Taifa Leo General
Waliovamia shamba la familia ya Uhuru Kenyatta kukamatwa

NA SAMMY WAWERU MSAKO wa wahuni waliovamia shamba la familia ya Rais mstaafu Uhuru Kenyatta Machi 2023, unatarajiwa kuanza hivi karibuni. Akihutubia taifa kuhusu hali ya usalama nchini, Waziri wa Usalama wa Ndani Prof Kithure Kindiki alisema Jumatano, Mei 31, 2023 kwamba uvamizi wa shamba la rais huyo mstaafu ni hatia inayohitaji adhabu kali. “Uvamizi

2 days ago


Taifa Leo General
Madampo kila kona yaharibu sura ya Nairobi

NA SAMMY KIMATU WAENDESHAJI magari na wanaotembea kwa miguu kando ya barabara kadhaa jijini Nairobi wamekerwa na ongezeko la madampo ya taka. Waliozungumza na Taifa Leo wanasema kwamba taka hizo huhatarisha afya za watu na kudunisha hadhi ya jiji la Nairobi. Mojawapo ya maeneo hayo ni kando ya daraja la Reuben mkabala wa barabara ya

2 days ago


Mtanzania General
Kingu: Mama ‘amewashika’ kupitia wizara ya January

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Mbunge wa Singida Magharibi, Elibariki Kingu amesema Serikali ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan imefanya vizuri na kuwaziba midomo wapinzani kupitia Wizara ya Nishati inayoongozwa na January Makamba. Kingu ameyasema hayo mapema leo Mei 31, wakati akichangia mjadala wa bajeti ya Wizara ya Nishati iliyowasilisha mapema leo na Waziri Makamba.

2 days ago


Mwanaspoti Sports
Mashabiki 3,000 waomba kuondoka na Yanga Algeria

Dodoma. Ndege aina ya Boeing 787-8 Dreamliner yenye uwezo wa kubeba abiria 260 ndiyo itakayowabeba wachezaji wa Yanga na mashabiki kwenda Algiers nchini Algeria kwa ajili ya mchezo wao wa fainali dhidi ya USM Alger. Yanga wanaondoka kesho Juni Mosi, 2023 kwenye mchezo kwa ajili ya mchezo wao wa marudiano na USM Alger utakaochezwa Juni 3, 2023. Mchezo wa kwanza Yanga ilifungwa magoli 2-1 katika Uwanja wa Mkapa, Dar. Yanga kwenye mchezo huo wa fainali hiyo ya kombe la shirikisho...

2 days ago


Taifa Leo General
Waziri Kindiki: Shakahola ina makaburi mengi

NA SAMMY WAWERU ENEO la Shakahola, Kilifi lingali na makaburi mengi, ametangaza Waziri wa Usalama wa Ndani Prof Kithure Kindiki. Kwenye hotuba yake kwa taifa Jumatano, Mei 31, 2023, Waziri amesema shughuli ya ufukuaji maiti zaidi zilizozikwa itaanza Jumatatu ijayo, Juni 5, 2023. “Makaburi yangali mengi Shakahola na ufukuaji miili utaanza Jumatatu, wiki ijayo,” akasema

2 days ago


Milard Ayo General
RPC geita anena ‘Vijana hawaendi Makanisani, Misikitini na kwenye mizimu’

Imeelezwa kuwa Mmomonyoko wa Maadili kwa Vijana umekuwa ukisababishwa na Baadhi ya Vijana ambao wamekuwa wakiukwaji wa Maadili ambapo changamoto hiyo imekuwa ikichangiwa na Baadhi ya Wazazi kutohimiza watoto wao kuwa na hofu ya Mungu ikiwemo kutokwenda katika Nyumba za Ibada pamoja na kukiuka Mila na Desturi za Kiafrika. Akizungumza katika kongamano la Vijana lililoandaliwa

2 days ago


Mwanaspoti Sports
Mastaa waipa Yanga mbinu mpya

KUNA ishu ya kiufundi waliyoiona wataalamu wa soka, inayoweza ikawasaidia Yanga kupindua meza ugenini dhidi ya USM Alger, mchezo utakaoamua nani bingwa wa Kombe la Shirikisho la Afrika, utakaopigwa Juni 3. kitendo cha Yanga kupoteza kwa mabao 2-1 Uwanja wa Benjamin Mkapa, hakukusababishwa na wachezaji kucheza chini ya kiwango, isipokuwa ni namna walivyotumia nguvu zao dakika 90, wakati Alger ilitumia nguvu hizo kwa malengo ya kusaka bao tu. Beki wa zamani wa timu hiyo, William Mtendamema alisema wachezaji walijituma na...

2 days ago


Milard Ayo General
Waziri Makamba Bungeni, ‘Serikali kupitia REA itasambaza majiko banifu 70,000 vijijini na vijiji-miji (Per Urban)

Waziri wa Nishati, January Makamba leo amewasilisha Bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Nishati kwa Mwaka 2023/2024 ambapo moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba yake. “Hali ya uzalishaji wa nishati ya umeme nchini kwa sasa haiendani na mahitaji ya shughuli za kiuchumi na kijamii yanayoongezeka kwa kasi…kuna upungufu mkubwa wa miundombinu ya

2 days ago


Milard Ayo General
Mbunge kingu: Mama amewashika kupitia Wizara ya January Makamba

Waziri wa Nishati, January Makamba leo amewasilisha Bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Nishati kwa Mwaka 2023/2024. Na Miongoni waliosimama kuchangia hoja ni Mbunge wa Singida Magharibi, Elibariki Immanuel Kingu..“Na kule wanakopita watu wa CHADEMA wanapiga propaganda kwamba Rais anaweka mabango, nataka nikuambie ukiona mtu anapiga kelele jua umembana vizuri, Mama amewashika

2 days ago


Milard Ayo General
Kampuni za Uber na Tigo watangaza ubia wa kampuni ya kuwazawadia wateja wao

Leo Kampuni za Uber na Tigo zimetangaza ubia wa Mwaka mmoja wa Mfululizo wa kampeni za kuwazawadia madereva na wasafiri wanaotumia app ya Uber na Tigo Pesa. Kuanzia sasa, Madereva wanaotumia mfumo wa Uber wanaweza kujisajili kama wakala wa lipa kwa simu ya Tigo Pesa ambayo itawawezesha kupokea nauli kutoka kwa wasafiri wakaopenda kulipa nauli

2 days ago


The Citizen General
NIC premiums up 43 percent on digitization

NIC's gross written premium increased to Sh124.5 billion in 2021/22 compared to Sh87.4 during the previous year.

2 days ago


 Job Vacancy Highlights Show All 
Sudan army quits US-Saudi led truce talks

An anonymous Sudanese state official said RSF had also repeatedly violated the truce.

2 days ago


Mtanzania General
Kigoma yafanya vizuri ukusanyaji mapato ya Madini

Na Editha Karlo, Kigoma MKOA Kigoma umetajwa kufanya vizuri katika ukusanyaji wa mapato yatokanayo na madini kutoka kwa wachimbaji wadogo ikielezwa kuwa marekebisho ya sheria na mazingira wezeshi yamechangia katika hilo.  Hayo yamebainishwa Mei 30, 2023 na Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini nchini, Mhandisi Yahaya Semamba wakati akifungua mafunzo ya siku mbili kwa wachimbaji

2 days ago


Milard Ayo General
‘Nishati imefanya maonesho ya Karne’- Mwijage

Ni Mei 31, 2023 Mbunge wa Muleba Kaskazini, Charles Kaijage amesema maonesho ya #WikiYaNishati yanayoendelea katika viwanja vya Bunge, ni ‘maonesho ya karne’. Mwijage amesifu namna ambavyo kupitia maonesho hayo ameweza kupata majibu yote kuhusu umeme katika jimbo lake. Wabunge wengine waliochangia katika #BajetiYaNishati, nao wamepongeza maonesho hayo hususan ubunifu na matumizi.

2 days ago


Milard Ayo General
Waziri Makamba kutimiza ndoto ya Rais Samia LNG

Moja kati ya mambo makubwa kwenye #BajetiYaNishati ni utekelezaji wa mradi wa Kuchakata na Kusindika Gesi Asilia kuwa Kimiminika (LNG). Maandalizi ya utekelezaji wa mradi huo yataanza katika mwaka ujao wa fedha. Wabunge, Salma Kikwete (Mchinga) Charles Mwijage (Muleba Kaskazini), Katani Katani (Tandahimba), Elibariki Kingu (Singida Magharibi) kwa nyakati tofauti wamempongeza Waziri January Makamba kama

2 days ago


Milard Ayo General
#UNAAMBIWA:Mihailo Toloto mtawa na mwanaume pekee ambaye hajawahi kumuona mwanamke

Ni wazi, Mihailo Toloto, sio mtu pekee ambaye hajawahi kuona mwanamke katika maisha yake yote wapo watu waliozaliwa vipofu hawaoni chochote, lakini hadithi yake ni ya pekee kwa kuwa hajawahi kukutana na mwanamke, akiwa ametumia maisha yake yote kati ya watawa wenzake na amekuwa akitembelewa na  wageni wa kiume mara kwa mara. Baada ya kifo

2 days ago


Milard Ayo General
Nondo za Waziri Makamba akiwasilisha Bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi Wizara ya Nishati

Waziri wa Nishati, January Makamba leo amewasilisha Bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Nishati kwa Mwaka 2023/2024 ambapo moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba yake. “Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu sasa liidhinishe Bajeti ya jumla ya Shilingi 3,048,632,519,000 kwa ajili ya matumizi ya Wizara ya Nishati na Taasisi

2 days ago


Lavrov's visit fails to sway Burundi in Russia-Ukraine war

The visit by Russian Foreign Minister Sergey Lavrov is the first for a top official from Russia to Burundi in 60 years.

2 days ago


Milard Ayo General
‘Upepo wabadilika Wizara ya Nishati’- Maneno yameisha

Mbunge wa Kwimba, Shanif Mansoor alikuwa wa pili kuchangia katika #BajetiYaNishati. Katika mchango wake, Mansoor alimpongeza sana Waziri January Makamba na watendaji wa Wizara hiyo kwa kazi kubwa wanayofanya kiasi cha kuondoa kelele nyingi zilizokuwepo katika Wizara hiyo. “Inaonekana kazi nzuri, mwaka huu Mheshimiwa Waziri umekuja hapa hakuna kelele kwenye Wizara ya Nishati, nakumbuka mwaka

2 days ago


Milard Ayo General
Waziri Makamba awasilisha Bungeni Makadirio na Matumizi ya Wizara ya Nishati kwa 2023/24

Waziri wa Nishati, January Makamba leo Mei31, 2023 amewasilisha Bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Nishati kwa Mwaka 2023/2024 ambapo moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba yake ni kwamba pamoja na mafanikio makubwa yaliyopatikana katika kupeleka umeme Vijijini, bado kuna takribani Vitongoji 36,101 kati ya Vitongoji 64,760 ambavyo havijafikiwa na Umeme. “Serikali

2 days ago


Taifa Leo General
Ndege yapata ajali uwanjani JKIA

NA MWANDISHI WETU SHUGHULI za uokozi zinaendelea katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) jijini Nairobi baada ya ndege moja kupata ajali. Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Nchini (KAA) imeripoti ikisema itatuma maelezo zaidi ya kilichotokea. Tunaandaa habari kamili… 

2 days ago


Taifa Leo General
Mukumu: Machogu aahidi fidia ya Sh400,000 kwa kila familia iliyopoteza mtoto

NA COLLINS OMULO WAZIRI wa Elimu Ezekiel Machogu amesema familia za wanafunzi wa Shule ya Wasichana ya Sacred Heart Mukumu walioaga dunia baada ya kula chakula kibovu na kunywa maji machafu zitapokea fidia ya Sh400,000 kwa kila mwanafunzi aliyeangamia. Bw Machogu ambaye anahojiwa na Seneti amesema mpango huo utafanikishwa na bima ya afya ya EduAfya.

2 days ago


Milard Ayo General
Vijiji vilivyounganishwa na umeme vyafikia 10,127 sawa na 82% ya Vijiji vyote 12,318 nchini

Waziri wa Nishati, January Makamba leo amewasilisha Bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Nishati kwa Mwaka 2023/2024 ambapo moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba yake kwamba kwa sasa jumla ya Vijiji vilivyounganishwa na umeme nchini vimefikia 10,127 sawa na 82% ya Vijiji vyote 12,318. “Kwa kutambua kuwa Sekta ya Nishati ndiyo mhimili

2 days ago


Mwanaspoti Sports
Nabi ashtukia mtego wa Waarabu

KOCHA mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amesema ameshtukia baadhi ya mambo na hivyo anatarajia kubadilisha mfumo wa timu yake kwenye mchezo wa fainali ya pili ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya USM Algier. Baada ya juzi Yanga kupoteza mchezo wa kwanza kwa kuchapwa 2-1, sasa mabingwa hao wa kihistoria wa Ligi Kuu Bara wameanza mikakati ya mechi ya marudiano itakayopiga Jumamosi ijayo, Juni 3, 2023, katika Uwanja wa Stade du 5 Juillet, huku wakipanga kuwavamia waarabu kishua zaidi. Wakati...

2 days ago


The Citizen General
Mwinyi to launch the reconciliation committee between ACT and CCM

the event is to take place at 1pm at State House.

2 days ago


Milard Ayo General
Rais wa Afrika ya Kati kuitisha kura ya maoni kuhusu katiba mpya

Rais Faustin Archange Touadera wa Jamhuri ya Afrika ya Kati alisema Jumanne kwamba ataitisha kura ya maoni kuhusu katiba mpya ambayo itamruhusu kuwania muhula mpya. “Nimeamua kuwasilisha mpango huu wa katiba mpya kwa kura ya maoni,” alisema katika hotuba kwa taifa iliyochapishwa kwenye mtandao wa Facebook, bila kusema ni lini kura hiyo itafanyika. Wapinzani wa

2 days ago


Taifa Leo General
UHC: Serikali yaambiwa ikome kuwa kupe kwa kutegemea tu wahisani

NA MARY WANGARI WADAU wa afya wameonya Kenya na mataifa ya Afrika kwa ujumla dhidi ya kuendelea kutegemea zaidi msaada kutoka kwa wahisani wakisema hali hiyo inahujumu juhudi za kufanikisha Mpango wa Afya kwa Wote (UHC) kufikia mwaka wa 2030. Ripoti mpya iliyotolewa kuhusu Hadhi ya Ufadhili katika Huduma ya Afya Nchini inaashiria kuwa kiasi

2 days ago


Milard Ayo General
Jeshi la Sudan limesitisha kushiriki katika mazungumzo ya kusitisha mapigano

Jeshi la Sudan limesitisha ushiriki wake katika mazungumzo ya kusitisha mapigano na kufikia misaada ya kibinadamu, chanzo cha kidiplomasia cha Sudan kiliiambia kituo cha habari cha Al Jazeera, na kuzusha hofu ya kutokea tena mapigano ambayo yamesababisha makumi ya maelfu ya watu kuyahama makazi yao. Mazungumzo na kikosi pinzani cha Wanajeshi wa Msaada wa Haraka

2 days ago


Milard Ayo General
WFP: Mgao wa chakula kwa wakimbizi Tanzania kupunguzwa

Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limetangaza kuwa, litapunguza mpango wa mgawo wa chakula kwa wakimbizi walioko nchini Tanzania kuanzia mwezi ujao wa Juni. Taarifa ya WFP imeeleza kuwa, zaidi ya wakimbizi 200, 000 nchini Tanzania watapewa tu nusu ya mgao wa chakula kuanzia mwezi ujao kutokana na ukosefu wa fedha za wafadhili. Kupunguzwa

2 days ago


South Sudan asks Kenya to end Autoport monopoly

Autoport Freight Terminals Limited has been handling nearly all South Sudan imports at the Nairobi Freight Terminal.

2 days ago


Milard Ayo General
Guardiola anyakua tuzo ya tatu ya Meneja Bora wa Mwaka wa LMA!

Kocha wa Manchester City Pep Guardiola amechaguliwa kuwa kocha bora wa mwaka na Chama cha makocha wa Ligi. Hii ni mara ya tatu kwa Guardiola kutwaa Tuzo hiyo inayoitwa ‘Sir Alex Ferguson Award’, iinayopigiwa kura na mameneja ama makocha wa madaraja yote ya ligi nchini England. Mhispania huyo, 52, pia alishinda tuzo ya kocha ama

3 days ago


Mwanaspoti Sports
Mtanzania apewa fainali ya Al Ahly vs Wydad

Mjumbe wa kamati ya utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Alhaji Msafiri Ahmed Mgoyi ameteuliwa kuwa kamishna wa mechi ya kwanza ya fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Al Ahly na Wydad Casablanca, jijini Cairo, Misri, Juni 4. Uteuzi wa Mgoyi umekuja siku chache baada ya Mtanzania mwingine Baraka Kizuguto kusimamia mchezo wa pili wa nusu fainali ya mashindano hayo kati ya Mamelodi Sundowns na Wydad Casablanca katika majukumu ya mratibu wa mchezo. Taarifa iliyotolewa...

3 days ago


Taifa Leo General
Wanafunzi South B PEFA Academy wachagua viongozi wakihimizwa kukumbatia demokrasia

NA SAMMY KIMATU WANAFUNZI katika shule ya South ‘B’ PEFA Academy iliyoko kaunti ndogo ya Makadara wamejawa na tabasamu baada ya kupata viongozi wapya  waliochaguliwa mnamo Ijumaa wiki jana. Msimamizi wa Idara ya Serikali ya Wanafunzi Bw Brian Otim ameambia Taifa Leo kwamba uchaguzi huo uliendeshwa kuambatana na mtaala uliopo chini ya Wizara ya Elimu

3 days ago


Milard Ayo General
Urushaji wa satelaiti ya kijasusi Korea Kaskazini haukufaulu, roketi ikianguka baharini

Jaribio la Korea Kaskazini kuweka satelaiti ya kwanza ya kijasusi angani ilishindikana Jumatano katika kurudisha nyuma msukumo wa kiongozi Kim Jong Un kuongeza uwezo wake wa kijeshi huku mvutano kati ya Marekani na Korea Kusini ukiongezeka. Baada ya kukubali kushindwa kwa haraka isivyo kawaida, Korea Kaskazini iliapa kufanya kurusha kwa mara ya pili baada ya

3 days ago


The Citizen General
Mwinyi faults opposition on tender offer claims

Zanzibar’s president, Dr Hussein Mwinyi, Tuesday, May 30, faulted opposition party ACT-Wazalendo’s claims regarding the awarding of tenders for various projects without an open bidding process.

3 days ago


Taifa Leo General
Polisi bandia anayehangaisha wakazi Nairobi

Na RICHARD MUNGUTI MWANAMUME anayejifanya polisi na kuhangaisha wakazi jijini Nairobi amekamatwa na kufunguliwa mashtaka. Polisi bandia huyo aliyetambuliwa kama Stanley Ng’ang’a, alishtakiwa mbele ya hakimu mkazi Mercy Malingu. Ng’ang’a anakabiliwa na shtaka la kukamata mfanyabiashara Nairobi, akijifanya askari. Akisomewa makosa yake mbele ya Hakimu Mercy, alikana kuwatia nguvuni Kenton Ombati pamoja na wafanyakazi wake

3 days ago


Taifa Leo General
Kisumu All Starlets kukwaana na Ulinzi Starlets kwenye nusu-fainali Kombe la FKF

NA TOTO AREGE KISUMU All Starlets itamenyana na mabingwa Ulinzi Starlets katika nusu-fainali ya Kombe la Wanawake la Shirikisho la Soka la Kenya (FKF) kwenye uwanja wa RVIST katika Kaunti ya Nakuru leo Jumatano. Kisumu itatarajia kupata ushindi wa kufutia machozi, baada ya kushuka daraja kutoka Ligi Kuu ya Wanawake nchini (KWPL) hadi Ligi ya

3 days ago


Taifa Leo General
Atishia kuua mpangaji kwa kunyimwa ‘tunda la ndoa’

Na RICHARD MUNGUTI MWANAUME aliyenyimwa tendo la ndoa na mpangaji katika jengo la wazazi wake ameshtakiwa kwa kutisha kumuua mwanadada huyo. Ian Mutwii Mwenga alishtakiwa mbele ya hakimu mkazi Mercy Malingu kwa kumtumia ujumbe wenye vitisho mlalamishi mnamo Mei 21, 2023. Mshtakiwa alidaiwa alimtumia ujumbe mlalamishi uliosema “we tafuta nyumba ingine mapema nimekupea hii mwezi

3 days ago


Taifa Leo General
Ashtakiwa kwa kulaghai mke wa rafikiye Sh2 milioni

Na RICHARD MUNGUTI MUUZAJI mashamba na ardhi ameshtakiwa kwa kumlaghai mke wa rafikiye anayeishi Amerika Sh2 milioni. Esrom Kamande Kamau mwenye umri wa miaka 42 alikabiliwa na shtaka la kumlaghai Jacinta Wangari Kimotho Sh2, 097, 680 akidai atamuuzia shamba katika mtaa wa Thome eneo la Kasarani, Nairobi. Alipotunguliwa pesa hizo Wangari alikuwa anaugua. Esrom amekana

3 days ago


Taifa Leo General
Mahabusu aliyegeuza seli kuwa uwanja wa ndondi aona moto

Na RICHARD MUNGUTI MAHABUSU ameshtakiwa kwa kumchapa mwenzake waking’ang’ania katoni waliyokuwa wanatumia kama godoro wakiwa seli za polisi. Anthony Omwenga alikabiliwa na shtaka la kumpiga na kumwumiza Dennis Kioko. Wote walikuwa wamezuiliwa katika kituo cha polisi cha Kayole walipokabiliana ana kwa ana. Kila mmoja alikuwa ameshtakiwa kwa makosa tofauti. Omwenga alishtakiwa mbele ya hakimu mwandamizi

3 days ago


Taifa Leo General
Wanaharakati wa mazingira wapigwa jeki mradi wa Sh20 milioni ukizinduliwa Lamu

NA KALUME KAZUNGU VIJANA wanaharakati wa uhifadhi wa mazingira katika Kaunti ya Lamu wana matumaini kwamba shughuli zao za kuhifadhi mazingira na kupigana na mabadiliko ya tabianchi zitafaulu kufuatia kuzinduliwa kwa mradi wa Sh20 milioni kupiga jeki shughuli hizo. Mradi huo kwa jina ‘Climate Justice for Human Security’ unatekelezwa na Shirika la utetezi wa haki

3 days ago


Mbosso 3 weeks ago  
Nandy - The African Princess 2 weeks ago  
MariooOfficial 2 weeks ago  
MariooOfficial 3 weeks ago  
Zuchu 1 month ago  
Alikiba 2 weeks ago  
Anjella 1 day ago  
Yammi 1 week ago  
Walter Chilambo 1 day ago  
Rayvanny 3 weeks ago  
Chudy love 4 weeks ago  
Martha Mwaipaja 2 weeks ago  
kontawa 1 month ago  
Harmonize 1 week ago  
Mwanaspoti Sports
Kocha Algier aondoka na Mayele

LICHA ya USM Alger kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 wakiwa ugenini kwenye mchezo wa fainali ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Yanga, kocha wa timu hiyo, Abdelhak Benchikha anaumiza kichwa namna ya kumdhibiti Fiston Kalala Mayele ambaye anaonekana kuwa moto wa kuotea mbali.

3 days ago


Mwanaspoti Sports
Kocha Alger aondoka na Mayele

LICHA ya USM Alger kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 wakiwa ugenini kwenye mchezo wa fainali ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Yanga, kocha wa timu hiyo, Abdelhak Benchikha anaumiza kichwa namna ya kumdhibiti Fiston Kalala Mayele ambaye anaonekana kuwa moto wa kuotea mbali.

3 days ago


Taifa Leo General
Mwanamke mashakani kwa kuficha ‘dume’ mbakaji

Na RICHARD MUNGUTI MWANAMKE aliyeficha habari kwamba msichana wa miaka 15 aliyetoroka kwa mama yake alikuwa akiishi na mwanaume aliyemfahamu ameshtakiwa. Jane Wambui Njeri alishtakiwa mbele ya hakimu mwandamizi Agnes Mwangi kwa kuficha habari muhimu kuhusu binti wa jirani yake. Hakimu alifahamishwa kuwa Wambui alijua msichana huyo wa miaka 15 alikuwa akiishi na mvulana katika kitongoji

3 days ago


Taifa Leo General
Washtakiwa kwa wizi wa samaki

Na RICHARD MUNGUTI VIBARUA watatu wameshtakiwa kwa wizi wa samaki wa thamani ya Sh30, 000. Jesse Mwangi, Paul Kimathi na Samuel Okello walishtakiwa mbele ya hakimu mwandamizi Bi Agnes Mwangi. Walikanusha kuiba samaki hao mnamo Mei 17, 2023. Samaki hao walikuwa wa mfanyabiashara John Waithaka. Mahakama ilielezwa kwamba watatu waliiba samaki hao walipoachwa katika steji

3 days ago


Taifa Leo General
Amerika yaadhibu spika wa Uganda kwa kupitisha sheria inayoharamisha ushoga na usagaji

NA MERCY KOSKEI AMERIKA imefutilia mbali visa ya spika wa bunge la kitaifa wa Uganda Anita Among, baada ya kupitisha sheria za kutotambua mashoga na wasagaji nchini humo. Kulingana Asuman Basalirwa, aliyewasilisha mswada huo, ujumbe huo wa kufutilia mbali visa ya sasa ya spika huyo ulithibitishwa kupitia barua pepe. Akinukuu ujumbe huo baada Rais wa Uganda Yoweri

3 days ago


Taifa Leo General
Nyumba Yangu: Wanariadha kunufaika kupitia ushirikiano wa AK na HFC Group

AYUMBA AYODI na GEOFFREY ANENE Maelfu ya wanariadha wa Kenya wanatarajiwa kunufaika mpango wa nyumba za bei nafuu kati ya Shirikisho la Riadha Kenya na Benki ya kutoa mikopo ya ujenzi na ununuzi wa nyumba nchini (HFC Group). Pande hizo zilisaini mapatano jijini Nairobi hapo Mei 30. Ushirikiano huo utawezesha wanariadha kuweka akiba ili kuwawezesha

3 days ago


Mwanaspoti Sports
MZEE WA UPUPU: Mama, fanya Sh20 Milioni kila mchezaji Kombe litakuja

AMA kwa hakika raia namba moja wa nchi yetu, Rais Samia Suluhu Hassan, au MAMA kama tunavyopenda kumuita, ameongeza chachu na hamasa kubwa kwenye mafanikio ya klabu zetu kimataifa. Kampeni yake ya bao la mama imepokewa vizuri kuanzia mitaani hadi kwa wachezaji wenyewe. Hili siyo jambo dogo hata kidogo. Kuwafanya watu wote wazungumzie kitu kimoja, ni jambo kubwa kwenye uimara wa kijamii (social stability) na ndicho kitu kinachojenga umoja wa kitaifa. Haya mamilioni ambayo mama amekuwa akiyamwaga kwa vilabu vyetu,...

3 days ago


Taifa Leo General
Akaunti za M-Pesa za Pasta Ezekiel Odero zafunguliwa akisamehe waliomtesa

Na RICHARD MUNGUTI WAUMINI zaidi ya milioni tano wa Kanisa la Pasta Ezekiel Odero wamepata afueni baada ya kampuni ya Safaricom kufungua laini saba za MPesa za kanisa hilo zilizokuwa zimezimwa. Agizo la kufunguliwa kwa laini hizo kulitokana na kampuni hiyo kuwapa polisi nakala za miaka sita za laini hizo. Punde tu mahakama ilipoamuru laini

3 days ago


Mwanaspoti Sports
Simba yagawa barua kwa mastaa

SIMBA ipo sokoni kuangalia silaha za kuondoa aibu kwa msimu ujao na unyonge wa mashabiki wanaoupitia kwa msimu huu, ikidondosha mataji yote, tayari imetua nchini Ivory Coast ikiwinda winga la ASEC Mimoses, huku mastaa wakilimwa barua.

3 days ago