Logistics and Supply Chain – Talent Community About the Company With over 74,000 employees at 1,400 locations in over 100 countries, the Kuehne+Nagel Group is one of the world’s leading logistics companies. Its strong market position lies sea logistics, air logistics, road logistics and contract logistics with a clear focus on integrated logistics solutions. Interested
The post Logistics and Supply Chain – Talent Community appeared first on Wasomi Ajira.
1 year ago
Ramaphosa, who is fully vaccinated, began feeling unwell after leaving a state memorial service for former president FW de Klerk in Cape Town.
1 year ago
Na WANTO WARUI TANGU muhula wa pili wa mwaka huu wa 2021 kuanza, wanafunzi wengi wa shule za Sekondari wamekuwa wakifanya michezo ya paka na panya na walimu. Kuchoma shule na kuzua fujo mara kwa mara kwa wanafunzi kumewaacha walimu na wazazi hoi wasijue la kufanya. Walioathirika zaidi ni wazazi hasa wale wasioweza kujikimu kimaisha
1 year ago
Na WANDERI KAMAU MANIFESTO huwa ni orodha ya ahadi za kisiasa, kiuchumi na kijamii ambazo vyama ama wagombea wa nyadhifa mbalimbali huahidi kuwatimizia wafuasi wao ikiwa watafaulu kutwaa nafasi hizo. Ni mtindo ambao umekuwepo kwa muda mrefu katika mifumo yote ya kiutawala ambayo ishawahi kuwa hapa duniani—ya kidemokrasia, kifalme ama kikomunisti. Chimbuko lake lilitokea katika
1 year ago
Na BRIAN OCHARO CHAMA cha Pamoja African Alliance (PAA), kinachoongozwa na Gavana wa Kilifi, Bw Amason Kingi, kimepanga kuandaa mkutano kuondolea wafuasi wake dukuduku kuhusu mwelekeo ambao kitachukua kwa urais 2022. Hii ni baada ya Bw Kingi kuashiria kuwa chama hicho kitapigia debe azimio la Kiongozi wa ODM, Bw Raila Odinga kwa urais. Wiki iliyopita,
1 year ago
Na WANDERI KAMAU RAIS Uhuru Kenyatta jana Jumapili alirejesha maadhimisho ya sherehe za Sikukuu ya Jamhuri katika Bustani ya Uhuru, Nairobi, ambako zilifanyika kwa mara ya kwanza Kenya ikianza kujitawala Desemba 12 1964. Kwenye hotuba yake, Rais Kenyatta alisema hatua hiyo inalenga kuwafahamisha Wakenya kuhusu safari ambayo Kenya imepiga ili kufikia iliko. “Hili linalenga kutukumbusha
1 year ago
Na MASHIRIKA MKUFUNZI Pep Guardiola wa Manchester City amekiri kuwa ushindani mkali unaotamalaki kampeni za Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) msimu huu huenda ukashuhudia mshindi wa kipute hicho akianza kujidhihirisha katika raundi chache za mwisho wa muhula. Hii ni baada ya Liverpool, Chelsea, Manchester United na Arsenal ambao pia ni wawaniaji halisi wa taji la
1 year ago
Na GEOFFREY ANENE BINGWA wa Afrika, Carl ‘Flash’ Tundo jana Jumapili pia alitawazwa mfalme wa Mbio za Magari za Kitaifa nchini (KNRC) baada ya kumaliza duru ya mwisho ya KCB Guru Nanak Rally katika nafasi ya tatu katika Kaunti ya Kajiado. Licha ya bingwa huyo wa Guru Nanak Rally mwaka 2011, 2012, 2017, 2018 na
1 year ago
Na CECIL ODONGO GOR Mahia jana Jumapili ilirejea hadi kileleni mwa msimamo wa jedwali la Ligi Kuu licha ya kupata sare tasa dhidi ya Bandari katika mechi iliyosakatwa katika uga wa kitaifa wa Nyayo. Mabingwa watetezi Tusker ambao walikuwa wakirejea ligini kwa mara ya kwanza baada ya kubanduliwa kwenye Kombe la Mashirikisho (CAF) wikendi iliyopita,
1 year ago
Na CHRIS ADUNGO JOHN Okwalo Wambani alianza kuvutiwa na ualimu akiwa mtoto mdogo. “Walimu walikuwa watu wa kustahiwa katika jamii na walikuwa wamepiga hatua kubwa kimaendeleo. Ualimu ilikuwa, na bado ni kazi yenye hadhi na tija,” anasema. Bi Kendeli na Bw Andrew Shikanda waliomfundisha Okwalo katika Shule ya Msingi ya Mumias Complex ndio walimvuvia mwanafunzi
1 year ago
Na ENOCK NYARIKI “KWENU ni wapi?’’ afisa kwenye zamu katika kituo cha polisi alimuuliza Machugachuga. “Masosa. Kwetu ni Masosa katika kaunti ya Nyamira,’’ Machugachuga alieleza. “Umetoka mbali hivyo kuja kufanya biashara ya kuuza pombe haramu?’’ ni kama yule askari alimuuliza, ni kama alimsuta. Machugachuga alijitetea kwamba yeye alikuwa msaidizi wa Titi aliyeimiliki biashara hiyo haramu.
1 year ago
CHARLES WASONGA na PIUS MAUNDU BINTI Abigael Mumo, ambaye ni mwanafunzi wa gredi ya tatu katika Shule ya Msingi la Kaluluini, Kaunti ya Machakos, amevutia watu wengi kutokana na talanta yake ya kipekee ya ushonaji wa mazulia madogo ya milangoni (door mats). Mbali na kushona, msichana huyu amekirimiwa kipaji cha kurembesha mazulia hayo kwa maandishi
1 year ago
Taarifa ya mwezi ya Maendeleo ya Uchumi inayotolewa kila mwezi na Benki Kuu ya Tanzania yameonesha sehemu kubwa ya fedha zinazokopwa nje hutumika kwa Usafiri na Mawasiliano.
1 year ago
Magazeti ya leo Tanzania December 13,2021 Newspapers Magazeti ya Leo Jumatatu December 13 2021 Tanzania Newspapers, Magazeti ya Leo Tanzania 13 December 2021 Newspapers , Habari kubwa katika Magazeti ya Leo 13 Dec 2021, Magazeti ya Leo,Magazeti ya Tanzania 13.12.2021, Gazeti,Champion leo 13 December 2021, Mwanasapoti leo 13 December 2021, Mwananchi leo 13 December 2021,
The post Magazeti ya leo Tanzania December 13,2021 Newspapers appeared first on Wasomi Ajira.
1 year ago
Na MHARIRI RAIS Uhuru Kenyatta alitoa hotuba ya Jamhuri Dei jana Jumapili ambayo wapenzi wa historia bila shaka wataiona kuwa ya kusisimua. Ilikuwa hotuba iliyosheheni historia ndefu ya taifa letu kuanzia enzi za ukoloni na juhudi za upiganiaji uhuru hadi pale ambapo nchi ya Kenya iliweza kuwa jamhuri. Rais alieleza kwa kirefu kiini cha kukongamana
1 year ago
Na BENSON MATHEKA RAIS Uhuru Kenyatta jana Jumapili alisema kuwa ndoto yake ya kubadilisha katiba ya Kenya iliyopitishwa 2010 kupitia Mpango wa Maridhiano (BBI), lazima itatimia japo mchakato huo ulisitishwa na Mahakama. Akihutubu alipoongoza nchi kuadhimisha sherehe za 58 za Jamhuri Dei jijini Nairobi, Rais Kenyatta alisema BBI iliahirishwa tu na kwamba ni lazima mianya
1 year ago
Na MASHIRIKA NEW YORK, Amerika RAIS Joe Biden wa Amerika ameahidi kuyasaidia majimbo yaliyoathiriwa na msururu wa vimbunga Jumapili, ambapo viliharibu mamia ya nyumba, biashara na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 100. Akitaja vimbunga hivyo kama “mojawapo ya mikasa mikubwa zaidi kuwahi kuikumba nchi hiyo”, Biden aliidhinisha msaada wa dharura kutolewa kwa jimbo la
1 year ago
PSCU na CHARLES WASONGA RAIS Uhuru Kenyatta Jumapili alikariri umuhimu wa umoja wa kitaifa alipoongoza taifa katika sherehe ya maadhimisho ya Jamhuri Dei katika bustani ya Jamhuri, Nairobi. Bustani hiyo ilikarabatiwa na Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF) kutokana na umuhimu wake kihistaria kwani hapo ndipo bendera ya mkoloni ilishushwa na bendera Kenya ikapandishwa ili
1 year ago
Na PIUS MAUNDU CHAMA cha Wiper, kimetofautiana na Kanu kuhusu ushirikiano wa Muungano wa One Kenya Alliance (OKA) na chama cha ODM kabla ya uchaguzi mkuu ujao. Mwenyekiti wa Kanu, Bw Gideon Moi, Ijumaa alisema kuwa OKA haikuwa na tofauti na Bw Odinga kwa kuwa wana lengo moja kwenye uchaguzi mkuu ujao. Hata hivyo, viongozi
1 year ago
Na WANGU KANURI WATUMIAJI wa mtandao wa kijamii wa Twitter wameonyesha hisia mseto baada ya Gavana wa Kitui Charity Ngilu kuchapisha picha ya Naibu Rais William Ruto akiwa amevalia mavazi ya kitamaduni na kisha kudai kwamba ni kama alisaka huduma za mganga. Kwenye picha zilizomfanya Bi Ngilu kutoa matamshi ya aina yale, Naibu Rais alikuwa
1 year ago
Na VITALIS KIMUTAI CHAMA cha ODM kinachoongozwa na aliyekuwa waziri mkuu Raila Odinga, kimepiga hatua na chatarajiwa kutoana jasho na United Democratic Alliance (UDA), cha Naibu Rais William Ruto eneo la Rift Valley kwenye uchaguzi mkuu ujao. Vyama hivyo viwili, pamoja na kile cha Kanu cha seneta wa Baringo, Gideon Moi, ndivyo vyama vikubwa vya
1 year ago
Na BENSON MATHEKA HATUA ya kiongozi wa chama cha Amani National Congress (ANC) Musalia Mudavadi na mwenzake wa Ford Kenya Moses Wetangula ya kukataa mwaliko wa kiongozi wa ODM Raila Odinga kuhudhuria kongamano la Azimio la Umoja alilotangaza rasmi azma yake ya urais inaweza kuwa mwanzo wa mwisho wa Muungano wa One Kenya Alliance (OKA).
1 year ago
Na CHARLES WASONGA HATUA ya Naibu Rais William Ruto na kiongozi wa ODM Raila Odinga kushikilia kuwa wawaniaji wanaounga azma zao za urais sharti wawanie kwa tiketi za vyama vyao huenda ikawakosesha kura mwaka ujao. Hii, kulingana na wadadisi, ni kwa sababu vyama vingine vidogo hukumbatiwa na wawaniaji ambao hutendewa hiana katika mchujo wa vyama
1 year ago
Na CHARLES WASONGA MZOZO ndani ya chama cha Ford Kenya utafikia kilele Jumanne pale mrengo unaoongozwa na mbunge wa Kanduyi Wafula Wamunyinyi utakapokigura rasmi na kujiunga na chama kingine cha kisiasa. Wadadisi wanasema hatua hiyo ni pigo kwa chama hicho ambacho ni chama kongwe zaidi cha upinzani nchini. Kiliasisiwa na aliyekuwa shujaa wa ukombozi wa
1 year ago
Na WANDERI KAMAU SUALA lililozua gumzo wiki hii ni majibizano yaliyozuka kati ya mrengo wa Naibu Rais William Ruto na mwanasiasa Maina Njenga (Laikipia), baada ya watu wanaodaiwa kuwa wafuasi wa Bw Njenga kumzomea vikali Dkt Ruto alipofanya kampeni katika eneobunge la Laikipia Magharibi, Kaunti ya Laikipia. Kwa ghadhabu, Dkt Ruto aliwakosoa vikali watu hao,
1 year ago
Na SAMMY WAWERU SHEREHE za madhimisho ya Jamhuri Dei 2021 zimefanyika Jumapili, katika Bustani ya Uhuru, jijini Nairobi. Rais Uhuru Kenyatta ameliongoza taifa katika maadhimisho hayo ya Makala ya 58, yanayosherehekewa kila mwaka, baada ya Kenya kuwa Jamhuri Desemba 12, 1963. Kati ya viongozi wenye nyadhifa kuu serikalini na wanasiasa waliohudhuria, ni naibu wa rais,
1 year ago
Na CHARLES WASONGA KWA mara nyingine Rais Uhuru Kenyatta amesisitiza kuwa mageuzi ya katiba yaliyopendekezwa katika Mswada wa Mpango wa Maridhiano (BBI) sharti yatatekelezwa. Akiongea Jumapili katika bustani ya Jamhuri, jijini Nairobi, wakati wa sherehe za 57 za Jamhuri Rais alisema kuwa mchakato huo utachangia kupililia umoja ambao mashujaa wa uhuru walipigania tangu 1963. “Tunahitaji
1 year ago
WACHEZAJI wa Yanga jana waligawa jezi kwa mashabiki wao waliofika kwenye Uwanja wa Mkapa kushuhudia mechi yao ya Ligi Kuu Bara mzunguko wa nane.
1 year ago
Ni Desemba 11, 2021 ambapo kipindi cha XXL cha Clouds FM kimekutanisha wanafunzi katika tamasha liitwalo Xtra Uni Bash ambapo linafanyika Jangwani Sea Breezy Mbezi Beach Dar es Salaam.
1 year ago
Despite a huge potential in the spices business worldwide, the crop’s value chain faces numerous challenges ranging from farmers, processors and transporters.
1 year ago
The government is ready to give a much-needed back up to members of the private sector, but a challenge with them is that they lacked commitment and trust, it was said yesterday.
1 year ago
Agricultural scientists have sent an alarm over a deadly banana disease recently detected in the country.
1 year ago
Agricultural scientists have sent an alarm over a deadly banana disease recently detected in the country.
1 year ago
Mwanamuziki Nyamari Ongegu maarufu Nyanshiski amefunga ndoa na mpenzi wake Zia Bett katika hafla ya faragha iliyofanyika mapema Desemba 10, 2021.
1 year ago
The President of Zanzibar, Dr Hussein Ali Mwinyi yesterday said newly emerging union contentious issues will not be eliminated completely despite efforts made. H
1 year ago
Na Renatha Kipaka, Bukoba Meya wa Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, Godson Gypson pamoja na wenyeviti wa Kamati za kudumu wa Halmashari hiyo ametoa siku tatu kwa Mkuu wa shule ya Sekondari Buhembe, Constantine Nyawawa kukamilisha ujenzi wa vyumba viwili vya madarasashuleni hapo huku akimtaka Ofisa elimu sekondari, Frances Nshaija kufuatilia ili kubaini kama kuna
1 year ago
Political stakeholders said Tanzania has issued a strong lesson to African countries and the world community after making a smooth power transfer following the demise of former President John Magufuli.
1 year ago
December 12,2021 Matokeo Azam Fc vs Kagera Sugar NBC Premier League,Results, Matokeo Azam vs Kagera,Azam Fc vs Kagera Sugar leo,Livescore , Matokeo NBC Premier League 12 December 2021, Matokeo Ligi Kuu Leo. The Tanzania Mainland Premier League is the top-level professional football league in Tanzania and is administered by the Tanzania Football Federation. The league
The post Matokeo Azam Fc vs Kagera Sugar NBC Premier League appeared first on Wasomi Ajira.
1 year ago
December 12,2021 Matokeo Mtibwa Sugar vs Biashara United NBC Premier League,Mtibwa vs Biashara, Matokeo Mtibwa vs Biashara 12.12.2021, Mtibwa Sugar vs Biashara United 12 December 2021 Mtibwa Sugar Football Club is a Tanzanian football club based in Turiani. Their home games are played at Manungu Stadium.and using stadiums such as CCM jamhuri and Gairo
The post Matokeo Mtibwa Sugar vs Biashara United NBC Premier League appeared first on Wasomi Ajira.
1 year ago
Na Mwandishi Wetu, Arusha CHAMA Cha Wanawake Wanasheria Tanzania (TAWLA), tawi la Arusha, kimekutanisha madiwani kutoka majimbo matano ya mkoani Arusha na kuwapa mafunzo ya masuala ya uongozi. Tawla ilikutanisha madiwani hao kupitia mradi wa kuongeza ushiriki wa wanawake na vijana katika nafasi za uongozi wa kisiasa(IDIEP) ambao wanautekeleza katika mikoa mbalimbali nchini unaofadhiliwa na
1 year ago
MWAMUZI Herry Sasii amepewa mambo matano ili kuhakikisha anahitimisha salama ngwe ya dakika 90 ya dabi ya watani wa jadi Simba na Yanga hii leo kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam.
1 year ago
ISHU ya mkataba wa GSM na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imebadilika baada ya jana Simba kugomea mkutano wa maandalizi sababu kubwa ikitajwa ni kuwemo na mabango ya mdhamini mwenza huyo wa Ligi Kuu Bara.
1 year ago
Na Mwandishi Wetu, Kilimanjaro KWA miongo kadhaa sasa kumekuwa na juhudi mbalimbali za Serikali za kuhakikisha inapunguza tatizo la umasikini uliokithiri nchini. Juhudi hizo zimeendana na kuanzishwa kwa mifuko na taasisi kadha wa kadha, zote lengo lake likiwa ni kupunguza umasikini wa kaya ama mtu mmoja mmoja. Kati ya mifuko hiyo iliyoanzishwa na serikali kwa
1 year ago
Chief Communications Officer at Kyaro Assistive Tech,Nafasi za Kazi Kyaro Assistive Tech, Chief Communications Officer, Employment Opportunities Title: Communications LeadLocation: Arusha, TanzaniaDeadline: 20th December 2021 About Kyaro Assistive TechKyaro is a NGO startup that designs and manufactures assistive devices for thesub-saharan african market. It is our mission to provide devices that are appropriate
The post Chief Communications Officer at Kyaro Assistive Tech appeared first on Wasomi Ajira.
1 year ago
Jomo Kenyatta signed the declaration of independence documents, stood and shook hands with British monarch Prince Philip. When the Duke of Edinburg handed him the tools of independence, an ecstatic crowd at Uhuru Gardens – estimated to be 250,000 people – erupted in an applause and a standing ovation.
1 year ago
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam December 12, 2021,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
1 year ago
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Mwinyi amesema licha ya kero nyingi za Muungano kupatiwa ufumbuzi lakini hazitakwisha kabisa kwasababu yapo mambo yanayoibuka kulingana na mahitaji na matakwa ya wakati uliopo.
1 year ago
NI Disemba 11, 2021 ambapo watani wa jadi Simba SC na Yanga FC walikipiga katika uwanja wa Benjamin Mkapa na matokeo kumalizika Bila kwa Bila yaani Simba 0 – 0 Yanga.
1 year ago
CHARLES WASONGA na MWANGI MUIRURI CHAMA cha ODM kimemuomba msamaha Mbunge wa Maragua Mary Wamaua kufuatia kisa ambapo alidhulumiwa na walinda usalama katika mkutano wa Azimio la Umoja Ijumaa. Kwenye video iliyosambaa mitandaoni siku hiyo Bi Wamaua alionekana akibishana na walinda usalama katika lango la kuingia watu mashuhuri katika uwanja wa michezo wa Kasarani, Nairobi
1 year ago
CHARLES WASONGA na SHABAAN MAKOKHA WANDANI wa Naibu Rais William Ruto wamedai kuwa kiongozi wa ODM Raila Odinga atasalitiwa na wale wanaunga mkono azma yake ya urais wakiwemo mabwanyenye wa Mlima Kenya. Wanasiasa hao jana walisema dalili ya usaliti huo zilijitokeza Ijumaa katika uwanja wa Kasarani Ijumaa wakati wanasiasa wakuu nchini walikwepa mkutano wa Azimio
1 year ago