Taifa Leo News
Haaland afunga mabao mawili na kusaidia Dortmund kupepeta Besiktas kwenye UEFA

Na MASHIRIKA BORUSSIA Dortmund walikamilisha kampeni zao za Klabu Bingwa Ulaya (UEFA) kwa kutandika Besiktas 5-0 licha ya kufahamu kwamba hawakuwa na uwezo wa kufuzu kwa hatua ya makundi ya kivumbi hicho. Donyell Malen aliwafungulia Dortmund ukurasa wa mabao baada ya kukamilisha krosi ya Jude Bellingham katika dakika ya 29 kabla ya kadi nyekundu ambayo

11 months ago


Milard Ayo General
PICHA 7:Mrembo Hamisa Mobetto atangazwa mbele ya waandishi, apata dili hili

NI Mrembo wa kitanzania maarufu kama Hamisa Mobetto ambae leo Desemba 8, 2021 ametangazwa rasmi kuwa balozi wa Peds za kike ziitwazo HQ.

11 months ago


Taifa Leo Sports
Niko tayari kuwa mgombea mwenza wa Raila- Munya

Na ALEX NJERU WAZIRI wa Kilimo, Bw Peter Munya, amesema hatakataa kuwa mgombea mwenza wa kiongozi wa chama cha ODM Raila Odinga kwenye uchaguzi mkuu ujao. Bw Munya alisifia mdahalo unaoendelea kuhusu uwezekano wake kuwa mgombea-mwenza wa Bw Odinga, kwenye uchaguzi mkuu wa 2022. Akihutubu jana alipofungua Mradi Mpya wa Unyunyizaji Maji wa Makanyanga katika

11 months ago


Milard Ayo News
Awalisha abiria dawa za kikongo

Jeshi la Polisi Mkoani Mara linamshikilia Marco Abdul (68) mkazi wa kijiji cha Rugasha Katoro mkoani Kagera kwa tuhuma za kuwalisha abiria ndani ya mabasi dawa za kienyeji zinazojulikana kwa jina la ‘khabharagata’ zinazoagizwa kutoka Congo kwa lengo la kuwalewesha abiria na kisha kuwaibia.

11 months ago


Taifa Leo News
FAO yaonya kuhusu uvamizi wa nzige

Na GEOFFREY ONDIEKI SHIRIKA la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO), limeonya kuhusu uvamizi mpya wa nzige nchini Kenya na Ethiopia kuanzia kati kati ya mwezi huu wa Desemba. Shirika hilo linaonya kuwa wadudu hao hatari wanataga mayai, ambayo yataanguliwa na kuunda jeshi la nzige kwenye mpaka wa Kenya na Ethiopia katika wiki

11 months ago


Covid-19: Rwanda achieves 30pc full dose vaccine coverage

Rwanda, with a population of 13.3 million, plans to have 9.3 million people fully vaccinated by the end of next year.

11 months ago


The Citizen General
Lightning strikes lovers in the act, leaving one dead

Violet Hassan Mtipa 32, a resident of Masweya Village, Mtunduru Ward, Ikungi District has died after she was struck by lightning while making love in a makeshift structure in the neighbourhood.

11 months ago


The Citizen General
Uhuru Kenyatta to grace Tanzania’s 60th independence anniversary

Kenya’s President Uhuru Kenyatta is expected in the country on Thursday December 9, on a two-day official visit where he is also expected to grace the 60th anniversary of Tanzania’s (Tanganyika) Independence Day celebrations at Uhuru stadium in Dar es Salaam.

11 months ago


The Citizen General
Uhuru Kenyatta to grace Tanzania’s 60th independence celebrations

Kenya’s President Uhuru Kenyatta is expected in the country on Thursday December 9, on a two-day official visit where he is also expected to grace the 60th anniversary of Tanzania’s (Tanganyika) Independence Day celebrations at Uhuru stadium in Dar es Salaam.

11 months ago


The Citizen General
Debate rages over honorary PhDs as questions swirl

The debate over honorary doctorates is raging, with focus having now shifted to bogus online colleges said to be selling “degrees” to those who can afford them.

11 months ago


The Citizen General
Mwinyi: What we are doing to attract more investment

Zanzibar President Hussein Ali Mwinyi yesterday revealed measures his government is taking to attract investment to the Indian Ocean archipelago, which endeavours to reap big from the blue economy.

11 months ago


 Job Vacancy Highlights Show All 
Ethiopia claims more victory against TPLF

TPLF has in recent weeks claimed they were on a march to Addis Ababa.

11 months ago


Taifa Leo News
Spika apuuza hatua ya EACC kuzima uteuzi wa naibu gavana Nairobi

Na COLLINS OMULO SPIKA wa Bunge la Kaunti ya Nairobi Benson Mutura, amepuuzilia mbali hatua ya Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC), kusimamisha uteuzi wa Bw Paul Mutungi kuwa naibu gavana. Bw Mutura jana alisema barua ya EACC imepitwa na wakati kwani tayari Bw Mutungi amepigwa msasa na bunge hilo na kuidhinishwa.Alisema tume

11 months ago


Milard Ayo Travel
Naibu Waziri abomoa uzio Hifadhini “Mwekezaji atakaejenga tutamchukulia hatua” (+picha)

Serikali imeagiza wananchi na wawekezaji wanaoendelea kujenga katika eneo linalozunguka Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara kuacha mara moja ili kuruhusu wanyama kuendelea kuishi katika ikolojia hiyo bila kubugudhiwa.

11 months ago


Taifa Leo News
Utata kuhusu idadi ya waliofariki Mto Enziu

Na KITAVI MUTUA HUKU familia zilizopoteza wapendwa wao katika mkasa wa Mto Enziu katika Kaunti ya Kitui zikiendelea kuomboleza, utata umezuka kuhusu idadi kamili ya watu waliofariki katika tukio hilo la Jumamosi. Shughuli ya kusaka miili ilisitishwa jana huku maafisa wa serikali wakisema idadi kamili ya waliofariki katika mkasa huo ni 32. Vile vile, manusura

11 months ago


Mwanaspoti Sports
Wawa atema cheche Simba

BEKI mkongwe wa Simba, Pascal Wawa amesema siri kubwa ya yeye kurejea kikosi cha kwanza imetokana na kujitambua katika kupigania kiwango chake muda wote ili kuweza kucheza timu hiyo.

11 months ago


UN Mission: Joint DRC-Uganda operation should follow law

UN wants to ensure both civilians and peacekeepers are not harmed in the operations.

11 months ago


Taifa Leo General
Mabwanyenye wa Mt Kenya leo ‘kupitisha’ Raila

Na KENNEDY KIMANTHI MABWANYENYE wa eneo la Mlima Kenya leo wanatarajiwa kumwidhinisha rasmi kiongozi wa ODM, Bw Raila Odinga, kama mgombea urais watakayemuunga mkono kuwania urais kwenye uchaguzi mkuu wa 2022. Mabwanyenye hao watatoa tangazo hilo chini ya mwavuli wa Wakfu wa Mlima Kenya (MKF), siku moja kabla ya Bw Odinga kuzindua azma yake Ijumaa.

11 months ago


Milard Ayo News
Mshukiwa wa ugaidi ajilipua

Mshukiwa wa Ugaidi nchini Kenya ambaye Polisi wanadai alipewa mafunzo na Al Shabaab, John Odhiambo Ondiek amefariki baada ya kujilipua na bomu lililotengenezwa kienyeji ambalo limewaua pia Watu wengine wawili (Mke na Mume).

11 months ago


Milard Ayo News
Mke ajiua baada ya mchepuko kuuawa na Mumewe

Hii ni kutokea Mkoani Kilimanjaro ambapo Watu wawili wamefariki akiwemo kijana aliyeuawa kwa kukatwa na panga baada ya kufumaniwa.

11 months ago


Taifa Leo General
JUMA NAMLOLA: Tulitelekeza watoto wetu kwa muda mrefu, sasa tunavuna matunda ya kutojali

Na JUMA NAMLOLA KINARA wa chama cha ODM, Raila Odinga kwenye kampeni zake miaka iliyopita, alikuwa akisisimua umati kwa hekaya na ngano. Mojawapo ya ngano hizo, ni hadithi kumhusu ngamia.Bw Odinga alisimulia kuwa siku moja kulikuwa kunanyesha, ngamia akatafuta hifadhi kwenye hema. Kwanza, aliomba aruhusiwe aingize kichwa chake tu ili kisinyeshewe. Aliporuhusiwa, akaomba aingize na

11 months ago


Taifa Leo News
TAHARIRI: Ni hatari kupuuza shida za polisi

KITENGO cha UHARIRI TAIFA kwa mara nyingine jana iliamkia habari kuhusu mauaji katika jamii yaliyosababishwa na afisa wa polisi bila sababu mwafaka kujulikana. Katika kisa hicho, afisa wa polisi aliua watu sita akiwemo mke wake na raia wengine watano kabla kujitoa uhai.Visa hivi ambavyo vimekuwa vikitokea mara kwa mara, ambapo afisa wa polisi hutumia silaha

11 months ago


Milard Ayo Travel
Msimu wa sikukuu ‘bata loote porini’

Mamlaka ya Usimamizi wa Hifadhi za Taifa (TANAPA) imewataka Watanzania kusheherekea Sikukuu za mwisho wa mwaka katika Hifadhi za Taifa Kanda ya Mashariki (Mikumi, Udzungwa, Saadani na Nyerere).

11 months ago


The Citizen General
Issues that are still pending in Tanzania’s education system

As Tanzania embarks on the new 60 year stretch in its journey towards the future, the education system, like many other aspects in Tanzanian society, is still in transition.

11 months ago


Mtanzania General
Ripoti: China tishio kwa waandishi

PARIS, Ufaransa RIPOTI mpya ya Waandishi Wasio na Mipaka (RSF) imeitaja China kuendelea kuwa kwenye orodha ya nchi ambazo waandishi wa habari wake wanafanya kazi kwenye mazingira magumu zaidi duniani. Ripoti ya RSF imeiweka China katika nafasi ya 177 kati ya nchi 180, ikiwa imeachwa nafasi mbili tu na Korea ya Kaskazini. Kwa mujibu wa

11 months ago


Mtanzania General
Rushwa ya ngono yawaponza wahadhiri

RABAT, Morocco WAHADHIRI wanne wa vyuo vikuu nchini Moroccco wamepandishwa kizimbani wakituhumiwa kuwaomba rushwa ya ngono wanafunzi wa kike. Wasomi hao, ambao sasa wanashitakiwa kwa kosa la udhalilishaji wa kijinsia, wamejikuta hatiani baada ya kuomba ‘huduma’ hiyo kwa minajili ya kuwapa wanafunzi alama nzuri kwenye mitihani yao. Ukiacha hao wanne, leo alitarajiwa kufikishwa kizimbani mhadhiri

11 months ago


Mtanzania News
Nyumba ya Mchungaji yachomwa moto baada ya maiti kukutwa ndani

LAGOS, Nigeria VIJANA wenye hasira kali wameichoma moto nyumba ya mchungaji wa kanisa mjini Adebun baada ya mtoto mwenye umri wa miaka saba kukutwa amefariki ndani kwake. Taarifa zinadai kuwa mtoto wa kike huyo aliyefahamika kwa jina la Demilade, alikuwa amepotea kwa saa kadhaa, kabla ya mwili wake kukutwa ndani ya nyumba ya mtumishi huyo

11 months ago


Milard Ayo General
Nick Cannon akifunguka huku akitokwa machozi kufuatiwa kifo cha mwanae wa kiume

NI Mtangazaji maarufu kutokea nchini Marekani Nick Cannon ambae time hii ameingia katika Vichwa vya Habari baada ya kuutangazia umma juu ya kumpoteza mtoto wake wa kiume (Zen).

11 months ago


Mtanzania News
Corona yaongeza vifo vya pombe Uingereza

LONDON, England KWA takwimu za mwaka jana, Uingereza imeshuhudia ongezeko kubwa la vifo vitokanavyo na ulevi wa pombe kwa kipindi chote cha janga la Corona. Katika hilo, wataalamu wa afya wametaja upweke uliotongana na watu kutakiwa kujitenga ulichagiza wengi wao kujiliwaza kwa pombe. Takwimu zimeonesha kuwa watu 8,974 walifariki kwa ulevi wa pombe mwaka jana,

11 months ago


Mtanzania News
Mpinzani atupwa miaka 10 gerezani

PORTO-NOVO, Benin MAHAKAMA nchini Benin imemuhukumu kifungo cha miaka 10 gerezani msomi na mwanasiasa maarufu wa upinzani, Joel Aivo. Aivo aliyewahi kugombea kiti cha urais, alikuwa chini ya ulinzi tangu Aprili, mwaka huu, na itakumbukwa kuwa alidakwa siku Rais Patrice Talon aliposhinda awamu yake ya pili madarakani. Mwanasiasa huyo alifunguliwa mashitaka ya uhaini na utakatishaji

11 months ago


The Citizen General
US puts Tanzania, five other countries on travel red list

The US Centers for Disease Control and Prevention (CDC) has put Tanzania together with France, Portugal, Andorra, Cyprus, Jordan and Lichtenstein under its high risk countries, discouraging American citizens from travelling to these destinations over Covid-19 related risks.

11 months ago


The Citizen General
NMG unveils its latest graduates from the Media Lab programme

The Nation Media Group (NMG) yesterday unveiled 17 new reporters as it continues with its digital transformation journey.

11 months ago


Milard Ayo Sports
Picha 6: Kikosi cha Simba kilivyowasili Dar kikitokea Zambia

Kikosi cha Simba SC kimewasili usiku wa kuamkia leo jijini Dar es Salaam kikitokea Lusaka Zambia.

11 months ago


Mwanaspoti Sports
Vita ya Mayele, Kagere Kariakoo Derby iko hapa

Makali ya safu za ushambuliaji za Simba na Yanga katika siku za karibuni huenda yakaifanya mechi ya watani wa jadi baina ya timu hizo, Jumamosi kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa ikawa na idadi kubwa ya mabao.

11 months ago


Milard Ayo General
XXL ya Clouds FM yafunga mwaka na wanavyuo Tanzania

Kipindi namba moja cha Vijana Tanzania XXL kinachorushwa na Clouds FM kinatarajia kuufunga mwaka na event kubwa ya Wanavyuo wote Tanzania Jangwani Sea Breeze iliyopo Mbezi Beach Dar es salaam Disemba 11 2021.

11 months ago


Milard Ayo News
Mmoja auwawa kwa Risasi wakulima wakishambuliana na wafugaji, RPC afika eneo la tukio

Polisi Mkoa wa Kagera wamethibitisha kutokea kwa kifo cha Mkulima mmoja aliyepigwa risasi wakati wa vurugu za Wakulima na Walinzi wa Wawekezaji wa mifugo katika eneo la Rutoro.

11 months ago


Milard Ayo News
Live:Katibu Mkuu CCM anazungumza na Vyombo vya Habari

NI  Desemba 8, 2021 ambapo Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo anazungumza na vyombo vya habari muda huu.

11 months ago


Milard Ayo News
Sabaya alikutwa na simu 10, bastola moja (+video)

Shahidi wa 11 upande wa Jamhuri ambaye ni Mpelelezi wa Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) Shabani Hemedi akitoa ushahidi wake Mahakamani Arusha December 7 2021 kwenye kesi inayomkabili aliyekua Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya, amesema alimkamata Sabaya na wenzake katika eneo la Kigamboni Dar es salaam saa tisa usiku May 27 2021 akiwa na bastola moja, simu 10 na Mwanamke aitwae Jesca Thomas.

11 months ago


Mtanzania General
Viongozi wa Dini waaswa kutokupotosha umma kuhusu chanjo ya Uviko-19

Renatha Kipaka, Kagera Viongozi wa dini wametakiwa kuacha tabia ya kuwapotosha wafuasi wao bali waache wao wafanye maamuzi wenyewe katika zoezi zima la kupata chanjo ya Uviko-19 inayoendelea hapa nchini. Kauli hiyo imetolewa na Mchungaji wa Kanisa la Baptist Tanzania, Daniel Mgogo katika emina ya waandishi wa habari na viongozi Mashuhuri iliyoendeshwa kwa njia ya

11 months ago


The Citizen General
Kenyan 'rogue' Policeman kills six on a rampage

A Kenyan police officer on Tuesday shot dead six people, including his wife, and wounded two others before turning the gun on himself, police said.

11 months ago


AslayVEVO 1 day ago  
kontawa 2 weeks ago  
Mr Nay 4 weeks ago  
AslayVEVO 1 day ago  
Alikiba 1 day ago  
Mbosso 1 month ago  
Rayvanny 5 days ago  
MariooOfficial 1 day ago  
kontawa 7 hours ago  
AfricanBOY 5 days ago  
BarnabaClassic 2 weeks ago  
YoungLunyaVEVO 5 days ago  
ASAKE 1 day ago  
Mashabiki wa HARMONIZE 4 days ago  
Jay Melody 3 weeks ago  
Mtanzania Sports
Bellingham, Dybala kukutana Liverpool

MERSEYSIDE, England LIVERPOOL inaongoza kwenye mbio za kuinasa saini ya kiungo wa Borussia Dortmund, Jude Bellingham. Bellingham (18), amekuwa akihusishwa na klabu mbalimbali za England, ikiwamo Manchester City, aliyowahi kupita kabla ya kwenda Dortmund. Wakati huo huo, Liverpool wanaendelea kuifukuzia saini ya mshambuliaji wa Juventus, Paulo Dybala. Kwa mujibu wa taarifa, Liverpool inataka kuwanasa wawili

11 months ago


Mtanzania Sports
United, Spurs zamtaka Rudiger

MADRID, England MANCHESTER United na Tottenham zimejitosa kuiwania saini ya beki wa Real Madrid, Antonio Rudiger. Mkataba wa nyota huyo utakwisha mwishoni mwa msimu huu na tayari ameonesha nia ya kuondoka Stamford Bridge. Ujio wa klabu mbili hizo kwenye mbio za kumtaka Rudiger unaweza kuwa habari mbaya kwa Real Madrid inayomfukuzia kwa muda mrefu sasa.

11 months ago


Mtanzania Sports
Barca wamvutia kasi Ziyech

CATALUNYA, Hispania BARCELONA wamewasiliana na mabosi wa Chelsea wakiulizia saini ya kiungo wa kimataifa wa Morocco, Hakim Ziyech. Pia, inasemekana Barca wamezungumza na Chelsea juu ya kuipata saini ya mshambuliaji wa Kijerumani, Timo Werner. Kwa upande wake, kocha wa Chelsea, Thomas Tuchel, anaonekana kuwa tayari kuwaachia wachezaji hao waende Ligi Kuu ya Hispania (La Liga).

11 months ago


EAC economies grew the fastest in Africa last year

East African economies remained resilient, growing by 2.3 percent and keeping the region on its trajectory.

11 months ago


Mtanzania General
Ajax wamtaka anayesota benchi Spurs

AMSTERDAM, Hispania KLABU ya Ajax inaangalia uwezekano wa kumsajili kiungo wa pembeni wa Tottenham, Steven Bergwijn. Mholanzi huyo anapitia kipindi kigumu tangu Antonio Conte awe kocha, ambapo amecheza dakika 13 tu, huku akiwa hajaanza hata mara moja. Bergwijn (24), hayuko peke yake kwenye majanga hayo kwani hata Dele Alli, Tanguy Ndombele na Joe Rodon nao

11 months ago


Mtanzania Sports
Sanches ajipeleka Arsenal

LILLE, Ufaransa WASHIKA Bunduki wa London washindwe wenyewe! Ni baada ya kiungo wa Lille, Renato Sanches, kusema yuko tayari kujiunga nao endapo taratibu zote zitafuatwa. Sanches, raia wa Ureno mwenye umri wa miaka 24, amekuwa akifukuziwa na klabu kadhaa za Ulaya baada ya kiwango kizuri alichokionesha katika fainali za Euro 2020. Lakini sasa, licha ya

11 months ago


The Citizen General
How Tanzania can benefit from China’s 1 billion vaccine doses

Tanzania is set to receive a part of the 1 billion Covid-19 more doses that China has pledged to deliver to African countries to battle the pandemic that continues to wreak havoc across the globe, it has been stated.

11 months ago


Mtanzania Sports
Joao afungua mlango Atletico

MADRID, Hispania MSHAMBULIAJI wa Atletico Madrid, Joao Felix, atafungasha kila kilicho chake na kutimka klabuni hapo mara tu usajili wa Januari, mwaka huu. Kwa mujibu wa taarifa, Mreno huyo mwenye umri wa miaka 22 ameshamwambia wakala wake amtafutie klabu ya kwenda. Ni katika hatua hiyo, ikaibuka kuwa Barcelona wanamtazama kwa jicho la karibu mchezaji huyo

11 months ago


Mtanzania Sports
Huyu ndiye kocha mpya Man City

AMSTERDAM, Uholanzi MABOSI wa Manchester City wanataka kocha wa Ajax, Erik ten Hag, atue kwao endapo Pep Guardiola ataondoka hapo baadaye. Guardiola, ambaye amekuwa akiinoa Man City tangu mwaka 2016, inasemekana anataka kutimka atakapomaliza mkataba wake Juni, 2023. Hayo ya Man City yanakuja huku ikifahamika kuwa Ten Hag anahusishwa pia na Manchester United wanaotaka akali

11 months ago