Taifa Leo News

Sababu ya wengi katika sekta ya kilimo kuomba bei ya petroli izidi kupanda

NA MWANGI MUIRURI BEI hasi ya bidhaa za petroli imezua mwamko mpya wa ubunifu katika kilimo cha unyunyiziaji mimea maji ambapo wakulima sasa wanatumia gesi kama nishati mbadala. Bei ya...

13 minutes ago


Taifa Leo General

Raychelle Omamo na Faith Odhiambo: Wanawake pekee kuwaongoza mawakili nchini

NA WANDERI KAMAU USHINDI wa Bi Faith Mony Odhiambo kama kiongozi mpya wa Chama cha Mawakili Kenya (LSK), umetajwa kuwa wa kipekee, kwani ndiye mwanamke wa pili kukiongoza chama hicho...

35 minutes ago


Taifa Leo Entertainment

DOMOKAYA: Hivi kweli haya mapenzi yana maana gani haswa? Binadamu hapendeki!

NA MWANAMIPASHO Duh! Hivi wanazengo hebu soogeni karibu niwaulize jambo. Hivi kweli haya mapenzi yana maana? Maana mimi binafsi sioni. Bwana binadamu hawapendeki. Kheri umpende mbuzi maana utakuja kufaidi mchuzi,...

39 minutes ago


Taifa Leo News

Manusura wa shambulio la Al-Shabaab aapa kuhubiri amani hadi kifo

NA KALUME KAZUNGU TUKIO la kigaidi la mwaka 2014 mjini Mpeketoni, Kaunti ya Lamu liliacha makovu mabaya kwenye maisha ya wengi eneo hilo. Shambulio hilo la Al-Shabaab lililotekelezwa Juni 15,...

1 hour ago


Taifa Leo General

Jinsi tumbiri wanavyofanya uharibifu shambani, kuiba pombe

NA MWANGI MUIRURI IKIWA kuna mnyama ambaye amesumbua wakulima wa Murang’a kwa muda sasa, ni tumbiri. Tumbiri wamezidisha utukutu wao kiasi kwamba kando na kutisha kubaka wanawake, wameingilia tabia za...

2 hours ago


Milard Ayo General

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 1, 2024

Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam March 1, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.

2 hours ago


Milard Ayo News

Usiku huu!! Waziri Mkuu Majaliwa atangaza ratiba’Ukitaka kumuaga Mzee Mwinyi’

Ni Usiku huu ambapo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatangaza ratiba ya shughuli ya Mazishi ya Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa Tanzania, Ally Hassan Mwinyi ambae alifariki Dunia Februry...

5 hours ago


Milard Ayo News

GSM Group of Companies yatoa salamu za pole kufuatia msiba wa Rais Mstaafu Mwinyi

Ni February 29, 2024 ambapo Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa Tanzania, Ally Hassan Mwinyi amefariki Dunia saa 11:30 jioni Hospitalini Jijini Dar es salaam alipokuwa akipatiwa matibabu ya...

6 hours ago


Milard Ayo News

Mzee Mwinyi alivyowapa faraja wafiwa msiba wa Magufuli, ‘Wote walicheka hoi’- RIP Mwinyi

Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa Tanzania, Ally Hassan Mwinyi amefariki Dunia leo Februry 29,2024 saa 11:30 jioni Hospitalini Jijini Dar es salaam alipokuwa akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa...

8 hours ago


Habari Leo News

Mzee Mwinyi afariki Dunia akiwa na miaka 98

Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza siku saba za maombolezo Mzee Mwinyi alikuwa akisumbuliwa na saratani ya mapafu The post Mzee Mwinyi afariki Dunia akiwa na miaka 98 first appeared on...

8 hours ago


Load More...

Trending on YouTube

Thumbnail
Ibraah Feat. Harmonize - Dharau (Official Lyrics Video)
Thumbnail
Diamond Platnumz Ft Mr. Blue & Jay Melody - Mapoz (Official Music Video)
Thumbnail
Nandy feat Alikiba - Dah! (Official Music Video)
Thumbnail
Marioo Ft Harmonize - Away (Official Music Video)
Thumbnail
Harmonize Feat. Bobby Shmurda & Bien - I Made It (Official Music Video)
Thumbnail
Zuchu ft Dadiposlim - Zawadi (Official Music Video)
Thumbnail
Mbosso - Umechelewa (Official Music Video)
Thumbnail
Jux - Nisiulizwe (Official Audio) [Visualizer]
Thumbnail
Vanillah feat Tommy Flavour - Body (Official Music Video)
Thumbnail
Abigail Chams - Milele (Official Music Video)

Job Vacancies

Entertainment