Wasomi Ajira Sports
Wallace Karia CV Biography (Umri,Education,Career)

Wallace Karia CV Biography (Umri,Education,Career) Wallace Karia is one of the presidents of the Tanzanian Football Federation. Wallace Karia Age, Umri, Elimu,Career,Umri wa Wallace Karia,Rais wa TFF, Wallace Karia Nationality, Biography,Education Wallace Karia Biography Wallace Karia is currently one of the presidents of the Tanzanian Football Federation. In 1990 he graduated from Chuo Cha Uhasibu

The post Wallace Karia CV Biography (Umri,Education,Career) appeared first on Wasomi Ajira.


Taifa Leo Sports
Wanajeshi wa Ulinzi Warriors watupia jicho Ferroviario baada ya kuumwa na Cobra vikapuni

Na GEOFFREY ANENE ULINZI Warriors watakuwa na mechi ya kufa-kupona dhidi ya Ferroviario Beira kwenye mashindano ya mpira wa vikapu ya zoni ya Mashariki maarufu kama Road to BAL Elite 16 nchini Afrika Kusini leo alasiri. Wanajeshi hao kutoka Kenya walianza kampeni ya kufuzu kushiriki michuano ya Afrika vibaya walipopoteza 77-67 dhidi ya Cobra Sports

11 months ago


Taifa Leo News
Wakazi walalamika unyakuzi bandarini

Na KALUME KAZUNGU WAMILIKI wa ardhi zinazopakana na Bandari ya Lamu wameomba uchunguzi uanzishwe kuhusu unyakuzi wa ardhi za kijamii. Wakazi hao wamewasilisha malalamishi kwa Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) pamoja na Idara ya Kuchunguza Uhalifu (DCI), kwamba kuna mabwanyenye wanaonyakua ardhi zao za kijamii.Wamiliki hao chini ya Muungano wa Wakulima wa

11 months ago


Mwanaspoti Sports
Ishu ya Saido, Makambo iko hivi

MABAO mawili ya Saido Ntibazonkiza katika mechi mbili zilizopita za Ligi Kuu Bara, huenda yakamnyima fursa straika Heritier Makambo kuwemo kwenye kikosi cha Yanga kitakachoivaa Simba Jumamosi katika mechi ya watani wa Jadi kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.

11 months ago


Mwanaspoti Sports
Ishu ya Saido na Makambo Yanga iko hivi

MABAO mawili ya Saido Ntibazonkiza katika mechi mbili zilizopita za Ligi Kuu Bara, huenda yakamnyima fursa straika Heritier Makambo kuwemo kwenye kikosi cha Yanga kitakachoivaa Simba Jumamosi katika mechi ya watani wa Jadi kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.

11 months ago


Taifa Leo General
Wasimulia jinsi walikaa shimoni siku 7 bila chakula

Na ANGELINE OCHIENG WANAUME watatu waliookolewa na wanakijiji baada ya mgodi wa dhahabu kuporomoka na kuwafunika humo, wameelezea masaibu waliyopitia kuishi shimoni bila chakula kwa siku saba katika eneo la Abimbo, Bondo, Kaunti ya Siaya. Philip Joel Ogutu, 21, Victor Otieno, 20, na Jacob Onyango, 23, walitaja kuokolewa kwao kama miujiza.Watatu hao walikuwa miongoni mwa

11 months ago


Mwanaspoti Sports
Ni shoo ya Kagere, Dilunga

MASTAA wa Simba, Hassan Dilunga na Meddie Kagere wanaonekana kuwa na kitu muhimu cha kuibeba timu katika mechi ya watani wa jadi itakayopigwa Desemba 11 ingawa Yanga wanaonekana kuwa bora zaidi.

11 months ago


Covid-19: Sierra Leone confirms first Omicron case

A passenger who travelled from Nigeria tested positive for the variant.

11 months ago


Taifa Leo News
Njaa: Mbunge aomba wahisani wawasaidie wakazi na chakula

Na MAUREEN ONGALA MBUNGE wa Magarini, Bw Michael Kingi, ametoa wito kwa wahisani kusaidia wakazi wa Kilifi wanaoendelea kukumbwa na njaa. Bw Kingi alisema chakula cha msaada kutoka serikali kuu na ile ya kaunti hakitoshi idadi kubwa ya wakazi ambao wameathirika.Alisema hayo alipoungana na kampuni ya Kensalt kutoa msaada wa bidhaa za chakula kwa wakazi

11 months ago


Milard Ayo General
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 9, 2021

Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam December 9, 2021,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.

11 months ago


Taifa Leo General
Joho, Raila wakutana kabla Azimio la Umoja

Na ANTHONY KITIMO GAVANA wa Mombasa, Bw Hassan Joho, amehudhuria mkutano wa dharura na Kiongozi wa chama cha ODM, Bw Raila Odinga, kabla ya kongamano kubwa la kinara huyo kesho. Mkurugenzi wa Mawasiliano Kaunti ya Mombasa, Bw Mudathiri Kareem, jana alithibitisha kuwa Bw Joho alielekea Nairobi kwa mkutano huo kwa jina Azimio la Umoja.Kongamano la

11 months ago


 Job Vacancy Highlights Show All 
Taifa Leo News
Uhuru ataacha deni la ahadi alizotoa kwenye kampeni- Ruto

Na WYCLIFFE NYABERI NAIBU Rais Dkt William Ruto amemshambulia Rais Uhuru Kenyatta huku akisema ataondoka mamlakani bila kulipa deni la ahadi alizotoa kwa Wakenya. Dkt Ruto alitumia ziara yake Kisii, kukosoa Rais Kenyatta kuhusu ajenda nne kuu za maendeleo ambazo alisema utekelezaji wake utasalia kuwa ndoto.

11 months ago


Mtanzania News
Ulimwengu, Sheikh Ponda, TLS, wagusia katiba, maelewano kwenye jamii

Na Clara Matimo, Dar es Salaam Watu wa kada mbalimbali nchini wameendelea kujitokeza na kutoa maoni yao juu ya suala la umuhimu wa katiba  ambayo itaondoa malalamiko na changamoto tofauti tofauti  zilizopo  kwenye jamii na kuleta  maelewano ya kisiasa. Baadhi ya wadau hao ni Katibu wa Maimamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda, Makamu wa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS),Gloria Kalabamu, Mkurugenzi

11 months ago


Taifa Leo News
TAHARIRI: IEBC ihakikishe wanasiasa wanaoshiriki harambee wanaadhibiwa

KITENGO cha UHARIRI KUANZIA leo, ni marufuku kwa wanasiasa wanaopania kuwania nyadhifa mbalimbali kushiriki katika hafla za kuchangisha fedha, maarufu kama harambee. Sheria ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) inapiga marufuku wanasiasa kushiriki katika hafla za kuchangisha fedha miezi minane kabla ya uchaguzi mkuu.Lengo la sheria hiyo ni kuzuia wanasiasa kutumia fedha kuwashawishi

11 months ago


The Citizen General
PM Julius Nyerere’s address on Independence Day in 1961

I have listened to Your Royal Highness’ expressions of goodwill and I have received these instruments which are the embodiment of my country’s freedom with the deepest emotion.

11 months ago


Taifa Leo General
Masonko waelezea sababu kuunga Raila kidole

Na WANDERI KAMAU MABWANYENYE wa eneo la Mlima Kenya jana walimwidhinisha rasmi kiongozi wa ODM, Bw Raila Odinga, kama mwaniaji watakayemuunga mkono kwenye uchaguzi wa urais mwaka ujao. Chini ya Wakfu wa Mlima Kenya (MKF), mabwanyenye hao waliorodhesha sababu ambazo zimewafanya kumkumbatia Bw Odinga.Bw Odinga anatarajiwa kuzindua rasmi azma yake ya kuwania urais kesho katika

11 months ago


The Citizen General
Biden nominates ex-HP boss as US ambassador to Kenya

US President Joe Biden has nominated former Hewlett Packard (HP) CEO and president Meg Whitman as America’s ambassador to Kenya.

11 months ago


Taifa Leo News
IEBC yaonya Raila, Ruto kuhusu kampeni

Na CHARLES WASONGA MWENYEKITI wa Tume ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), Wafula Chebukati, amesema kampeni za mapema zinazoendeshwa na Naibu Rais William Ruto na Kiongozi wa ODM Raila Odinga ni haramu. Vile vile, alisema kuanzia leo, Desemba 9, ni marufuku kwa wale wanaopania kuwania nyadhifa katika uchaguzi mkuu wa 2022, kushiriki katika hafla za kuchanga

11 months ago


Taifa Leo News
Kundi la wanakijiji tajiri lenye ushawishi mkubwa

Na WANDERI KAMAU WAKFU wa Mlima Kenya (MKF) umeibuka kuwa wenye ushawishi mkubwa, hasa kwenye siasa zinazoendelea za kumrithi Rais Uhuru Kenyatta mwaka ujao. Je, chimbuko lake ni lipi?Wakfu huo ulianzishwa mwanzoni mwa miaka ya tisini na mabwanyenye kadhaa wa Kaunti ya Murang’a, lengo lao likiwa kuwaunganisha wanataaluma wa kaunti hiyo kushughulikia masuala ya kisiasa

11 months ago


Burkina Faso president accepts resignation of PM: decree

The resignation of a prime minister requires the resignation of the entire government, according to Burkina Faso law.

11 months ago


Wasomi Ajira Sports
Matokeo Tanzania Taifa Stars vs Uganda The Cranes 9 December 2021

Matokeo Tanzania Taifa Stars vs Uganda The Cranes 9 December 2021 Tanzania vs Uganda, Uganda vs Tanzania, Taifa Stars vs The Cranes, December 9,2021,Results Uganda Cranes vs Tanzania, Matokeo Tanzania vs Uganda leo   The Uganda national football team (nicknamed The Cranes), represents Uganda in men’s international football and is controlled by the Federation of

The post Matokeo Tanzania Taifa Stars vs Uganda The Cranes 9 December 2021 appeared first on Wasomi Ajira.


Joe Biden picks ex-HP boss as Kenya envoy

Meg Whitman is a big name in Big Tech.

11 months ago


Wasomi Ajira Jobs and Career
Kikosi cha Taifa Stars dhidi ya Uganda December 9,2021

Kikosi cha Taifa Stars dhidi ya Uganda December 9,2021 , Kikosi cha Taifa Stars Leo, Tanzania National Team, Line Up, Taifa Stars vs The Cranes, Uganda the Cranes vs Tanzania Taifa Stars The Tanzania national football team (Swahili: Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu ya Tanzania) represents Tanzania in men’s international football and is

The post Kikosi cha Taifa Stars dhidi ya Uganda December 9,2021 appeared first on Wasomi Ajira.


Taifa Leo General
Mama kortini kukiri kuua mwanawe

Na TITUS OMINDE Mwanamke mwenye umri wa miaka 27 aliishangaza mahakama kuu ya Eldoret alipokiri kumuua kinyama na kumzika mtoto wake mgonjwa. Mwanamke huyo alidai kuwa aliua mtoto huyo kwa kukosa pesa za kumpeleka kwa matibabu katika hospitali moja ya eneo hilo.Mshitakiwa huyo, Rose Angelina, aliiambia mahakama kuwa alimfanyia mtoto huyo kitendo hicho baada ya

11 months ago


Taifa Leo News
Museveni atetea kutuma jeshi DRC

KAMPALA, Uganda Na DAILY MONITOR RAIS Yoweri Museveni wa Uganda amejitetea kwa Baraza Kuu la Usalama la Umoja wa Mataifa (UNSC) kuhusu hatua yake ya kupeleka majeshi katika nchi jirani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) kusaka magaidi. Rais Museveni alikutana na wawakilishi wa UNSC kutoka Amerika, China, Urusi, Ufaransa na Uingereza katika Ikulu

11 months ago


Taifa Leo News
Merkel ang’atuka baada ya kuongoza Ujerumani miaka 16

Na AFP WAZIRI Mkuu wa Ujerumani, Angela Merkel ameng’atuka afisini baada ya kuongoza nchi hiyo kwa kipindi cha miaka 16. Kiongozi mpya wa ujerumani sasa atakuwa Olaf Scholz, ambaye jana aliidhinishwa na bunge la nchi hiyo baada ya kufanikiwa kuunda muungano wa vyama vitatu ulio na idadi kubwa ya wabungeMerkel amekuwa kwenye siasa kwa miaka

11 months ago


Taifa Leo General
Kocha wa AFC haendi popote- Shikanda

Na JOHN ASHIHUNDU MWENYEKITI wa AFC Leopards, Dan Shikanda amejitokeza kusisitiza kwamba kocha Patrick Aussems hana mpango wa kuagana na klabu hiyo kwa sasa. Alisema kuwa kocha huyo ndiye atakayeongoza kikosi leo alasiri kitakapopambana na Posta Rangers ugani Nyayo.Shikanda alitoa hakikisho hilo, kufuatia madai kwamba raia huyo wa Ubelgiji, alikuwa akikamilisha mpango wa kujiunga na

11 months ago


Taifa Leo Sports
Mbungo roho juu masogora wake wataliza KCB leo

Na ABDULRAHMAN SHERIFF KOCHA wa Bandari FC, Andre Cassa Mbungo, (pichani)ameeleza matumaini ya wachezaji wake kujituma ili wapate ushindi watakapopambana na KCB FC kutoka Nairobi leo kwenye mechi ya Ligi Kuu ya FKF, itakayochezwa uwanja wa Mbaraki Sports Club. Mbungo amesema wachezaji hao watahitajika kujituma zaidi ili waweze kuzoa pointi zote tatu, hasa baada ya

11 months ago


Taifa Leo Sports
Barcelona waaga UEFA katika hatua ya makundi baada ya kuzamishwa na Bayern

Na MASHIRIKA MABINGWA mara tano wa Klabu Bingwa Ulaya (UEFA), Barcelona, walipigwa 3-0 na Bayern Munich mnamo Jumatano usiku na hivyo kudenguliwa kwenye hatua ya makundi ya kipute hicho kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka 17. Barcelona hawajawahi kukosa kunogesha kampeni za UEFA katika hatua ya 16-bora tangu 2003-04 walipokosa kufuzu kabisa kushiriki

11 months ago


Wasomi Ajira Jobs and Career
Uganda Cranes Squad against Tanzania 9 December 2021

Uganda Cranes Squad against Tanzania 9 December 2021, Uganda National Team , Uganda Starting Line Up, Kikosi cha Uganda leo The Uganda national football team (nicknamed The Cranes), represents Uganda in men’s international football and is controlled by the Federation of Uganda Football Associations, which is a part of CAF. Their best finish in the

The post Uganda Cranes Squad against Tanzania 9 December 2021 appeared first on Wasomi Ajira.


Milard Ayo Entertainment
#Live:Harmonize anazungumza na waandishi wa habari kutokea Palm Village Mikocheni

Ni Mkali kutokea Bongo Flevani, Harmonize muda huu anazungumza na waandishi wa habari kutokea Palm Village Mikocheni.

11 months ago


Wasomi Ajira Jobs and Career
Magazeti ya leo Tanzania December 9,2021 Newspapers

Magazeti ya leo Tanzania December 9,2021 Newspapers Magazeti ya Leo Alhamis December 9 2021 Tanzania Newspapers, Magazeti ya Leo Tanzania 9 December 2021 Newspapers , Habari kubwa katika Magazeti ya Leo 9 Dec 2021, Magazeti ya Leo,Magazeti ya Tanzania 9.12.2021, Gazeti,Champion leo 9 December 2021, Mwanasapoti leo 9 December 2021, Mwananchi leo 9 December 2021,

The post Magazeti ya leo Tanzania December 9,2021 Newspapers appeared first on Wasomi Ajira.


Wasomi Ajira Sports
Matokeo UEFA Champions League December 8,2021

Matokeo UEFA Champions League December 8,2021 ,Matokeo UEFA Jana, UCL Jana, UEFA Champions League Results, Matokeo Bayern Munich vs Barcelona, Manchester United vs Young Boys, Zenit Petersburg vs Chelsea   The UEFA Champions League (abbreviated as UCL) is an annual club football competition organised by the Union of European Football Associations (UEFA) and contested by

The post Matokeo UEFA Champions League December 8,2021 appeared first on Wasomi Ajira.


Taifa Leo General
Miheso aokoa Kenya Police, Homeboyz ikipaa kileleni mwa ligi

CECIL ODONGO na ABDULRAHMAN SHERIFF WINGA Cliftone Miheso jana alifunga mabao mawili katika dakika za ziada na kuisadia Kenya Police kuduwaza Kariobangi Sharks 3-1 ugani MISC Kasarani. Katika mechi nyingine, Nzoia Sugar iliagana sare tasa dhidi ya wenyeji Nairobi City Stars ugani Ruaraka.Mjini Kakamega, Kakamega Homeboyz ilitoka nyuma na kulazimisha sare ya 2-2 dhidi ya

11 months ago


Taifa Leo Sports
Origi awakomboa Reds tena

MILAN, ITALIA Na MASHIRIKA MBELGIJI Divock Origi alifuma wavuni kichwa kisafi Liverpool ikiandikisha historia kwa kuwa timu ya kwanza ya Uingereza kuvuna ushindi mara sita mfululizo kwenye mechi za makundi za Klabu Bingwa Ulaya, Jumanne. Manchester City ilipoteza 2-1 dhidi ya Leipzig katika mechi ambayo beki Kyle Walker alilishwa kadi nyekundu, nao masupastaa Kylian Mbappe

11 months ago


Taifa Leo Sports
Walitaka kunyoosha misuli, ‘katua ligini

Na REGINAH KINOGU MADHUMUNI ya kujikusanya kama Dimba Patriots yalikuwa kutunza afya na kujiburudisha. Miaka minne baadaye wametua Ligi ya Kitaifa Daraja ya Kwanza, na wanasema hawatokoma hapo.Timu hii inayosakata soka katika eneo la Nairobi Magharibi ilianzishwa 2016 na wanaume waliocheza au kusimamia soka katika miaka ya awali. Kwao, ilikuwa ni mazoezi ya kujiweka sawa

11 months ago


Taifa Leo General
Hii ndoto ya dereva chipukizi Yuvraj

Na JOHN KIMWERE YUVRAJ Rajput ni chipukizi mwenye umri wa miaka 11 anayelenga kuwa mmoja wa madereva bora nchini Kenya. Kinachomsisimua zaidi katika mbio za magari ni kupaisha.Yuvi, anavyofahamika kinda huyu kwa jina la utani, tayari ni bingwa mara mbili wa kitaifa wa mbio za magari na vigari maarufu kama Autocross, akishiriki kitengo cha vigari

11 months ago


Taifa Leo General
Ari ya kisasi ilimsukuma kwa ndondi

Na GEOFFREY ANENE SARAH Achieng’ Ndisi hakudhania atafanikiwa kuwa bondia mtajika baada ya mazoezi yake ya kwanza mapema 2008, katika ukumbi wa Kariobangi North jijini Nairobi. Hata hivyo, Achieng’ (pichani)sasa ni malkia mpya wa masumbwi akifuata nyayo za Conjestina Achieng’ na Fatuma Zarika.Hii ni baada yake kumpangua Anisha Basheel kutoka Malawi katika pigano la taji

11 months ago


Taifa Leo General
Malkia wa 1,500m alivyoanza kung’aa

Na BERNARD ROTICH BINGWA mara mbili wa mbio za Olimpiki katika mita 1,500 Faith Kipyegon Chepng’etich, anajiandaa kwa kibarua cha kuwania taji la Riadha za Dunia zitakazofanyika mjini Eugene, Marekani mnamo Julai 2022. Vilevile, Chepng’etich amekuwa akifanya mazoezi mjini Kaptagat, Kaunti ya Elgeyo Marakwet, kwa minajili ya msimu mpya wa riadha za msururu wa IAAF

11 months ago


Taifa Leo General
Kylian Mbappe anayeaminiwa na Paris Saint-Germain na Ufaransa katika utafutaji wa mabao.

NA GEOFFREY ANENE KIGOGO Kylian Mbappe ni mchana-nyavu anayeaminiwa na Paris Saint-Germain na Ufaransa katika utafutaji wa mabao. Wachanganuzi wa spoti na mashabiki wanaamini yumo mbioni kuwa mwanasoka bora siku moja kama Lionel Messi na Cristiano Ronaldo.Wana kila sababu ya kufanya hivyo kwa sababu kinda huyu mwenye umri wa miaka 22 tayari ameonyesha makubwa uwanjani.

11 months ago


Taifa Leo News
Stars walipookoa penalti 2 wakishinda Cecafa

Na JOHN ASHIHUNDU MASHABIKI watakumbuka fainali ya Afrika Mashariki na Kati (Cecafa) ya 1982 ambapo Harambee Stars ilitwaa ubingwa licha ya kuonewa kwa kiasi kikubwa na mwamuzi ugani Nakivubo, jijini Kampala, Uganda. Ilibidi Waziri wa Michezo wakati huo marehemu Stanely Oloitiptip aingie uwanjani kumshawishi kipa Mahmoud Abbas akubali mchezo uendelee, baada ya Uganda kufunga bao

11 months ago


AslayVEVO 1 day ago  
kontawa 2 weeks ago  
Mr Nay 4 weeks ago  
AslayVEVO 1 day ago  
Alikiba 1 day ago  
Mbosso 1 month ago  
Rayvanny 5 days ago  
MariooOfficial 1 day ago  
AfricanBOY 5 days ago  
BarnabaClassic 2 weeks ago  
kontawa 6 hours ago  
YoungLunyaVEVO 5 days ago  
ASAKE 23 hours ago  
Mashabiki wa HARMONIZE 4 days ago  
Jay Melody 3 weeks ago  
Taifa Leo General
‘Bobby’ Ogolla yule kipenzi cha mashabiki

Na JOHN ASHIHUNDU USHIRIKIANO wa John Bobby Ogolla, Josephat Controller Murila, Peter Otieno Bassanga na Hussein Kheri aliacha historia katika ngome ya Harambee Stars miaka ya themanini. Ogolla kwa jina la utani ‘The Six Million Dollar Man’ alikuwa tegemeo katika ngome hiyo ambayo jukumu lake lilikuwa kulinda kipa Mohmoud Abbas maarufu kama ‘Kenya One’.Chini ya

11 months ago


Taifa Leo General
‘Straika’ Mbrazil aliyeshindwa kupepetea K’ Ogalo

Na  JOHN ASHIHUNDU MASHABIKI wa Gor Mahia watazidi kukumbuka mnamo 2013 wakati klabu yao ilitaka kuweka historia, kwa kuwa timu ya kwanza nchini kusajili mwanasoka kutoka Brazil. Lakini baadaye barobaro huyo aligeuka na kuwa mtalii aliyekuja nchini kwa shughuli tofauti.Baada ya sifa tele kupitia kwa vyombo vya habari, Gor ilimleta nchini Giovanni Rodriquez.Mashabiki waliomiminika uga

11 months ago


Taifa Leo Travel
Mmiliki wa Hoteli kukamatwa kwa ulaghai wa Sh.520Milioni

Na RICHARD MUNGUTI MMILIKI wa msururu wa mahoteli ya Nyamama yaliyoko kaunti ya Nairobi jana aliagizwa akamatwe na kushtakiwa kwa ulaghai wa  benki Sh520milioni. Idara ya Uchunguzi wa Jinai (DCI) iliagizwa Jumatano imtie nguvuni Bi Nina Jayesh Shanghavi na kumfikisha mahakamani Desemba 14, 2021 kujibu shtaka la kuilagahi Victoria Commercial Bank Limited kati ya 2018

11 months ago


Taifa Leo News
Jaji Said Juma Chitebwe ashtaki JSC kuhusu video zake na gavana wa zamani Sonko

Na RICHARD MUNGUTI JAJI Said Juma Chitembwe anayesongwa na madai ya ufisadi anaomba tume ya huduma za mahakama (JSC) izuiliwe kutegemea ushahidi wa video alizonakiliwa na gavana wa zamani Mike Sonko Mbuvi katika kesi nne za kumtimua kazi ya Ujaji. Kesi hizo zimeorodheshwa kusikizwa Desemba 14, 2021 na JSC. Jaji Chitembwe anadai Sonko alimrekodi Video

11 months ago


Taifa Leo General
KNEC yapuuzilia uvumi kwamba KCSE na KCPE imeahirishwa

Na CHARLES WASONGA BARAZA la Kitaifa la Mitihani (KNEC) limepinga madai yanayosambazwa mitandaoni kwamba limeahirisha tarehe ya kufanyika kwa mitihani ya kitaifa iliyoratibiwa kufanyika Machi 2022. Kwenye taarifa kwa vyombo vya habari Jumatano, baraza hilo limeshikilia kuwa Mtihani wa Kitaifa wa Kidato cha Nne (KCSE) na ule wa Daraza la Nane (KCPE) haijaahirisha na itafanyika

11 months ago


Milard Ayo News
Jeshi la Polisi Kanda Maalum lakagua maeneo kwa helkopta DSM (Picha+)

Jeshi la Polisi kanda maalum ya Dar es salaam Desemba 8, 2021 limepokea maelekezo kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro kutumia rasimali zote za Jeshi ikiwemo helkopta kuhakikisha hali ya usalama kuanzia usiku wa leo kuamkia siku ya kesho na siku yenyewe ya Uhuru panakua na usalama wa kutosha wa watu na mali zao.

11 months ago


The Citizen General
LIVE: President Samia's address to the nation on Independence Eve

President Samia Suluhu Hassan is addressing the nation on the eve of Tanganyika's (Tanzania) 60th Independence anniversary. Celebrations are set to take place tomorrow December 9, at the Uhuru Stadium, Dar es Salaam where both local and international dignitaries will grace the occasion.

11 months ago


The Citizen General
VIDEO: President Samia's address to the nation on Independence Eve

President Samia Suluhu Hassan is addressing the nation on the eve of Tanganyika's (Tanzania) 60th Independence anniversary. Celebrations are set to take place tomorrow December 9, at the Uhuru Stadium, Dar es Salaam where both local and international dignitaries will grace the occasion.

11 months ago


Mwanaspoti Sports
Simba waibua mazito mkataba wa GSM na TFF

Uongozi wa Simba umepanga kugomea kuvaa jezi zenye nembo ya mdhamini mwenza wa Ligi Kuu, kampuni ya GSM kwa madai ya kutokuwepo kwa uwazi wa mkataba kati ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na kampuni hiyo uliosainiwa mwezi uliopita.

11 months ago