The Tanzanian government’s initiative, which includes the development of a critical mineral policy and a focus on rare earth minerals such as graphite, lithium, nickel, and neodymium, is a testament to the country’s forward-thinking approach.
A lot of this space was used up paying tribute to a retired private sector supremo who passed on recently and due to that, we shared much less than the usual number of gems. We’ll therefore attempt to compensate by moving fast without much ado and dish out what picked up over the past week. Here we go…
The Saturday, March 23 edition of Bongo’s senior-most broadsheet ran a Page 2 story headlined, ‘Education stakeholders join forces to curb violence against children.’
The intro reads: “Education stakeholders have called for more efforts to protect children against violence inside and outside...
Hali nchini Haiti ni ya “msiba”, huku zaidi ya watu 1,500 wakiuawa na ghasia za magenge kufikia sasa mwaka huu na silaha zaidi kumiminika nchini humo, Umoja wa Mataifa ulisema...
Jeshi la Nigeria litawaachilia zaidi ya watu 300 wanaoshukiwa kuwa sehemu ya kundi la wanamgambo wa Boko Haram baada ya mahakama kusema hakuna ushahidi wa uhalifu wowote, msemaji wa ulinzi...
DAR ES SALAAM: Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), imeanza utekelezaji wa agizo la Waziri wa Maji Jumaa Aweso kuwarudishia huduma ya maji wateja waliositishiwa...
Rais wa zamani Jacob Zuma amezuiwa kugombea katika uchaguzi mkuu nchini Afrika Kusini utakaofanyika mwezi Mei. Tume ya uchaguzi nchini humo (IEC), haijatoa sababu. Hata hivyo, hukumu yake ya 2021...
Jumuiya ya Umoja wa wanawake nchini kupitia Chama Cha Mapinduzi (UWT) imewatoa hofu wawekezaji wote na wale wenye malengo ya kufanya uwekezaji nchini kwani Uwekezaji ni Utekelezaji wa dhamira ya...
NA CHARLES WASONGA WAFANYABIASHARA wadogowadogo wa Nairobi wanaoagiza bidhaa kutoka ng’ambo sasa wamepata afueni baada ya serikali kuamuru bidhaa zao zinazozuiliwa katika Bandari ya Mombasa ziachiliwe ndani ya wiki mbili....
NA HILARY KIMUYU SERIKALI imetangaza kwamba magari yanayotumia Umeme (EVs) sasa yatakuwa na nambari spesheli za usajili zenye rangi ya kijani. Tangazo hilo lilitolewa na Waziri wa Uchukuzi Kipchumba Murkomen,...
NA WANDERI KAMAU KWA wengi, ingali fumbo kwamba Gavana Anne Waiguru (Kirinyga) ndiye mwenyekiti wa Baraza la Magavana (CoG). Naam, mwanamke wa kwanza kuwa mwenyekiti wa baraza hilo lenye ushawishi...
NA OSCAR KAKAI POLISI mmoja anatuhumiwa kumpiga na kumjeruhi vibaya dereva wa matatu inayohudumu kwenye barabara ya Kitale-Kapenguria akiwa ndani ya seli katika kituo cha polisi cha Kapenguria, Kaunti ya...
Na Ramadhan Hassan,Dodoma IBAADA maalum ya kumbukizi ya miaka 40 ya Hayati Edward Sokoine inatarajiwa kufanyika Ijumaa Aprili 12,mwaka huu ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia...