Taifa Leo General
Kalonzo kupewa mwelekeo baada ya matokeo ya kamati ya Azimio

NA SAMMY WAWERU MBUNGE wa Kathiani Robert Mbui amesema chama cha Wiper kitatoa msimamo wake kuhusu kinara wake, Kalonzo Musyoka matokeo ya atakayeteuliwa mgombea mwenza katika Azimio La Umoja-One Kenya yakitangazwa. Kamati teule ya muungano huo inaendeleza mahojiano ya kusaka atakayekuwa mgombea mwenza wa kiongozi wa ODM, Raila Odinga katika uchaguzi mkuu Agosti 9, 2022.

1 year ago


Tanzania announces $43m fuel subsidy

The subsidy will take effect from June 1.

1 year ago


Milard Ayo General
Bilioni 100 kupunguza makali bei ya mafuta

SERIKALI imefafanua kuwa imeweka tozo ya Sh900 katika kila lita ya mafuta ya petroli ili kufanikisha ukarabati wa barabara, kuboresha huduma za maji, elimu na nishati hasa kwa maeneo ya vijijini.

1 year ago


Milard Ayo General
Mchezaji Geita “Nataka kucheza EPL”

Mshambuliaji wa Timu ya Geita Gold ya mjini Geita amesema kuwa ndoto yake kubwa ni kuchezea timu zinazoshiriki ligi kuu ya Uingereza (EPL) kwa kuwa ndio ligi yenye ushindani zaidi duniani.

1 year ago


Taifa Leo General
TUSIJE TUKASAHAU: Dkt Ruto atuambie mradi wa kiwanda cha mbolea umefikia wapi

AKIENDESHA kampeni zake katika kaunti za Magharibi ya Kenya na Trans Nzoia mwishoni mwa wiki iliyopita, Naibu Rais William Ruto aliahidi kupunguza gharama ya pembejeo za kilimo, miongoni mwa changomoto nyingine zinazowasibu wakulima. Kwa mfano, ameahidi kupunguza bei ya mbolea ya upanzi kutoka Sh6,000 hadi Sh2,500 kwa gunia moja la kilo 50, akishinda urais mnamo

1 year ago


Taifa Leo General
Veemisc ni mwanamuziki anayefanya vizuri pia katika uigizaji na biashara

NA JOHN KIMWERE AMEPITIA changamoto nyingi baada ya kuwa yatima akiwa na umri mdogo. Hata hivyo ni kati ya wasanii wanaokuja wanaolenga makubwa siku zijazo. Veronicah Muthoni ama ukipenda Veemisc ni mwanamuziki, mwigizaji chipukizi na mfanyibiashara. ”Ingawa nilivutiwa na muziki tangu utotoni mwangu na nilianza utunzi wangu mwaka 2018 sijapiga hatua kubwa,” anasema na kuongeza

1 year ago


Milard Ayo General
Infinix Hot 12 na Infinix Hot 12 Play zazinduliwa Tanzania

Kampuni ya mpendwa ya simuza mkononi Infinix, imeshirikiana na kampuni ya mawasilinoTigo kuzindua Infinix HOT 12 na Infinix HOT 12play ikiwani muendelezo wa toleo la series ya Infinix HOT. Series yaHOT tangu kutambulishwa kwake haijawahi kuja naprocessor ya speed ya juu zaidi kuizidi Infinix HOT 12 na hiikuifanya Infinix HOT 12 kuwa toleo muhimu sana kwakampuni ya Infinix na wateja wa simu za Infinix.

1 year ago


Mwanaspoti Sports
Nabi: Tutafanyia kazi makosa

Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi ameungana na mashabiki wa timu hiyo kuumizwa na matokeo ya sare tatu za mfululizo lakini akasema ni hatua mbaya kwa wachezaji wake kushambuliwa. Nabi amesema hakuna ambaye amefurahia matokeo hayo lakini bado wana nafasi ya kurudi katika ubora wao wa ushindi kama awali. Kocha huyo ambaye amerejea kwenye benchi baada ya kumaliza adhabu ya kusimamishwa mechi tatu, amesema anawapa pole mashabiki wao na watafanya juhudi kubwa za kufuta matokeo hayo kuanzia mechi ijayo. Yanga...

1 year ago


The Citizen General
Rwanda suspends Miss Rwanda pageant over sex abuse claims

Kigali has suspended the Miss Rwanda competitions until further notice as investigations into alleged cases of sexual abuse in the pageantry continue.

1 year ago


Taifa Leo General
Mkataba sasa waanika unafiki wa Naibu Rais

NA CHARLES WASONGA NAIBU Rais William Ruto anapanga kuingilia uhuru wa Idara ya Mahakama kwa kugawa nyadhifa katika idara hiyo endapo atachaguliwa kuwa rais katika uchaguzi mkuu wa Agosti 9. Kwa mujibu wa mkataba wa ugavi wa mamlaka kati ya vyama vitatu vikuu ndani ya muungano wa Kenya Kwanza (KKA), vyama vitapata asilimia 60 ya

1 year ago


 Job Vacancy Highlights Show All 
Ajira Chap 3 days ago  
Ajira Chap 2 weeks ago  
Ajira Chap 2 weeks ago  
Ajira Chap 3 weeks ago  
Ajira Chap 3 weeks ago  
Ajira Chap 3 weeks ago  
Ajira Chap 3 weeks ago  
Ajira Chap 3 weeks ago  
Ajira Chap 3 weeks ago  
Ajira Chap 3 weeks ago  
Ajira Chap 3 weeks ago  
Ajira Chap 3 weeks ago  
Ajira Chap 4 weeks ago  
Ajira Chap 4 weeks ago  
Ajira Chap 4 weeks ago  
Ajira Chap 1 month ago  
Ajira Chap 1 month ago  
Ajira Chap 1 month ago  
Ajira Chap 1 month ago  
Ajira Chap 1 month ago  
Ajira Chap 1 month ago  
Ajira Chap 1 month ago  
Ajira Chap 1 month ago  
Taifa Leo General
Washirika Azimio wakaba Raila koo

NA LEONARD ONYANGO KIONGOZI wa Azimio la Umoja One Kenya, Raila Odinga anaonekana kukabwa koo na washirika wake, hali ambayo imeanza kuzua misukosuko ndani ya muungano huo wenye vyama 26. Wadadisi wa siasa wanasema Bw Odinga tayari ameonyesha dalili za kutokuwa na usemi kuhusu masuala mbalimbali ikiwemo uteuzi wa mgombea mwenza wake, huku washirika tofauti

1 year ago


Taifa Leo General
Mabingwa wa tenisi Afrika Mashariki U-14 Kenya warejea nyumbani

Na GEOFFREY ANENE TIMU ya Kenya ya wachezaji wasiozidi umri wa miaka 14 na pia walio chini ya umri wa miaka 16 zilirejea nyumbani Jumatatu usiku kutoka Rwanda zilikozoa medali nne kwenye mashindano ya tenisi ya Afrika Mashariki (Zone 4). Wavulana Baraka Ominde, Brian Nyakundi na Ayush Bhandari walitwaa medali ya dhahabu katika tenisi ya

1 year ago


Taifa Leo General
Tuju apuuzilia mbali hatua ya Dkt Mutua kugura Azimio

NA CHARLES WASONGA MKURUGENZI Mkuu wa muungano wa Azimio La Umoja-One Kenya Raphael Tuju amepuuzilia mbali hatua ya Gavana wa Machakos Alfred Mutua kujiunga na muungano wa Kenya Kwanza. Akiongea na wanahabari katika mkahawa wa Serena, Nairobi Jumatatu, Mei 9, 2022, Bw Tuju alisema kuwa Dkt Mutua alikuwa anashinikiza apewe nakala ya mkataba wa Azimio

1 year ago


Taifa Leo General
Alfred Mutua asema Kenya Kwanza nd’o mpango mzima

NA SAMMY WAWERU GAVANA wa Machakos Alfred Mutua ametetea vikali hatua yake ya kujiunga na muungano wa Kenya Kwanza unaoongozwa na Naibu Rais Dkt William Ruto. Dkt Mutua amekuwa mwanachama wa Azimio, muungano unaoongozwa na kiongozi wa ODM, Raila Odinga, na mnamo Jumatatu alitangaza kuugura akajiunga na kambi ya Dkt Ruto. Kiongozi huyo wa Maendeleo

1 year ago


The Citizen General
Tanzania government announces Sh100 billion fuel subsidy

The Minister of Energy, January Makamba has on Tuesday May 10, said the Government has provided a subsidy of Sh100 billion to reduce fuel prices in the country.

1 year ago


Taifa Leo General
Mutua, Kingi watafuta hifadhi kwa Ruto, wadai kuumizwa katika Azimio

NA WAANDISHI WETU MAGAVANA Alfred Mutua wa Machakos na mwenzake wa Kilifi, Amason Kingi jana Jumatatu walihama muungano wa Azimio wakidai kunyanyaswa. Gavana Kingi alisema alijiondoa Azimio kwa kile alieleza kuwa kutengwa kwa chama chake cha PAA katika meza ya maamuzi. Msemaji wa PAA, Lucas Maitha alisema Azimio ilimtenga kiongozi wa chama chao. “Tugundua kulikuwa

1 year ago


Taifa Leo General
Naibu Gavana ahofia ODM kupoteza ugavana Kaunti ya Kilifi

NA ALEX KALAMA NAIBU Gavana wa Kaunti ya Kilifi, Bw Gideon Saburi, ameeleza wasiwasi kwamba huenda Chama cha ODM kikakosa kushinda kiti cha ugavana wa kaunti hiyo kwenye uchaguzi ujao. Kulingana naye, kuchelewa kwa mgombeaji ugavana wa ODM, Bw Gideon Mung’aro, kuchagua mgombea mwenza kunazidi kuathiri kampeni zake. “Tukiwa tutakuwa bado tunavutana miguu wale wengine

1 year ago


The Citizen General
Prime Minister directs MSD officials probe

Prime Minister Kassim Majaliwa visited the Medical Stores Department (MSD) yesterday where he discovered suspicious findings, which forced him to direct the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) to take immediate action against some officials.

1 year ago


The Citizen General
Chadema to decide fate of 19 legislators

The fate of 19 special seats Members of Parliament (MPs) on the ticket of the opposition Chadema will be known this week when the party’s highest decision-making body meets in Dar es Salaam.

1 year ago


Taifa Leo General
Pigo KPA ikipoteza ardhi ya mamilioni

NA BRIAN OCHARO MAMLAKA ya Bandari za Kenya (KPA), imepata pigo baada ya kupoteza kesi ambayo ilitaka kupewa ardhi ya thamani ya mamilioni ya pesa kutoka kwa mfanyabiashara Ashok Doshi. Mahakama ya Mazingira na Ardhi mjini Mombasa imetupilia mbali kesi hiyo iliyowasilishwa mahakamani na KPA miaka 17 iliyopita dhidi ya kampuni ya Supernova Properties Ltd,

1 year ago


Taifa Leo General
Watu 40 wauawa, 100 hawajulikani waliko nchini DRC

NA MASHIRIKA KINSHASA, DRC WAPIGANAJI waliojihami vikali waliwaua zaidi ya watu 40 katika mji wa Mongwalu ulioko mkoa wa Ituri, kaskazini mashariki mwa DRC. Ripoti zilisema watu wengine zaidi ya 100 hawajulikani waliko. Mauaji hayo yanadaiwa kutekelezwa na kundi la Co-operative for the Development of Congo (Codeco) katika mji wa Mongwalu. Wanamgambo hao walilenga mgodi

1 year ago


Tanzania’s Samia arrives in Uganda for two-day visit

She is in the country for talks on economic cooperation.

1 year ago


Taifa Leo General
Maskwota Lamu watishia kususia uchaguzi mkuu

NA KALUME KAZUNGU MASKWOTA katika Kaunti ya Lamu wametisha kususia uchaguzi mkuu wa Agosti 9, 2022 wakidai wamekosa imani na viongozi wao. Maskwota hao wanadai wanasiasa wa Lamu huwajia kuomba kura kila wakati uchaguzi mkuu unapowadia na punde wanapoingia uongozi huwasahau. Msemaji wao, Bw Kombo Abushir, alisema kwa miaka mingi wanaendelea kuhangaika wakitafuta makao ilhali

1 year ago


Kigali suspends Miss Rwanda pageant over sex abuse probe

Pageant organiser Dieudone Ishimwe has been arrested following accusations of sexual abuse of contestants.

1 year ago


Milard Ayo General
Live: Waziri Makamba anatoa kauli ya Serikali kuhusu bei ya Mafuta

Ni Mei 10, 2022 ambapo Waziri wa Nishati, January Makamba anatoa kauli ya Serikali kuhusu bei ya Mafuta.

1 year ago


The Citizen General
Kenya's economy booms as Tanzania softens borders

Tanzania’s exports into Kenya were the highest ever, doubling in 10 months.

1 year ago


Mtanzania General
MERIDIANBET YATOA MKONO WA PONGEZI KWA KINA MAMA WATAFUTAJI.

Nyumba ya Mabingwa, Imeendelea Kuwapathamani Wanafamilia Wake. Mei 8 kila mwaka, huwa ni siku maalumu ya kusherehekea maisha ya kinamama kote duniani. Hawa ni watu muhimu kwenye uzazi, malezi, ustawi na maendeleo ya jamii zetu. Neno mama ni neno fupi lakini, lina maana kubwa kwenye maisha ya mwanadamu. Kwa kutambua umuhimu wa kinamama, Meridianbet iliamua

1 year ago


The Citizen General
President Samia to visit Uganda

President Samia Suluhu is set to travel to Uganda on Tuesday, May 10 for a two-day official visit at the invitation of President Yoweri Museveni, State House has announced.

1 year ago


The Citizen General
Kenya resolves fuel dispute with Uganda

Kenya has moved to avert a diplomatic spat with Uganda over a decision to localise fuel cargo meant for Kampala.

1 year ago


Milard Ayo General
Ujumbe wa Rais wa Ukraine kwa Putin ‘Tutapambana, tulishinda zamani na tutashinda sasa’

Wakati Urusi ikisherekea ushindi walioupata kwenye vita vya pili vya dunia dhidi ya NAZI GERMANY Mei 9 1991 huku wakieleza nia ya kuendeleza Operesheni yake maalum nchini Ukraine

1 year ago


Taifa Leo General
IEBC: Sonko yuko huru kuwania kiti kwa sasa

VALENTINE OBARA NA KENNEDY KIMANTHI GAVANA wa zamani wa Nairobi, Bw Mike Sonko (pichani), atakuwa huru kisheria kuwania ugavana Mombasa mradi tu awe amekata rufaa dhidi ya uamuzi wa bunge la kaunti ya Nairobi kumtimua mamlakani. Haya yamethibitishwa baada ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kufafanua kuwa, haina mamlaka ya kuzuia mwanasiasa yeyote

1 year ago


Mwanaspoti Sports
KWA MAYELE! Hadi Kaze anashangaa!

KOCHA Msaidizi wa Yanga, Cedrick Kaze amesema anashangazwa na mashabiki wa soka wanaombeza straika wa timu hiyo, Fiston Mayele baada ya kushindwa kutetema katika mechi mbili mfululizo zilizopita huku akikiri, kwake ndiye mchezaji bora wa msimu.

1 year ago


President Samia set to visit Uganda

Visit aims at strengthening relations and economic cooperation.

1 year ago


Mwanaspoti Sports
Yanga yanasa beki wa Henry

KIKOSI cha Yanga jana kilishuka uwanjani kuvaana na Tanzania Prisons, lakini mashabiki wa klabu hiyo wana kila sababu ya kufurahi zaidi kwa sasa baada ya mabosi wa timu hiyo kumnasa beki wa kushoto fundi wa kumwaga maji.

1 year ago


Mwanaspoti Sports
Simba hesabu kali

SIMBA usiku wa juzi ilikuwa uwanjani kumalizana na Ruvu Shooting, huku mabosi wake wakianza hesabu mpya kwa ajili ya msimu ujao, ikiwaweka kwenye rada zao nyota wawili wakali wa kutupia.

1 year ago


Sierra Leone launches bid for UN Security Council seat

Voting for the next cohort of non-permanent slot is slated for this June, during the UN General Assembly in New York.

1 year ago


Milard Ayo General
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo May 10, 2022

Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam May 10, 2022,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania,

1 year ago


Uganda releases Kenyan students from Luzira prison

The students were set free after paying fines of Ksh50,000 ($431) each after spending the last one month behind the bars.

1 year ago


Court summons Muhoozi over 'presidential bid'

He is accused of of engaging in political activities and pronouncements as he celebrated his 48th birthday last month.

1 year ago


Baba Levo 2 weeks ago  
Zuchu 1 week ago  
Zuchu 3 days ago  
Alikiba 3 weeks ago  
LadyJaydee 2 weeks ago  
YPrince Official 2 weeks ago  
Diamond Platnumz 2 weeks ago  
Lony Bway 4 weeks ago  
Burna Boy 1 week ago  
Diamond Platnumz 1 week ago  
Nandy - The African Princess 1 week ago  
Godfrey Steven 1 month ago  
Rayvanny 16 hours ago  
Obby Alpha 🏅 3 weeks ago  
kontawa 1 week ago  
Jay Melody 1 month ago  
Billnass 1 month ago  
AbigailChamsVEVO 13 hours ago  
Appy (Tz) 17 hours ago  
Milard Ayo General
Mrembo Ella Mai katuletea hii Album yake mpya ‘Heart on my Sleeve’ isikilize hapa

Ni Mkali mrembo mwenye uraia wa Uingereza aishie Marekani mrembo Ella Mai (28) ambae Dunia ilimtambua baada ya kufanya vizuri kwenye hits single zake kadhaa zikiwemo, ‘Boo’d Up, Trip ambazo zilimpa airtime za kutosha hususani Kupitia kwenye charts za Billboard.

1 year ago


Taifa Leo General
Watu 2 wafariki baada ya gari lao kutumbukia mtoni

NA GEORGE MUNENE WATU wawili akiwemo dereva Jumatatu waliaga dunia, baada ya gari walilokuwa wakisafiria kutumbukia kwenye mto Rubingazi, katika daraja la Mwiria, kaunti ya Embu. Mwanamke aliyekuwa abiria wa tatu katika gari hilo la Probox, aliokolewa na kupelekwa katika Hospitali ya Rufaa ya Embu. “Tumemwokoa mwanamke aliyekuwa akisafiri katika gari lililopata ajali pekee. Tumeuopoa

1 year ago


Mtanzania General
Dk. Hoseah: TLS haiwezi kuendelea kutegemea wanachama tu

*Asisitiza TLS itawekeza ili kujiimarisha kiuchumi Na Faraja Masinde, Mtanzania Digital Mgombea wa nafasi ya Urais katika Chama cha Wanasheria Tanganyika(TLS), Dk. Edward Hoseah amesema chama hicho hakiwezi kuendelea kutegemea michango ya wanachama pekee badala yake kinapaswa kuwekeza. Dk. Hoseah ameyasema hayo leo Jumatatu Mei 9, 2022 jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi

1 year ago


The Citizen General
Court summons Muhoozi Kainerugaba over his presidential bid

Plans by the First Son of Uganda Muhoozi Kainerugaba to succeed his father are facing resistance, with the army lieutenant-general now being dragged to court.

1 year ago


The Citizen General
President Samia announces fuel price relief package from June 1

President Samia Suluhu Hassan has on Monday, May 9, said that that relief on fuel prices will start to take effect from June 1.

1 year ago


Taifa Leo General
WANDERI KAMAU: Uchumi: Kuna uwezekano Serikali inawapotosha raia

NA WANDERI KAMAU KUTOKANA na maendeleo ya kiteknolojia, usambazaji wa habari duniani umebadilika kabisa. Kwa sasa, ni rahisi mtu kujua mambo tofauti yanayoendelea duniani akiwa popote alipo, bora tu awe na rununu, kompyuta au kipakatalishi kilichounganishwa na mtandao wa intaneti. Kwa hilo pekee, itakuwa rahisi kwake kujua yale yanayofanyika barani Asia, Ulaya, Amerika (Kusini na

1 year ago


Taifa Leo General
WANTO WARUI: KNEC itatue tatizo la uhamaji wa wanafunzi wa CBC kutoka shule moja hadi nyingine

NA WANTO WARUI MFUMO mpya wa elimu unaojulikana kama CBC hatimaye umefikia kilele cha kuwatahini wanafunzi wake wa kwanza mwaka huu ambao ni wale wa Gredi ya 6. Hata hivyo, mambo bado hayajanyooka kwa kuwa mfumo wenyewe una changamoto kadha wa kadha ambazo zinaukumba. Moja ya changamoto hizo ni uhamishaji wa wanafunzi hasa wa Gredi

1 year ago


Taifa Leo General
Liverpool kigezoni dhidi ya Aston Villa

Na MASHIRIKA NDOTO ya Liverpool kutia kapuni taji la Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) msimu huu itazimika leo Jumanne iwapo watazidiwa maarifa na Aston Villa ya kocha Steven Gerrard uwanjani Villa Park. Gerrard, 41, aliwahi kuchezea Liverpool (1989-2015) na LA Galaxy ya Amerika (2015-16) kabla ya kujitosa katika ulingo wa ukufunzi. Tofauti na Liverpool ambao

1 year ago


Somalia polls: First 10 list to vie for presidency

More presidential candidates are expected to register on Monday and Tuesday.

1 year ago


Peruzzi