Taifa Leo General
Omanyala atutumua misuli akijiandaa kuwakabili wapinzani katika Diamond League nchini Italia

Na GEOFFREY ANENE MSHIKILIZI wa rekodi ya Afrika mbio za mita 100, Ferdinand Omanyala atakuwa na fursa nzuri ya kulipiza kisasi atakapokutana na Mwamerika Fred Kerley katika Diamond League mjini Florence, Italia mnamo Ijumaa. Macho pia yatakuwa kwa malkia wa mbio za 1,500m, Faith Chepng’etich Kipyegon. Majina makubwa kutoka Kenya katika mbio za 3,000m kuruka

1 day ago


Milard Ayo General
Tupac Shakur Kupokea tuzo ya ‘Dead Star on Hollywood Walk of Fame’

Tupac Shakur baada ya kifo chake anatunukiwa kama nyota kwenye Hollywood Walk of Fame takriban Miaka 27 baada ya kufariki kwake kulingana na CBS News. Kulingana na kituo hicho, Ana Martinez, mtayarishaji wa shirika hilo, alipost taarifa hiyo kupitia Twitter siku ya Jumatano. Katika tweet, Martinez alishiriki picha ya Tupac na maelezo mafupi kuhusiana na

1 day ago


Mwanaspoti Sports
UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Shughuli ya Yanga imeishia kwa Mkapa?

BAADA ya matokeo ya Jumapili iliyopita ya Yanga kupoteza nyumbani dhidi ya USM Alger ni rahisi kutabiri kwamba wamekosa ubingwa wa Kombe la Shirikisho Afrika. Matokeo hayo yanamaanisha Yanga itahitaji kushinda walau mabao 2-0 ugenini ili itwae ubingwa. Matokeo ambayo haionekani kwa namna ambavyo USM Alger imecheza kwa Mkapa. Vinginevyo ni Yanga kushinda mabao 2-1 kisha kuupeleka mchezo katika hatua ya matuta. Ni kwa jinsi gani Yanga itapata mabao mawili ugenini kama imeshindwa kwa Mkapa? Hatuna majibu. Mojawapo kati ya...

1 day ago


Milard Ayo General
Zimbabwe yapitisha mswada wa kuadhibu raia wenye ‘vitendo visivyo vya kizalendo’

Bunge la Zimbabwe limepiga kura kuunga mkono mswada wenye utata wa kuwaadhibu raia kwa “vitendo visivyo vya kizalendo”, ikiwa ni pamoja na kuwatoza faini kubwa au hata adhabu ya kifo huku wakosoaji wakiita siku ya giza kwa demokrasia. Kipengele kinachojulikana kama uzalendo wa Sheria ya Jinai kinalenga wale wanaodhuru “maslahi ya kitaifa ya Zimbabwe”. Inajumuisha

1 day ago


Zimbabwe passes law to punish 'unpatriotic' citizens

The Patriotic Bill prohibits citizens from holding meetings with foreign governments.

1 day ago


Taifa Leo General
Madaraka Dei: Kamishna wa Trans-Nzoia awaonya watengenezaji pombe haramu

NA OSBORN MANYENGO KAMISHNA wa Kaunti ya Trans-Nzoia Gideon Oyagi ameonya watengenezaji wa pombe haramu eneo hilo huku akiwataka waachane na biashara hiyo. Akihutubia wakazi kwenye hafla ya kuadhimisha Madaraka Dei katika uwanja wa shule ya Bikeke iliyoko kaunti ndogo ya Kiminini Bw Oyagi amesema ni lazima pombe haramu imalizwe kila sehemu Trans-Nzoia huku akiwataka

1 day ago


Milard Ayo General
Rais wa FIFA Gianni Infantino aipongeza Young Africans ,ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/23

Rais wa FIFA Gianni Infantino ameipongeza Young Africans kwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2022/23. Hii ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Alhamisi asubuhi. Pia inaashiria kuwa bosi huyo wa FIFA pia amelipongeza shirikisho la soka la nchi hiyo kwa mchango wake katika maendeleo ya

1 day ago


Milard Ayo General
Kiongozi wa upinzani nchini Senegal Ousmane Sonko ahukumiwa miaka miwili jela

Mahakama ya uhalifu mjini Dakar siku ya Alhamisi imemhukumu kiongozi wa upinzani nchini Senegal Ousmane Sonko, anayetuhumiwa kwa ubakaji, kifungo cha miaka miwili jela kwa “rushwa kwa vijana”, na uamuzi ambao unamzuia kuwania katika uchaguzi wa urais wa mwaka 2024, wakati mvutano wa kisiasa ukiendelea kushuhudiwa nchini humo. Sonko, 48, alishtakiwa kwa kumbaka mwanamke ambaye

1 day ago


Mwanaspoti Sports
Kipa Simba ampa tano Diarra

ACHANA na matokeo ya Yanga dhidi ya USM Alger kubwa ni kipa wa zamani wa Simba na timu ya Taifa, Taifa Stars, Kelvin Mhagama amesema makipa wa Tanzania wana vitu vingi vya kujifunza kutoka kwa nyanda wa Yanga Djigui Diarra. Diarra amekuwa kipa namba moja katika kikosi cha Yanga na ameiwezesha timu hiyo kuchukua ubingwa wa Ligi Kuu Bara pamoja na kufika fainali ya Kombe la Shirikisho na la Azam Sports Federation( ASFC). Mhagama ambaye amewahi kuzidakia pia timu za...

1 day ago


Milard Ayo General
Kampuni ya Adidas imeanza tena kuuza yeezys

Sneakers za Kanye West za Yeezy sasa zitauzwa tena na adidas baada ya kampuni hiyo kumaliza ushirikiano wake naye – lakini kuna mpango maalum. Mnamo Mei 11, Mkurugenzi Mtendaji wa adidas Bjorn Gulden alisema kuwa kampuni hiyo iliunda mpango wa muda mfupi wa kuokoa kile kinachoweza kuokoa kampuni hiyo kwa kuuza hesabu iliyobaki. “Tunachojaribu kufanya

1 day ago


Mwanaspoti Sports
Kanoute arudi Mali, aitega Simba

SIMBA ina kazi kubwa mbele yake, wakati inapambana kusajili mastaa wapya wa kuongeza nguvu kikosini, ina mtihani wa kumbakiza kiungo wao mkabaji Sadio Kanoute aliyetoa sharti gumu la kuendelea kuchezea klabu hiyo. Taarifa ya uhakika inasema Kanoute kamaliza mkataba na Simba na yupo nchini kwao Mali, wakati viongozi wanamtaka wakae mezani ili kumpa kandarasi mpya, akawatajia mamilioni ya pesa ikawabidi warudi nyuma kwanza kuvuta pumzi. Chanzo cha taarifa hiyo kinasema "Kanoute ametaja pesa ambayo haikutarajiwa, sasa ilibidi apewe kazi Mels...

1 day ago


 Job Vacancy Highlights Show All 
Taifa Leo General
FKF yashirikiana na FIFA kukuza soka ya akina dada nchini

NA TOTO AREGE  SHIRIKISHO la Soka Nchini (FKF) limezindua kampeni ya kukuza soka ya akina dada na wanawake kwa ushirikiano na Shirikisho la Soka Duniani (FIFA). Kampeni hiyo ni programu ya kimataifa siku ya siku mbili ambayo imeanza Alhamisi na inatarajiwa kukamilika kesho Ijumaa katika uwanja wa Kasarani Annex jijini Nairobi. Akizundua rasmi kampeni hiyo,

1 day ago


Milard Ayo General
Mbunge wa Jimbo la Ushetu aomba Mkoa wa Tanesco Kahama

Mbunge wa Jimbo la Ushetu Emmanuel Cherehani akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Nishati kwa mwka 2023/24 amemuomba Waziri wa Nishati January Makamba kumwelekeza mkandarasi wa kusambaza umeme katika halmashauri ya Ushetu kuongeza kasi ya usambazaji wa huduma ya umeme ili kutatua kero ya ukosefu wa umeme katika vijiji vilivyopo ndani ya

1 day ago


Mwanaspoti Sports
Mghana wa Singida Big ASatupwa nje

KIRAKA wa Singida Big Stars, Nicolas Gyan anaweza kukosa mechi mbili za Ligi Kuu zilizosalia kutokana na kupata majeraha ya nyonga yatakayomweka nje hadi msimu ujao. Gyan amekuwa na kiwango kizuri akicheza kama beki wa kulia katika kikosi hicho huku pia akimudu vyema kucheza kama kiungo mshambuliaji. Mwanaspoti lilipata habari kiraka huyo kwa sasa hafanyi mazoezi na Singida baada ya kupata majeraha na alipotafutwa alikiri ameumia ndio maana hayupo kikosini. "Ndio nimeumia na sina hakika kama nitamaliza hizi mechi mbili...

1 day ago


Mwanaspoti Sports
Mghana wa Singida Big Stars atupwa nje

KIRAKA wa Singida Big Stars, Nicolas Gyan anaweza kukosa mechi mbili za Ligi Kuu zilizosalia kutokana na kupata majeraha ya nyonga yatakayomweka nje hadi msimu ujao. Gyan amekuwa na kiwango kizuri akicheza kama beki wa kulia katika kikosi hicho huku pia akimudu vyema kucheza kama kiungo mshambuliaji. Mwanaspoti lilipata habari kiraka huyo kwa sasa hafanyi mazoezi na Singida baada ya kupata majeraha na alipotafutwa alikiri ameumia ndio maana hayupo kikosini. "Ndio nimeumia na sina hakika kama nitamaliza hizi mechi mbili...

1 day ago


Taifa Leo General
Madaraka Dei: Viti vingi vyakosa wa kuvikalia uwanjani KMTC Siaya

NA KASSIM ADINASI WAKAZI wachache wa Kaunti ya Siaya wamejitokeza katika uwanja wa KMTC kuadhimisha makala ya 60 ya Madaraka Dei, sherehe ambazo zimeadhimishwa kote nchini Kenya. Waliohutubu uwanjani KMTC wameitaka serikali na viongozi kuwawezesha zaidi wanawake na watu wanaoishi na ulemavu. Baadhi ya viti uwanjani humo vilisalia wazi kutokana na idadi ya chini ya

1 day ago


Mwanaspoti Sports
Yanga yapewa mwamuzi mwenye njano 43

YANGA ina dakika 90 za kuchukua au kuutema ubingwa wa Kombe la Shirikisho Afrika wakati itakapokuwa na shughuli pevu katika mchezo wa marudiano wa fainali dhidi ya USM Alger utakaopigwa Jumamosi hii nchini Algeria. Katika mchezo huo utakaopigwa Stade du 5 Juillet, Yanga inahitaji ushindi kuanzia mabao 2-0 ili kuchukua taji hilo baada ya mchezo wa kwanza uliopigwa jijini Dar es Salaam kukubali kichapo cha cha mabao 2-1. Wakati mchezo huo ukisubiriwa kwa hamu, tayari Shirikisho la Soka Afrika (CAF),...

1 day ago


Milard Ayo General
Rapper Lil uzi vert afunguka kutumia miezi 7 rehab yenye mabadiliko makubwa kwake

Lil Uzi Vert amefichua kuwa walikaa zaidi ya nusu mwaka katika rehab, na kudai kuwa nafasi hiyo imekuwa chachu ya  kubadilisha maisha yao. Rapa Philly hivi majuzi alizungumza na jarida la 032c kuhusu wakati wao katika kituo cha matibabu, akielezea jinsi walivyotilia shaka ufanisi wa rehab lakini wakaja kuwa mtu bora. “Nina bahati kuwa na

1 day ago


The Citizen General
Data security and privacy - is your approach holistic?

In today's digital age, there has been a growing awareness and concern about data privacy, partly due to well-publicised data breaches and misuses of personal data by companies that collect and process it.

1 day ago


Mtanzania General
Wabunge Bara, Zanzibar wamsifu Waziri Makamba

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Wabunge mbalimbali wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Bara na Zanzibar wameendelea kuchangia bajeti ya Wizara ya Nishati iliyowasilishwa bungeni jijini Dodoma Mei 31, mwaka huu na Waziri wa Nishati, January Makamba. Miongoni mwa wabunge hao waliopata nafasi ya kuchangia bajeti hiyo mapema leo Juni 1, ni

1 day ago


Milard Ayo General
Asasi za kiraia zahamasishwa kutoa mapendekezo maboresho ya sheria

Taasisi za Serikali, Asasi za kiraia pamoja na wananchi wameendelea kukumbushwa kuwasilisha mapendekezo yao ya maboresho mbalimbali ya sheria katika Tume ya Kurekebisha Sheria kwa ajili ya kufanyiwa utafiti. Rai hiyo imetolewa jana Jijini Dodoma na Katibu Mtendaji wa Tume hiyo, Griffin Mwakapeje alipokutana na Jumuiya ya Asasi za kirai zinazoratibiwa na Taasisi ya mafunzo

1 day ago


Taifa Leo General
Madaraka Dei 2023: Rais Ruto aahidi kuzindua bodaboda zinazotumia nguvu za umeme

NA SAMMY WAWERU RAIS William Ruto ameahidi kuwa serikali yake inaendeleza mikakati kuleta nchini pikipiki zisizotumia mafuta ya petroli. Dkt Ruto alisema Alhamisi, Juni 1, akihutubu katika sherehe za maadhimisho ya Madaraka Dei 2023, bodaboda hizo zitakuwa zinatumia nguvu za umeme. Maadhimisho ya Madaraka Dei 2o23, yalifanyika katika Uwanja wa Moi, Embu ambapo rais aliongoza

1 day ago


Milard Ayo General
Msimu mchanganyiko wa Ronaldo nchini Saudi Arabia ‘swagger kwenye soka la Saudia’

Msimu wa kwanza wa Cristiano Ronaldo nchini Saudi Arabia ulimalizika kwa kishindo, lakini akiwa na mamia ya mamilioni ya mishahara na umakini usio na kifani kwenye soka la Saudia huenda asiwe gwiji wa mwisho kupamba ufalme huo wenye utajiri wa mafuta. Fataki na shangwe zilizojitokeza wakati Ronaldo alipozinduliwa mwezi Januari zilikuwa tofauti kabisa na mwisho

1 day ago


Taifa Leo General
Msitilie shaka Hazina ya Nyumba, Rais awasihi Wakenya

NA MWANDISHI WETU RAIS William Ruto amewataka Wakenya wawe na imani na mpango wa serikali ya Kenya Kwanza kutaka asilimia tatu ya mishahara ya wafanyakazi kuelekezwa kwa Hazina ya Nyumba ili wajengewe makazi bora na ya gharama ya chini. Kwenye hotuba yake kwa taifa wakati wa maadhimisho ya sherehe za makala ya 60 ya Madaraka

1 day ago


Mtanzania General
TEMDO yaanza kusaka mwarobaini wa vifaa tiba

Na Safina Sarwatt, Arusha Taasisi ya Uhandisi na Usanifu Mitambo ya Temdo Tanzania (TEMDO) imeanza kukabiliana na changamoto za vifaa tiba katika hospitali pamoja na vituo vya afya hapa nchini. Kufuatia changamoto hizo TEMDO imefanya tafiti mbalimbali kwa lengo la kutatua nakuleta mabadiliko. Akizungumza jijini Arusha katika Mkutano Mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala

1 day ago


Milard Ayo General
Takriban watu 10,000 wahudhuria sherehe za 60 za Madaraka Kenya

Hii ni mara nyingine  kwa rais Ruto kuongoza nchi kuadhimisha Sikukuu ya Kitaifa tangu aingie madarakani Septemba 13, 2022. Viongozi m wa nchi mbali mbali nao wamehudhuri sherehe hizo hii leo akiwemo Rais akiandamana na Mkewe Rachael Ruto,Rais wa Comoros Azali Assoumani,Rais wa Seychelles Wavel Ramkalawan ni miongoni mwa viongozi wa Afrika wanaosherehekea Siku ya

1 day ago


[email protected]: Time to break the jinx of past regimes

Kenya has suffered one scandal after another since independence, with every regime hellbent on extracting as much as it can from public coffers.

1 day ago


Taifa Leo General
Rais apuuza itifaki za kijeshi na kuamuru waliofungiwa nje ya uwanja waruhusiwe kuingia

NA SAMMY WAWERU RAIS William Ruto Alhamisi, Juni 1, 2023 alipuuza itifaki za kijeshi kuhusu hafla za kitaifa, ambapo baada ya kiongozi wa nchi kuingia ukumbini hakuna yeyote anayeruhusiwa kumfuata. Katika maadhimisho ya Madaraka Dei 2023, yaliyofanyika Kaunti ya Embu, Dkt Ruto kabla kualika baadhi ya wageni mashuhuri kuzungumza na kutoa rasmi hotuba yake, aliagiza

1 day ago


Mtanzania General
Dk.Kiruswa: ‘Wafanyabiashara wa Madini Jasi fuateni bei elekezi ya Serikali’

Na Clara matimo, Lindi Naibu Waziri wa Madini, Dk. Steven Kiruswa amewataka Wafanyabishara wa Madini ya Jasi kufuata bei elekezi iliyopangwa na Serikali huku akitoa onyo kwa watakaokiuka kwani kufanya hivyo ni kuwanyonya wachimbaji wa madini hayo. Pia, ameiagiza Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) pamoja na Shirika la Madini la Taifa

1 day ago


Taifa Leo General
Wasioonyesha uzalendo kuadhibiwa nchini Zimbabwe

NA KITSEPILE NYATHI HARARE, ZIMBAMBWE BUNGE la Zimbabwe mnamo Jumatano lilipitisha sheria yenye utata ambayo inalenga kuwaadhibu raia “wasioonyesha uzalendo”. Aidha, hatua hiyo ya kisheria inakinzana na ahadi ya Rais Emmerson Mnangagwa aliyotoa ya watu kuwa huru zaidi. Chama tawala cha Rais Mnangagwa, ZANU-PF, kilitumia wingi wa wabunge wake kupitisha Mswada wa Marekebisho ya Sheria

1 day ago


Milard Ayo General
Kim Kardashian alalamikia maneno ya Kanye West dhidi ya familia yake

Mazungumzo ya kihisia ya Kim Kardashian kuhusu Kanye West yalihitimishwa siku ya Alhamisi ya kipindi kipya cha The Kardashians alipokuwa akizungumza na mama wa Kris Jenner kuhusu maneno ya hadharani ya mume wake wa zamani, ambayo mengi yalilenga familia yake maarufu,huku  Kardashianalipiga stop  kuhusu  ugomvi wake akiwataja pia West na Taylor Swift. Wiki iliyopita, mwanzilishi

1 day ago


Taifa Leo General
Gachagua: Wakenya wengi wanaamini mikakati ya Rais itaimarisha uchumi wa nchi

NA MWANDISHI WETU NAIBU Rais Rigathi Gachagua amesema anaamini Wakenya wengi wanaunga mkono mikakati ya Rais William Ruto kuikomboa Kenya kiuchumi iache kutegemea madeni. Kwenye hotuba aliyoitoa leo Alhamisi akiwa katika uwanja wa Moi katika Kaunti ya Embu wakati wa sherehe za Madaraka, Bw Gachagua amewataka Wakenya wapuuze “propaganda zinazoenezwa na wapinzani wetu.” “Ninataka kukuhimiza

1 day ago


Milard Ayo General
Juni 1 siku ya Kimataifa ya Watoto:Watoto 484 waliuawa nchini Ukraine na 992 kujeruhiwa tangu vita kuanza

Takriban watoto 484 wameuawa na 992 kujeruhiwa tangu kuanza kwa uvamizi kamili wa Urusi nchini Ukraine, Ofisi ya Mwendesha Mashtaka Mkuu ilisema Alhamisi wakati Ukraine ikiadhimisha Siku ya Kimataifa ya Watoto. “Ofisi ya Mwendesha Mashtaka Mkuu inatoa mwongozo wa kiutaratibu katika kesi za uhalifu unaohusiana na vita zaidi ya 2,900 dhidi ya watoto: mauaji na

1 day ago


The Citizen General
What is behind this hesitancy on the Songas contract?

Despite Songas’ efforts to secure a contract extension, the government has been indecisive for a considerable period.

1 day ago


Milard Ayo General
Sheria dhidi ya ushoga nchini Uganda: “hakuna mtu atakayetufanya tubadilishe mawazo”

Museveni katika mkutano wa wanachama wa chama tawala, alinukuliwa katika taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na rais wa Uganda na kwenye tovuti rasmi ya NRM  kusema ”Kwa hiyo, kutiwa saini kwa muswada huo kumekwisha, hakuna atakayetufanya tuhame” “Rais Museveni aliwataka Waganda kusimama kidete, akisisitiza kuwa suala la ushoga ni jambo zito ambalo linahusu jamii

1 day ago


The Citizen General
Fortune favours African old Big Men

If African “democracies” like Ghana and Nigeria teach us anything, it is that electoral politics favours older presidents.

1 day ago


Mtanzania General
IWPG: Tutatekeleza kifungu cha 10 ‘Usambazaji wa Utamaduni wa Amani’

*Wanawake kutoka kote ulimwenguni washiriki katika Matembezi ya Amani Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Mei 25, mwaka huu Kikundi cha Kimataifa cha Amani ya Wanawake chini ya Mwenyekiti, Hyun Sook Yoon kilishiriki katika Maadhimisho ya 10 ya Mwaka ya HWPL ya Azimio la Amani na Matembezi ya Amani Duniani, yaliyofanyika wakati huo huo huko Seoul,

1 day ago


Mwanaspoti Sports
Yanga yaondoka na matumaini kibao

KIKOSI cha Yanga leo Juni Mosi kimeondoka nchini kwenda Algeria kwa ajili ya kucheza mchezo wa marudiano ya fainali ya Kombe la Shirikisho dhidi ya USM Alger. Yanga katika mchezo wa kwanza ilifungwa mabao 2-1 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa. Mwanaspoti imeshuhudia msafara wa wachezaji, benchi la ufundi, viongozi na mashabiki wanaosafiri na timu hiyo wakiwa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere wakiwa hawana presha yoyote wakienda kwenye mechi inayohitaji ushindi wa mabao 2 na kuendelea. Msafara wa...

1 day ago


Milard Ayo General
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewaomba Watanzania kuiombea Timu ya Yanga ushindi dhidi yaUSM Alger

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewaomba Watanzania kuiombea Timu ya Yanga ili iweze kushinda katika mchezo wake wa pili wa Fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya USM Alger ya Algeria ili warudi na kombe. Waziri Mkuu ameyasema hayo asubuhi Bungeni Jijini Dodoma leo wakati wa kipindi cha maswali ya papo kwa papo kwa

1 day ago


Taifa Leo General
Reuben Kigame aitaka Azimio isitishe vitisho kugawa nchi

NA TITUS OMINDE ALIYEKUWA mgombea kiti cha urais katika uchaguzi mkuu wa 2022 Reuben Kigame ametaka kiongozi wa Azimio la Umoja – One Kenya Raila odinga kuachana na ajenda ya kugawanya nchi ya Kenya. Akihutubu mjini Eldoret, Bw Kigame alisema njia bora ya kuleta mabadiliko nchini na uongozi bora si kutaka kugawa nchi kama alivyotishia

1 day ago


Mbosso 3 weeks ago  
Nandy - The African Princess 2 weeks ago  
MariooOfficial 2 weeks ago  
MariooOfficial 3 weeks ago  
Zuchu 1 month ago  
Alikiba 2 weeks ago  
Yammi 1 week ago  
Anjella 23 hours ago  
Walter Chilambo 1 day ago  
Rayvanny 3 weeks ago  
Chudy love 4 weeks ago  
Martha Mwaipaja 2 weeks ago  
kontawa 1 month ago  
Harmonize 1 week ago  
kontawa 1 week ago  
Taifa Leo General
Sekta za elimu na miundomsingi zatengewa kiasi kikubwa cha mgao wa bajeti

EDWIN MUTAI Na CHARLES WASONGA SEKTA za elimu, miundomsingi na ulipaji deni ndizo zitafyonza sehemu kubwa ya mgao wa fedha katika Bajeti ya kwanza ya Rais William Ruto ya kima cha Sh3.6 trilioni, Kamati ya Bunge la Kitaifa kuhusu Bajeti (BAC) imefichua. Kamati hiyo, kwenye ufichuzi usio wa kawaida, inasema kuwa imetenga Sh600 bilioni kwa

1 day ago


Milard Ayo General
washtakiwa kwa kuiba ,kula ndege aina ya Swan wanaomilikiwa na mji wakidhani ni bata

Vijana watatu wa jimbo la New York walimuua swan ambaye hufanana sana na bata wa kawaida na bata bukini, nakumpika kwaajili ya chakula cha jioni na kuwakamata watoto wake wanne baada ya kudhani kuwa ni bata kwenye kidimbwi cha maji kilichohifadhiwa, polisi walisema. Faye swan inadaiwa aligeuzwa kuwa chakula cha jioni na vijana katika Siku

1 day ago


Mwanaspoti Sports
Mayele kulipwa Sh53 milioni, Yanga kulamba bilioni na ushee

SIRI imefichuka! hivyo ndiyo unavyosema kusema baada ya taarifa kutoka Afrika Kusini kueleza kiwango cha mshahara ambacho mshambuliaji wa Yanga, Fiston Mayele anataka apewe ili atue Kaizer Chiefs. Mayele amekuwa kwenye ubora wa hali ya juu msimu huu akiwa amemaliza kinara wa mabao Ligi Kuu Bara baada ya kufunga mara 16, huku akiwa pia kinara kwenye Kombe la Shirikisho Afrika ambalo timu yake ipo fainali akifunga mabao saba. Taarifa mbalimbali zimekuwa zikisema kutakuwa na ugumu wa Yanga kumzuia Mayele kuondoka...

1 day ago


Milard Ayo General
Zimbabwe kufanya uchaguzi mkuu Agosti 23

Zimbabwe itafanya uchaguzi wake wa urais na bunge tarehe 23 Agosti, Rais Emmerson Mnangagwa alisema Jumatano, wakati nchi hiyo ya kusini mwa Afrika ikiendelea kupambana na mzozo wa kiuchumi unaoendelea. Mnangagwa, aliyechaguliwa kuwa rais mwaka 2018, atakuwa anawania muhula wa pili madarakani. Kuchaguliwa kwake kulifuatia mapinduzi ya kijeshi yaliyomwondoa madarakani Robert Mugabe mwaka wa 2017.

1 day ago


Milard Ayo General
Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani ‘NATO haiwezi kukubali wanachama wapya wakiwa vitani’

NATO haiwezi kukubali wanachama wapya ambao kwa sasa wako vitani, waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani alisema Alhamisi, wakati mawaziri wa mambo ya nje kutoka nchi wanachama wa muungano huo wakikutana mjini Oslo. “Sera ya mlango wazi ya NATO inabakia kuwa sawa, lakini wakati huo huo ni wazi kwamba hatuwezi kuzungumza juu ya kupokea

1 day ago


Mwanaspoti Sports
Nani aondoke?

Kwa maoni ya Feisal Salum 'Fei Toto', akihojiwa leo kitup cja luninga cha Clouds TV amesema anaweza kurudi Yanga kama rais wa timu hiyo, Hersi Said ataondoka. Fei Toto amesema; "Rais kama hayupo sasahivi narudi, akiondoka tu sasahivi narudi Yanga," Mei 24 wakati akihojiwa Clouds Tv rais wa Yanga, Hersi Said alisema; “Feisal ni mmoja kati ya Wachezaji bora na wenye nidhamu ambao tumewahi kuwa nao Yanga hadi leo katika wachezaji ambao niliwakuta Yanga, yeye ni mchezaji mkongwe zaidi kati...

1 day ago


The Citizen General
Rostam's Taifa mining acquires stake in Williamson Diamonds

Petra Diamonds announced yesterday that it has entered into definitive transaction documents that give effect to the Memorandum of Understanding (MoU) that it signed with Caspian Limited, now Taifa Mining and Civils Limited two years ago.

1 day ago


Taifa Leo General
Rais Ruto awasili akiwa amechelewa Embu kuadhimisha Madaraka Dei 2023    

  NA SAMMY WAWERU RAIS William Ruto alichelewa kuwasili katika Uwanja wa Moi, Embu ambako maadhimisho ya Madaraka Dei 2023 yanafanyika, Alhamisi, Juni 1. Dkt Ruto anaongoza taifa kuadhimisha Sikukuu hii ya Juni 1 kila mwaka, inayoandaliwa kusherekea Kenya kupata uhuru wa ndani kwa ndani kujitawala kutoka kwa serikali ya Mbeberu 1963. Kinyume na itifaki

1 day ago


Milard Ayo General
Real Madrid ndio klabu yenye thamani kubwa zaidi duniani kwa mujibu wa Forbes

Kwa mwaka wa pili mfululizo, Real Madrid ndiyo klabu yenye thamani kubwa zaidi ya kandanda duniani ikiwa na thamani ya dola bilioni 6.070, kulingana na Forbes. Chapisho la klabu hiyo linasema katika ripoti yake kwamba klabu yake imepata ongezeko la 19% la thamani ikilinganishwa na mwaka jana. Pia inaangazia mapato yanayotokana na Real Madrid kutokana

1 day ago