail
Jay Melody - Baridi (Official Video)
Thumbnail
Zuchu ft Dadiposlim - Zawadi (Official Music Video)
Thumbnail
CHAWA WA BASATA & ZUCHU - USWEGE MURDERER
Thumbnail
TUNDA MAN -TUNAITAKA NUSU (Official video lyrics)
Thumbnail
Stamina Shorwebwenzi - Msanii Bora Wa Hip Hop (Official Video)

Job Vacancies





Entertainment