Mwanaspoti Sports
Bundi atua KMC

KMC inakabiliwa na majeruhi sita ya wachezaji wake wa kikosi cha kwanza ambao kila mmoja jambo linaloipa wakati mgumu timu hiyo. Kabla ya mechi ya jana ugenini dhidi ya Singida Big Stars, Watoza ushuru hao wa Kinondoni walikuwa na wachezaji majeruhi watatu ambao ni beki wa pembeni Kelvin Kijiri na viungo Ally Awesu na Emmanuel Mvuyekure lakini hadi dakika 90 za mchezo huo zinamalizika walikuwa wameongezeka watatu na kufika sita. Wachezaji walioumia jana wakati KMC ikipoteza kwa kuchapwa 1-0 ugenini...

6 days ago


Mwanaspoti Sports
Mathare United kumpa Kimanzi msoto

KOCHA wa zamani wa Harambee Stars, Francis Kimanzi, yupo tayari kuteuliwa tena kuwa mkufunzi wa Mathare United licha ya msoto mkali uliyopo klabuni humo kwasasa. “Kimanzi kaonekana akifanya mazoezi na wachezaji wa Mathare ila ni kwa kujitolea tu. Tayari mazungumzo baina yake na uongozi kumpa kazi yanaendelea. Kimanzi anaelewa vyema hali ngumu ya kifedha wanayopitia kwasasa Mathare ila yupo radhi kufanya kazi nao. Bado maamuzi hayajafikiwa ila kuna uwezekano mkubwa atakubali kazi,” chanzo kimoja kimeeleza. Kimanzi ni mchezaji wa zamani...

6 days ago


Mwanaspoti Sports
Mapema tu, umaarufu wao ulitesa muda mfupi

LICHA ya kuwepo sababu mbalimbali zinazoweza kuwaondoa wanasoka wengi kwenye ustaa, mtaalamu wa saikolojia, Charles Nduku anaeleza namna baadhi ambavyo hawakuziandaa akili zao kupokea jambo katika maisha. Nduki anasema misingi imara ya jambo lolote haiwezi kuondoa malengo yatakayokumbana na changamoto kwa sababu mhusika atakuwa anajua anachotafuta katika kazi zake. “Tutolee mfano wanasoka. Wapo ambao umaarufu wao umedumu muda mrefu, wengine mwaka mmoja unaofuatia hawasikiki tena, ingawa zipo sababu nyingi ila wengi wao (wakati) unakuwa umewajia ghafla kwani hawakujenga misingi ya...

6 days ago


Mwanaspoti Sports
Vigogo watoboa, Simba, Yanga zinakwama hapa tu

NI zaidi ya miaka 80 klabu za Simba na Yanga zinasherehekea kuzaliwa, umri ambao hauendani na maisha halisi ambayo klabu hizo zinaishi kwa sasa. Timu hizo zinajiita vigogo katika soka, lakini hazina miundombinu ya kueleweka inayoendana na umri Yanga ikiwa imeanzishwa 1935 na Simba 1936. Simba ina maskani yake Mtaa wa Msimbazi, huku Yanga ikiwa ile mitaa ya Twiga na Jangwani na zote ni Kariakoo, isipokuwa ukizitazama timu hizo zinatia huruma na mashaka japokuwa zinaongoza kwa kuwa na mashabiki wengi...

6 days ago


Mwanaspoti Sports
UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Nini kimekuvutia zaidi Qatar?

KWA sasa macho na masikio ya wengi yapo Qatar ambako Kombe la Dunia linaendelea katika viwanja mbalimbali na lile la awamu hii ni la 22 kufanyika tangu lilipofanyika mara ya kwanza 1930 nchini Uruguay. Mwaka huu wa michuano hiyo mikubwa kwa ngazi ya timu za taifa umeghubikwa na mambo mbalimbali ikiwemo marufuku ya unywaji pombe viwanjani na nje ya hapo wenyeji wamepiga marufuku kampeni zinazohamasisha mapenzi ya jinsia moja. Hilo limemkuta nyota wa England, Harry Kane na Manuel Neuer wa...

6 days ago


Leaders give M23 ultimatum to stop war

Meeting came nearly a week after President Kagame promised facilitator Uhuru Kenyatta he will assist in prevailing upon M23 to stop fighting.

6 days ago


Taifa Leo News
Kenya Kwanza yaanza kutikiswa na mivutano

NA BENSON MATHEKA DALILI zimeanza kuibuka katika muungano tawala wa Kenya Kwanza, zikionyesha unakumbwa na mzozo wa ndani, miezi miwili pekee baada ya kuingia madarakani. Hali hii imejitokeza baada ya viongozi wake kuanza kutofautiana kuhusu maamuzi muhimu, yakiwemo ya kiserikali, hasa kuhusu uteuzi wa wawakilishi katika Bunge la Afrika Mashariki (EALA), uagizaji wa mahindi yaliyobadilishwa

6 days ago


Taifa Leo News
Galana-Kulalu kukabidhiwa wawekezaji wa kibinafsi

NA ANTHONY KITIMO SERIKALI inajiandaa kukabidhi shamba la unyunyizaji la Galana-Kulalu kwa wawekezaji wa kibinafsi. Mamlaka ya Kitaifa ya Unyunyizaji (NIA) inayosimamia utekelezaji wa mradi huo wa kilimo, imesema shamba litapeanwa kwa Shirika la Ustawishaji wa Kilimo (ADC) ambalo ndilo husimamia shughuli za kibiashara katika miezi michache ijayo. Tangazo hilo limetokea siku chache baada ya

6 days ago


Taifa Leo News
Mung’aro sasa afichua ushirikiano na Jumwa

NA ALEX KALAMA GAVANA wa Kilifi, Bw Gideon Mung’aro, amefichua kuhusu ushirikiano uliokuwepo kati yake na Waziri wa Utumishi wa Umma, Jinsia na Haki za Waliotengwa, Bi Aisha Jumwa, kuelekea kwa uchaguzi uliofanyika Agosti 2022. Akihutubia umma akiwa Ganda, eneobunge la Malindi, Bw Mung’aro ambaye ni mwanachama wa ODM, alisema yeye na Bi Jumwa aliyewania

6 days ago


 Job Vacancy Highlights Show All 
Ajira Chap 6 months ago  
Ajira Chap 6 months ago  
Ajira Chap 6 months ago  
Ajira Chap 6 months ago  
Ajira Chap 6 months ago  
Ajira Chap 6 months ago  
Mwanaspoti Sports
KMC, Yanga kuondoka na Mkenya Prisons?

WAKATI benchi la ufundi la Tanzania Prisons likilia na mastaa kurudia makosa yale yale hadi kuinyima timu matokeo mazuri, uongozi umetoa mechi mbili kuamua hatima ya Kocha mkuu Patrick Odhiambo. Prisons imecheza mechi tano mfululizo sawa na dakika 450 bila kuonja ushindi ikiwa ni sare mbili dhidi ya Namungo na Ruvu Shooting, ikipoteza tatu mbele ya Coastal Union mabao 2-0, Geita Gold 4-2 na Kagera Sugar 1-0 na kuporomoka hadi nafasi ya 11 kwa alama 12. Hadi sasa timu hiyo...

6 days ago


Taifa Leo News
Kura ‘ziliuzwa’ kwa Sh600, shahidi adai

NA BRIAN OCHARO SHAHIDI katika kesi inayopinga ushindi wa Gavana wa Kwale, Bi Fatuma Achani, amedai kuwa wapigakura walikuwa wakilipwa hadi Sh600 baada ya kuthibitisha walimpigia kura gavana huyo. Bw Samson Kaginya, aliambia mahakama kuwa wapigakura walikuwa wakilipwa hadi Sh600 baada ya kuthibitisha kumpigia kura Bi Achani. “Wangepiga kura, kupiga picha za karatasi za kupigia

6 days ago


Mwanaspoti Sports
Kally apewa mikoba Azam FC

UONGOZI wa Azam FC umefikia makubaliano ya kumkabidhi timu aliyekuwa kaimu kocha mkuu, Kally Ongala hadi mwisho wa msimu. Uamuzi huo umefikiwa kutokana na kiwango bora ambacho timu hiyo imekuwa ikikionyesha chini yake, hivyo viongozi wa juu wameamua kusitisha taratibu za kutafuta kocha mpya licha ya wengi kujitokeza kuwania nafasi hiyo. Akizungumza na Mwanaspoti jijini Dar es Salaam, Ofisa Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo, Abdulkarim Amin ‘Popat’ alisema mwenendo mzuri wa kikosi hicho ndio sababu ya kuamua kumpa timu Kally...

6 days ago


Mwanaspoti Sports
Beki Simba: Tuleteeni kama Fei Toto

BEKI wa pembeni wa zamani wa Simba, Said Sued ‘Panucci’ amesema ; “Anatumika Clatous Chama lakini asipokuwepo timu inayumba, sasa hilo ni tatizo ni tofauti na Yanga ina viungo wazuri wachezeshaji kama Feisal Salum ‘Fei Toto’ na Salum Abubakary ‘Sure Boy’.” Amewasisitiza viongozi wa klabu hiyo kuvunja benki na kufanya usajili katika maeneo matatu. Sued aliyeichezea timu hiyo kwa mafanikio makubwa kama beki wa kulia aliiambia Mwanaspoti Simba sio kwamba ina kikosi kibaya msimu huu bali wachezaji wa timu hiyo...

6 days ago


Mwanaspoti Sports
Adebayor ajisogeza Simba, apania kimataifa

STAA wa Berkane ya Morocco, Victorien Adebayor wa RS Berkane ya Morocco ameliambia Mwanaspoti kwa njia ya simu kuwa bado akili yake ni kuchezea Simba haswa kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Kiungo huyo mshambuliaji, alionyesha kiwango kikubwa akiwa na USGN ya Niger iliyocheza na Simba kwenye hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho. USGN Jijini Dar es Salaam walilala mabao 4-0 na nyumbani wakatoka sare ya bao 1-1. Alianza kuwindwa na Simba na Yanga lakini gharama yake ikawakimbiza...

6 days ago


Taifa Leo News
Ruto ajipatia njia kukwepa kosa la Uhuru

NA ONYANGO K’ONYANGO RAIS William Ruto ameamua kusimamia masuala ya muungano wa Kenya Kwanza (KKA) kutumia mbinu ya mashauriano hali ambayo imemfanya kupata uungwaji mkono kutoka kwa wabunge. Tofauti na mtangulizi wake, Uhuru Kenyatta, ambaye wabunge walilalama kuwa ilikuwa vigumu kwao kumfikia, Rais Ruto aliamua kufungua milango yake kwa viongozi wote katika muungano wa KKA.

6 days ago


The Citizen General
Standard Chartered Bank chips in to upskill women startups

Standard Chartered Bank Tanzania in collaboration with SheFound on Wednesday hosted an event for over 40 women running businesses.

6 days ago


Taifa Leo Sports
Soka: Fahamu jinsi Kinale Girls inavyojiandaa kwa ajili ya mashindano ya mwaka 2023

NA LAWRENCE ONGARO SHULE ya upili ya wasichana ya Kinale Girls, kaunti ya Kiambu, inajipanga kivingine ili kurejea na mbinu geni katika soka mwaka 2023. Kocha wa shule hiyo Ben Nyongesa, amewasajili vipusa wanane wapya watakaoleta uhai kikosini. “Huku wanafunzi wachache wa Kidato cha Nne wakikamilisha muhula wao wa masomo, ni vyema kujipanga mapema,” alisema

6 days ago


Mwanaspoti Sports
Machaguo Spesho Yenye ODDS Kubwa Meridianbet

Michuano ya Kombe la dunia inaendelea kule Qatar ambapo leo Alhamis kutakuwa na mechi 4 za kumalizia mzunguko wa kwanza wa makundi ni kundi G na H, Uswizi vs Cameroon, Uruguay vs Jamhuri ya Korea, Ureno vs Ghana na Brazil vs Serbia

6 days ago


Mtanzania Sports
Machaguo Spesho Yenye ODDS Kubwa Meridianbet

Michuano ya Kombe la dunia inaendelea kule Qatar ambapo leo Alhamis kutakuwa na mechi 4 za kumalizia mzunguko wa kwanza wa makundi ni kundi G na H, Uswizi vs Cameroon, Uruguay vs Jamhuri ya Korea, Ureno vs Ghana na Brazil vs Serbia. Kesho Ijumaa ni mechi za mzunguko wa pili Wales vs Iran, Qatar vs

6 days ago


Taifa Leo News
Bidhaa zilizoundwa kwa maganda ya miwa, magazeti na vitabu kulinda mazingira

NA SAMMY WAWERU BIDHAA za plastiki zinakisiwa kuchukua miaka na mikaka kabla kuoza, zinapotupwa au kuzikwa udongoni. Ni uhalisia unaochangia kuharibu udongo na zaidi ya yote mazingira. Itakumbukwa kwamba mwaka 2017 serikali ya Rais Mstaafu, Uhuru Kenyatta ilipiga marufuku matumizi ya mifuko ya karatasi za plastiki. Amri hiyo hata hivyo inaendelea kupuuzwa, baadhi ya wafanyibiashara

6 days ago


Mtanzania News
Dk. Mpango atoa maagizo Tamisemi

Na Clara Matimo,  Mwanza Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango, ameziagiza Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) na Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira kuandaa mpango mkakati utakaoainisha namna ya kufanya uwekezaji na kuendeleza fukwe zilizopo nchini. Amesema asilimia kubwa ya fukwe zilizopo nchini hazijaendelezwa na zinakabiliwa na changamoto ya

6 days ago


Taifa Leo News
Wabunge wa Azimio wataka Chebukati, Guliye, Molu wachunguzwe kuhusu ubadhirifu wa raslimali

NA CHARLES WASONGA WABUNGE wa Azimio la Umoja-One Kenya sasa wanapendekeza kubuniwa kwa Kamati Teule ya Bunge ili ichunguze mienendo ya Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Wafula Chebukati na makamishna wenzake wawili kubaini jinsi “wanavyotumia vibaya raslimali za umma na mamlaka ya afisi zao.” Wabunge hao wa upinzani pia wanamtaka Bw

6 days ago


Taifa Leo Sports
KOMBE LA DUNIA FIFA 2022: Pigo zaidi kwa Ufaransa baada ya kubainika jeraha la goti litamweka beki Lucas Hernandez nje ya mechi zote zilizosalia

Na MASHIRIKA MABINGWA watetezi wa Kombe la Dunia, Ufaransa, wamepata pigo jingine baada ya beki Lucas Hernandez kupata jeraha la goti ambalo sasa litamweka nje ya kampeni nzima ya kipute hicho mwaka huu. Nyota huyo wa Bayern Munich aliye na umri wa miaka 26 aliumia goti la kulia wakati wa mechi ya Kundi D iliyoshuhudia

6 days ago


Taifa Leo Sports
KOMBE LA DUNIA FIFA 2022: Morocco watoshana nguvu na Croatia katika mechi ya Kundi F

Na MASHIRIKA WANAFAINALI wa Kombe la Dunia 2018, Croatia, walianza kampeni zao za mwaka huu nchini Qatar kwa sare tasa dhidi ya Morocco ugani Al Bayt. Ni wachezaji wanne pekee waliounga kikosi cha Croatia kwenye fainali za 2018 ambao waliwajibishwa dhidi ya Morocco waliokosa kunogesha makala manne ya awali ya Kombe la Dunia hadi 2018 nchini

6 days ago


Taifa Leo News
Kenya yaagiza mbegu za GMO

NA LEONARD ONYANGO WAKULIMA nchini wataanza kupanda mahindi yaliyobadilishwa maumbile kisayansi (GMO) kuanzia mwaka 2023. Hii ni kufuatia hatua ya serikali kuagiza tani 11 za mbegu za mahindi ya GMO kutoka Afrika Kusini. Mbegu hizo zinatarajiwa kuwasili nchini kati ya Januari na Machi 2023. Kulingana na Mamlaka ya Kudhibiti Usalama wa Mimea iliyofanyiwa Ukarabati wa

6 days ago


Mtanzania News
Serikali ina dhamira njema kwa sekta ya habari nchini-Nape

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Serikali imesema kuwa kuwepo kwa vikao na wadau ni ishara kuwa ina nia na dhamira njema kwa sekta ya habari nchini. Hayo yameelezwa hivi karibuni jijini Dar es Salaam na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia, Nape Nnauye wakati wa kikao chake na wadau hao kilicholenga kupokea maoni yao. “Kuwepo

6 days ago


Taifa Leo Sports
KOMBE LA DUNIA FIFA 2022: Japan wazamisha chombo cha Ujerumani kwa kichapo cha 2-1 katika mechi ya Kundi E

Na MASHIRIKA JAPAN walitoka nyuma na kufunga mabao mawili ya haraka mwishoni mwa kipindi cha pili katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wafalme mara nne wa Kombe la Dunia, Ujerumani, kwenye pambano la Kundi E ugani Khalifa International. Ingawa Ujerumani walianza mechi kwa matao ya juu, walipoteza nafasi nyingi za wazi. Fowadi Takuma Asano alitokea

6 days ago


Taifa Leo General
MITAMBO: Kifaa muhimu kwa wanaokuza matunda kupunguza hasara

NA RICHARD MAOSI MATUNDA kama vile mapapai, machungwa, maembe, ndizi na matufaha ni mojawapo ya mazao ambayo hukuzwa sana nchini kutokana na mahitaji yake ya kimsingi na pia kiuchumi. Kwa wakulima wa baadhi ya matunda, wanaweza kuwazia kuyaboresha ili kujiongezea mapato na kuepuka hasara zaidi kwa kuwa kuna yale yanayoharibika haraka ikizingatiwa kuwa bei ya

6 days ago


Mtanzania News
UNHCR: Tanzania imefanikiwa kulinda amani

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital AFISA Muhifadhi Wakimbizi Mwandamizi kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR), nchini Tanzania, Boniface Kinyanjui amesema, Serikali ya Tanzania imefanikiwa kulinda amani yake. Kinyanjui alitoa kauli hiyo wakati akizungumza kwenye warsha ya siku tatu na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari, mjini Morogoro iliyoanza leo Novemba 23,

6 days ago


Taifa Leo Educational
UTAFITI: Chuo chatafiti mitishamba kutathmini ufaafu wake

NA LABAAN SHABAAN NI kawaida kuwakuta wachuuzi wa dawa za mitishamba barabarani wakipigia debe bidhaa zao kuwa dawa mjarabu za magonjwa sugu na kinga ya maradhi mbalimbali. Ila ni ngumu kuamini kama dawa hizo zimepitia mchakato wa kutathmini ubora kwa afya. Chuo Kikuu cha Kenyatta (KU) kimeanzisha kituo cha kutafiti tiba kutoka kwa mimea na

6 days ago


Taifa Leo News
Nassir aongea kuhusu uhusiano wake na Ruto

NA WINNIE ATIENO GAVANA wa Mombasa, Bw Abdulswamad Nassir, ameelezea sababu za kuanza kushirikiana na Rais William Ruto, na viongozi waliochagulia kupitia mrengo wa Kenya Kwanza akisema ni kwa manufaa ya maendeleo. Bw Nassir alisema bado yeye ni mwanachama wa ODM licha ya kushirikiana na Rais Ruto akisema hatua yake si ya kisiasa bali kwa

6 days ago


Taifa Leo Educational
Walimu wadai Sh1 bilioni wakijiandaa kupigania mkataba mpya

DAVID MUCHUNGUH na GERALD BWISA MUUNGANO wa walimu umesema kuwa walimu wanaoshikilia nyadhifa za kaimu wanaidai serikali Sh1 bilioni huku ukipanga kujadili upya maktaba wao wa malipo ukisema kuwa mkataba unaotumika sasa unalemaza taaluma zao. Mwenyekiti wa Kitaifa wa Muungano wa Walimu wa Shule za Sekondari (Kuppet) Omboko Milemba, alieleza Taifa Leo kuwa mwongozo wa

6 days ago


Mwanaspoti Sports
Simba yadondosha pointi mbili Mbeya

Mbeya. Dakika 90 za mechi ya Mbeya City imemalizika kwa timu hizo kutoa sare ya bao 1-1 huku mabao ya Mzamiru Yassin (Simba) na Tariq Seif yakitosha kumaliza mtanange huo. Hizi ni dondoo za mechi hiyo; Bao la Mzamiru Yassin alilofunga linakuwa la pili kwake msimu huu na kufikisha mabao 30 kwa Simba kuihenyesha Mbeya City waliofikisha mabao saba . Katika dakika 90 za mchezo huo Simba ilipata kona saba kwa mbili huku mchezaji wa Mbeya City, Hassan Mohamoud akioneshwa...

6 days ago


Walmart staff kills six in US shooting

Emergency calls were first made just after 10pm Tuesday (0300 GMT Wednesday) while the store was still open.

1 week ago


Mwanaspoti Sports
Chomoka na Ndinga ndio mpango mjini

Zikiwa zimepita siku chache tokea kuanza kwa michuano ya Kombe la Dunia huko nchini Qatar, Kampuni ya michezo ya kubahatisha Parimatch Tanzania imewapa wateja wake na wadau wote wa kubeti mchongo wa kujishindia gari mpya na ya kisasa kabisa, simu janja pamoja na bodaboda kutoka katika kampeni yao ya Chomoka na Ndinga.

1 week ago


Buhari unveils new Nigerian banknotes

The unveiling marks the first time in 19 years that Nigeria is redesigning its currency.

1 week ago


The Citizen General
Don’t rush into a monetary union

Maintaining a monetary union has little “wiggle” room. Countries must establish it or join it only when they are adequately prepared and fully committed.

1 week ago


AslayVEVO 1 day ago  
kontawa 2 weeks ago  
Mr Nay 4 weeks ago  
AslayVEVO 1 day ago  
Alikiba 1 day ago  
Rayvanny 5 days ago  
Mbosso 1 month ago  
kontawa 8 hours ago  
MariooOfficial 1 day ago  
AfricanBOY 5 days ago  
BarnabaClassic 2 weeks ago  
YoungLunyaVEVO 5 days ago  
ASAKE 1 day ago  
Mashabiki wa HARMONIZE 4 days ago  
Jay Melody 3 weeks ago  
The Citizen Jobs and Career
Why companies need to have information security officers

The main job of a chief information security officer, often abbreviated as CISO, includes supervising security technologies, responding to incidents, designing suitable standards and controls, and managing the formulation and execution of policies and processes.

1 week ago


The Citizen General
Why MSMEs may succeed in the agricultural sector

Time is running out before the 2025 deadline, thus appropriate action should be taken

1 week ago


The Citizen General
NBC to facilitate issuance of bond for water authority

Tanzania is grappling with water shortages in most parts of the country

1 week ago


The Citizen General
Clean cooking agenda now on global stage

Tanzania said it would undertake six specific measures in its efforts to reduce the use of solid biomass energy for cooking

1 week ago


Mtanzania News
UVCCM Ilala wakabidhiwa vitendea kazi

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Viongozi wa Umoja wa Vijana wa CCM Kata ya Kisutu wametoa msaada wa kompyuta mpakato na printa kwa ofisi ya UVCCM Wilaya ya Ilala ili kurahisisha utendaji kazi. Akizungumza wakati wa kukabidhi msaada huo, Mwenyekiti wa UVCCM Kata ya Kisutu, Komail Rizwan, amesema wameguswa kutoa msaada huo kama sehemu ya

1 week ago


The Citizen Technology
Firm develops water purity tech

The firm which engages in modern technology of water, solar energy and generators has was officially launched in Tanzania yesterday.

1 week ago


Mtanzania News
Mwinshehe achaguliwa Mwenyekiti mpya wa CCM Pwani

Na Gustafu Haule,Pwani CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Pwani kimemchagua, Mwinshehe Mlao kuwa Mwenyekiti mpya wa chama hicho atakayeongoza kwa muda wa miaka mitano ijayo. Mlao ameibuka mshindi katika uchaguzi uliofanyika Novemba 21, 2022 Mjini Kibaha ambapo katika nafasi hiyo wagombea walikuwa wanne akiwemo, Imani Madega, Farida Mgomi na Shaibu Mtawa. Hata hivyo, upinzani

1 week ago


15 African states to pilot open skies initiative

At only 1.9 percent of global traffic in 2019, Africa’s aviation contributed $63 billion to the continent’s GDP.

1 week ago


Mwanaspoti Sports
Mmoja atemwa Mbeya City, Sabilo, Tariq wakiivaa Simba

Mbeya. Wakati Mbeya City ikishuka uwanjani dakika chache zijazo kuwavaa Simba, kocha mkuu wa timu hiyo, Mubiru Abdalah amemuondoa mchezaji mmoja, beki Eradius Salvatory kwenye kikosi kinachoanza. Mbeya City haijapata ushindi katika mechi tatu mfululizo wakiambulia sare pekee na leo inahitaji kuwapa raha mashabiki ambao wamekosa mzuka kwa muda mrefu tangu waliposhinda Oktoba 25 dhidi ya Polisi Tanzania. Katika kikosi alichoanzisha kocha huyo Mganda ni Lameck Kanyonga, Kenneth Kunambi, Brown Mwankemwa, Hassan Mohamoud, Juma Shemvuni, Hassan Nassoro, Richardson Ngy'ondya, George...

1 week ago