Milard Ayo General
Eswatini kufanya uchaguzi wa wabunge

Uchaguzi wa wabunge unaafanyika Ijumaa hii nchini Eswatini, zamani ikiitwa Swaziland, nchi ya mwisho barani Afrika iliyo chini utawala wa kifalme wenye nguvu. Baadhi ya wapiga kura 585,000 waliojiandikisha wameitishwa kuchagua wabunge 59 wa Bunge. Isipokuwa kwamba vyama vya siasa havijaidhinishwa kushiriki katika kupiga kura na kwamba Bunge lina jukumu la kushauriana tu. Hii ni

15 hours ago


Milard Ayo General
Waziri Mkuu wa zamani wa Burundi afikishwa mahakamani baada ya miezi 5 kizuizini

Waziri Mkuu wa zamani wa Burundi, Alain-Guillaume Bunyoni, amefikishwa mahakamani siku ya Alkhamisi, akituhumiwa kuhatarisha usalama wa taifa na kumtusi rais. Alain-Guillaume Bunyoni, ambaye alikuwa Waziri Mkuu tangu mwezi Juni 2020, alifutwa kazi mnamo mwezi Septemba 2022, siku chache baada ya rais Evariste Ndayishimiye kushutumu majaribio ya “mapinduzi ya serikali”. Nafasi yake ilichukuliwa na Waziri

15 hours ago


Milard Ayo General
Janga la milipuko ya magonjwa nchini Sudan laongezeka

Hali ya afya imeendelea kudorora nchini Sudan, huku kukiwa na ongezeko la magonjwa ya milipuko ya msimu, imeibua wasiwasi mkubwa wakati huu pia kukiendelea mapigano kati ya vikosi vya serikali na wapiganaji wa RSF. Wizara ya afya nchini Sudan, imekiri kuibuka kwa visa vya homa ya dengue, malaria, na kipindupindu katika maeneo mbalimbali ya nchi.

15 hours ago


The Citizen General
Tanzania mining practices impress Ugandan experts

Tanzanian mining practices have impressed Ugandan experts who are in the country to learn about open pit and underground mining as well as the methods for mineral research.

15 hours ago


Milard Ayo General
UNHCR: Zaidi ya wahamiaji 180,000 wameingia Ulaya mwaka huu

Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) limetangaza kuwa, takribani watu 186,000 wamewasili Ulaya kupitia bahari ya Mediterania mwaka huu. Mkurugenzi wa ofisi ya UNHCR mjini New York Ruven Menikdiwela ameliambia Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwamba watu 130,000 wamesajiliwa nchini Italia idadi hiyo ikiwa ni ongezeko la asilimia 83 ikilinganishwa

15 hours ago


Milard Ayo General
Rais Putin amekutana na mbabe wa kivita wa Libya jijini Moscow

Rais wa Vladimir Putin wa Urusi amefanya mazungumzo na kiongozi wa kijeshi Mashariki ya Libya Khalifa Haftar jijini Moscow. Vikosi vya Jenerali Haftar, vilitegemea pakubwa wapiganaji wa Urusi Wagner, ambao kwa sehemu kubwa bado wangali mashariki mwa Libya. Msemaji wa Kremlin amesema viongozi hao wamejadiliana kuhusu hali ya nchini Libya na eneo hilo la mashariki.

15 hours ago


The Citizen General
TCCIA urges manufacturers to use AfCFTA to create wealth

The continental free trade bloc presents numerous opportunities that Tanzanians cannot afford to overlook.

15 hours ago


Mwanaspoti Sports
Kapama, Ngushi ndani ya mtihani mgumu Simba, Yanga

NASSORO Kapama, Hussein Kazi na Crispin Ngushi ni kati ya wachezaji wa Simba na Yanga wanaokabiliwa na mtihani wa kupambana kutoboa, kwani inaoenekana kwa sasa kazini kuna kazi kupata nafasi ya kucheza. Kapama ni mchezaji kiraka aliyesajiliwa msimu uliopita kutoka Kagera Sugar na hadi sasa hana uhakika wa namba Msimbazi sawa na mshambuliaji Mohamed Mussa ambaye tangu alipofunga dhidi ya Coastal Union mechi ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) hajasikika tena. Wachezaji hao sambamba na Hussein Kazi hajapewa nafasi,...

15 hours ago


Taifa Leo General
Salasya: Natafuta mwanamke Mzungu wa kuoa

NA MERCY KOSKEI Mbunge wa Mumias Mashariki Peter Salasya amefichua kuwa anatafuta mwanamke Mzungu wa kuchumbiana naye. Mwanasiasa huyo mcheshi kupitia kwa mtandao wake wa kijamii wa Twitter Alhamisi Septemba 28, 2023, alichapisha kuwa anataka kuoa mwanamke mzungu, jambo lililoibua hisia tofauti mitandaoni. “Nimetamani sana kuchumbiana na mwanamke mzungu kwa muda mrefu. Nataka mwanamke Mzungu

16 hours ago


Milard Ayo General
Stromme foundation kuboresha maeneo ya elimu na upatikanaji wa ajira kwa vijana

Taasisi isiyo ya kiserekali yenye makao makuu nchini Norway, Stromme foundation, imekutana na wadau mbalimbali pamoja na waandishi wa habari katika ufunguzi rasmi wa ofisi zao jijini dar es salaam. Akiongea na waandishi wa habari Meneja miradi Stromme foundation, Doreen Matekele ameyasema haya; “Kabla ya kufungua ofisi zetu hapa Tanzania tumekuwa tukifanya shughuli zetu kupitia

16 hours ago


 Job Vacancy Highlights Show All 
Ajira Chap 4 days ago  
Ajira Chap 2 weeks ago  
Ajira Chap 3 weeks ago  
Ajira Chap 3 weeks ago  
Ajira Chap 3 weeks ago  
Ajira Chap 3 weeks ago  
Ajira Chap 3 weeks ago  
Ajira Chap 3 weeks ago  
Ajira Chap 3 weeks ago  
Ajira Chap 3 weeks ago  
Ajira Chap 3 weeks ago  
Ajira Chap 3 weeks ago  
Ajira Chap 4 weeks ago  
Ajira Chap 4 weeks ago  
Ajira Chap 4 weeks ago  
Ajira Chap 1 month ago  
Ajira Chap 1 month ago  
Ajira Chap 1 month ago  
Ajira Chap 1 month ago  
Ajira Chap 1 month ago  
Ajira Chap 1 month ago  
Ajira Chap 1 month ago  
Ajira Chap 1 month ago  
Milard Ayo General
Jeshi la polisi mkoa wa Simiyu latoa elimu uvuvi salama

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu, Kamishnaa Msaidizi wa Polisi Edith Swebe akiwa amengozana na Mkuu wa Polisi Jamii mkoani humo ACP Mayunga R. Mayunga ametoa elimu ya uvuvi salama kwa Wananchi wa Vijiji vya Mwaburugu, Nyamikoma na Ihale Wilayani Busega katika fukwe za Ziwa Victoria. Kamanda Swebe ameitaka jamii inayojishughulisha na uvuvi kuzingatia usalama

16 hours ago


The Citizen General
NBC campaign aims at boosting mortgage adoption

The National Bank of Commerce (NBC) is seeking to increase access to housing loans through a new campaign that targets accelerating the availability of improved homes in the country.

16 hours ago


Taifa Leo General
Maeneo bunge yasiyo na idadi tosha ya watu kumezwa

NA MERCY KOSKEI UFICHUZI kwamba, karibu maeneo bunge 40 nchini yatafutiliwa mbali kwa sababu hayajatimiza idadi ya watu wanaohitajika kulingana na sheria, umeibua wasiwasi miongoni mwa wabunge wanaoyawakilisha. Hayo yalifichuka Jumatano, wakati wa warsha kuhusu mageuzi katika mfumo wa uchaguzi iliyofanyika katika mkahawa mmoja mjini Nakuru. Kulingana na sheria, kila mojawapo ya maeneo bunge 290

16 hours ago


Milard Ayo General
Maofisa kutoka shirika la hifadhi za taifa wapata mafunzo ya ushirikishwaji wa jamii

Maafisa wa shirika la hifadhi za Taifa TANAPA,wamepatiwa mafunzo kutoka Kamisheni ya Polisi Jamii Dawati la Ushirikishwaji Jamii ambayo yamelenga kuwajengea uwezo wa namna bora ya ushirikishwaji Jamii. Akitoa Mafunzo hayo Jijini Arusha katika Ukumbi wa Mikutano wa mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro Mrakibu wa Polisi SP Dkt. Ezekiel Kyogo amesema ulimwengu wa sasa hususani

16 hours ago


Taifa Leo General
Demu aamua wanaommezea mate wafanye ‘interview’

NA JANET KAVUNGA SHANZU, MOMBASA MWANADADA wa hapa aliwaita makalameni wawili waliokuwa wakimmezea mate kwa kikao na kutaka kila mmoja amweleze kwa nini anampenda kabla ya kufanya uamuzi. Demu alichukua hatua hiyo majamaa hao ambao ni marafiki walipogombana kila mmoja akilaumu mwenzake kwa kunyemelea mpenzi wake. Binti wa watu alicheza kama yeye kwa kuwaleta kwenye

16 hours ago


Mwanaspoti Sports
Mbrazili aitisha kikao na mastaa

SIMBA imeipiga Pan Africans mabao 4-0 ikiendelea kutengeneza hesabu za kuivaa Power Dynamos ya Zambia kwenye mechi ya marudiano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, lakini kocha wa timu hiyo, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ akiitisha vikao tofauti na wachezaji ili kutengeneza mipango ya kutoka kwa Wazambia.

17 hours ago


Taifa Leo General
Makabila makubwa yajinyakulia nafasi nyingi za ajira katika Idara ya Magereza yale madogo yakiachwa kwa mshangao

NA CHARLES WASONGA JAMII za Wakenjin, Wakikuyu, Wakamba na Waluhya ndizo zilizo na uwakilishi mkubwa katika Huduma za Magereza Nchini Kenya (KPS). Maafisa kutoka jamii hizo ndio wengi zaidi ambapo idadi ya Wakalenjin ni 5,723 wakifuatwa na Wakikuyu ambao ni 5,335 huku idadi ya maafisa kutoka jamii ya Wakamba ikiwa 3,278. Jamii ya Waluhya inashikilia

17 hours ago


UN cautious over DRC peacekeeper pullout

DRC president urged the pullout to begin by the end of this year, rather than December 2024 as planned.

17 hours ago


Mwanaspoti Sports
Gamondi, Skudu wana jambo lao!

KAMA wewe ni shabiki wa Yanga na ulikuwa unajiuliza kwanini winga kutoka Sauzi, Mahlatse ‘Skudu’ Makudubela hachezi licha ya kupona kutoka majeraha, basi kuna sapraizi mpya utakayokutana nayo, iwapo mchezaji huyo atapangwa kwenye pambano la marudiano la Ligi ya Mabingwa Afrika wikiendi hii.

17 hours ago


Taifa Leo General
Meneja wa benki ashtakiwa kwa wizi wa Sh66.9 milioni

NA RICHARD MUNGUTI MENEJA wa Family Bank ameshtakiwa kwa wizi wa Sh66.9 milioni. Elias Kinyua Njue alikana mbele ya hakimu mkazi Ben Mark Ekhubi kwamba aliibia benki hiyo Sh66,912,724 mnamo Agosti 3, 2023. Njue alikana aliiba pesa hizo kutoka makao makuu ya benki hiyo jijini Nairobi. Mshtakiwa alikana alichomoa pesa hizo alipokuwa anahusika na masuala

18 hours ago


Taifa Leo General
Kilio mwanamume aliyeenda kusomea Afrika Kusini akiuawa na wateja wake wa teksi

NA KASSIM ADINASI FAMILIA moja ya Muhanda, eneobunge la Gem inataka majibu baada ya kijana wao aliyeenda kusomea nchini Afrika Kusini kuaga dunia katika mazingira tata. Enock Wamare Hosea almaarufu ‘Blacky’ aliyekuwa na umri wa miaka 30, alikuwa akiishi mjini Cape Town nchini Afrika Kusini kwa miaka 11. Alikuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Cape Town

18 hours ago


US sanctions former Sudan minister

Karti was foreign minister from 2010 to 2015 in the government of now-deposed dictator Omar al-Bashir.

19 hours ago


Milard Ayo General
Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 29, 2023

Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania September 29. 2023,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.

19 hours ago


Taifa Leo General
Mshukiwa wa ulaghai wa Sim Card ajipeleka Safaricom na kitambulisho feki

NA LABAAN SHABAAN MSEMO wa siku ya nyani kufa miti yote huteleza uliafiki kabisa kwa tapeli aliyejipeleka mtegoni akanaswa papo hapo. Mwizi sugu wa kadi za laini za simu yaani  ‘sim cards’ amekamatwa na makachero wa Thika, Kaunti ya Kiambu akiwa katika harakati ya ukora wa kubadilisha sim card kwenye duka la kampuni ya mawasiliano ya Safaricom.

19 hours ago


Taifa Leo General
Bodaboda za stima zaanza kuwaniwa watumizi wakisema hazihitaji fundi kila wakati

NA FRIDAH OKACHI IDADI ya Wakenya ambao wamekumbatia matumizi ya pikipiki za umeme imeanza kuimarika kwa miezi michache iliyopita. Wauzaji wa pikipiki hapa jijini Nairobi, wanasema wamekuwa wakishuhudia ongezeko hilo kila uchao. Jimmy Tume ambaye ni mmiliki wa kampuni ya E-Worker Mobility na muuzaji wa pikipiki za umeme jijini Nairobi, anasema punde tu baada ya kuongezeka kwa

20 hours ago


Taifa Leo General
Mjane, 64, alivyokita katika ushonaji kofia kukabili upweke wa kufiwa na mumewe mapema

NA KALUME KAZUNGU NI taaluma aliyoipenda tangu akiwa binti mchanga wa umri wa miaka 20 pekee. Na sasa akiwa ajuza aliyetinga miaka 64, Bi Khadija Hakofa Dawa katu hafikirii kuiacha tasnia hiyo ambayo ameiweka mahali pema katika chemba cha moyo wake. Akidumu katika ushonaji wa kofia hizo za vito kwa miaka 44 sasa, Bi Hakofa

21 hours ago


Milard Ayo General
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 29, 2023

Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam September 29, 2023,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.

23 hours ago


Taifa Leo General
Aliyetaka kula tunda kwa nguvu ameomba msamaha akitaka turudiane

SHANGAZI; Kuna mwanamume aliyekuwa mpenzi wangu lakini nikamchukia na kumuacha alipotaka kunilazimisha tushiriki mahaba. Sasa amerudi kwangu akiomba turudiane. Nipe ushauri. Hatua ya mwanamume huyo ni ishara kuwa anakupenda kwa dhati na hataki kukupoteza. Kama bado unampenda, mkubali na umwelezee jinsi unavyotaka muendeshe uhusiano wenu. Miaka 15 sijapata mke, nimerogwa? Nilianza kutafuta mke nikiwa na

1 day ago


Taifa Leo General
‘Cherera 4’ waibuka wakishikilia kura ya 2022 haikuwa halali, mwaka mmoja baadaye

Na BENSON MATHEKA ALIYEKUWA mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Bw Wafula Chebukati na makamishna waliomuunga mkono alipotangaza matokeo ya kura ya urais mwaka uliopita, jana, walisusia kikao cha Kamati ya Mdahalo wa Kitaifa katika Bomas, wakisema wangesaliti wafanyakazi wa tume walioteswa na kuuawa wakiwa kazini. Hata hivyo, aliyekuwa naibu wake Juliana

1 day ago


Mwanaspoti Sports
Yanga, Simba zaonywa

KAMATI ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi Kuu Bara (TPLB), imetoa onyo kwa timu za Yanga na Simba huku Azam FC na Tabora zikitozwa fedha kwa kutokuzingatia kanuni. Yanga imepewa onyo hilo kwa kosa la kuwakilishwa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi pekee kwenye mkutano na wanahabari kuelekea mchezo na JKT Tanzania vivyo hivyo kwa Kocha Mkuu wa Simba, Roberto Oliveira 'Robertinho' kuwakilishwa nae kwenye mkutano na wanahabari katika mchezo na Coastal Union. "Klabu ya Simba imetozwa faini ya Sh1 milioni...

1 day ago


Mwanaspoti Sports
Fei Toto akata kilo sita Azam

KIUNGO fundi wa soka anayekipiga Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amekiri wakati anajiunga na timu hiyo alikuwa chibonge, lakini kwa sasa amejitahidi kupambana hadi kukata zaidi ya kilo sita na kujiona mwepesi na kuanza kurejesha makali aliyokuwa nayo enzi akiitumikia Yanga. Fei Toto amejiunga na Azam msimu huu baada ya kuuzwa kutoka Yanga aliyoifanyia mgomo tangu mwishoni mwa Desemba mwaka jana kabla ya Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati kwenye hafla ya kuipongeza timu hiyo ya Jangwani kwa kutinga...

1 day ago


Atmis army contributors back Somalia delay request

They however argued that the matter of funding must now be urgently addressed to providing certainty to their stay.

1 day ago


Taifa Leo General
Mtangazaji wa redio King Kalala: Nimepatana kimwili na wanaume 50

Na FRIDAH OKACHI Mwigizaji na mtangazaji wa redio Prudence Chepkirui Tonui almaarufu King Kalala, amesema kuwa idadi ya wanaumme ambao amepatana nao kimwili ni 50. King Kalala ni mzaliwa wa Eldoret na alisomea shule ya msingi na upili eneo hilo. Alijiunga na Chuo Kikuu cha JKUAT na kuacha kabla hajamaliza. Ni jambo analosema humkera kwa kukosa

1 day ago


Taifa Leo General
Tutapandisha hadhi ya CAF kwa kutendea haki maandalizi ya AFCON 2027, yasema BMT

MUHTASARI Mashindano makubwa ya soka barani Afrika kwa nchi za Afrika Mashariki kwa mara ya mwisho yalifanyika Tanzania ambayo yalikuwa ni yale ya Mataifa ya Afrika kwa chipukizi chini ya umri wa miaka 17 (AFCON U-17) 2019. Na MASHIRIKA MWENYEKITI wa Baraza la Taifa la Michezo Tanzania (BMT), Leodgar Tenga, amesema kuwa Shirikisho la Soka

1 day ago


Taifa Leo General
Wanaharakati washinikiza karani wa Bunge la Kaunti ya Nairobi ajiuzulu

NA WINNIE ONYANDO KIKUNDI cha Bunge la Mwananchi sasa kinamtaka karani wa Bunge la Kaunti ya Nairobi, Edward Gichana kujiuzulu kwa madai ya kuendeleza ufisadi. Kikundi hicho kikiongozwa na Francis Awino kinadai kuwa mabilioni ya fedha yametumika kwa njia isiyofaa chini ya karani huyo. Akirejelea ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa serikali wa kaunti mbalimbali mwaka

1 day ago


Taifa Leo General
Makanga kuzabwa faini ya Sh10,000 kwa kupiga kelele mjini Siaya

Na RUSHDIE OUDIA WAHUDUMU wa magari ya umma watakaopiga kelele katikati mwa mji wa Siaya sasa watalazimika kulipa faini ya Sh10,000. Magari ya umma pia yamemepigwa marufuku katikati mwa mji na yeyote atakayepatikana akikiuka sheria hiyo mpya atalazimika kulipa Sh50, 000. Kulingana na Mswada mpya wa Fedha wa Kaunti ya Siaya 2023, madereva na makanga

1 day ago


Taifa Leo General
Wakazi wa Rabai wapigwa kimaisha minazi ikikauka

NA ALEX KALAMA WAKAZI wa Rabai katika Kaunti ya Kilifi wamepigwa kimaisha baada ya minazi mingi kukauka msimu wa kiangazi kilichopita. Wakiongozwa na Mama Cathrine Luvuno kutoka Chang’ombe, wakazi hao wamesema kuwa viwango vya umaskini eneo hilo vimeongezeka kutokana na hali hiyo, ikikumbukwa kuwa mti wa mnazi huwa kitega uchumi kikubwa katika jamii hiyo ya

1 day ago


Mtanzania General
Pinda awaonya viongozi wanaosababisha migogoro ya mipaka

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Geophrey Pinda ameonya baadhi ya viongozi wanaosababisha migogoro ya ardhi ya mipaka isiyo na tija kwa Taifa. Pinda amesema hayo wakati Septemba 27, alipokutana na Watumishi wa Sekta ya Ardhi mkoa wa Tanga ambapo alibaini kuwa Wizara yake inatatua migogoro mingi

1 day ago


Mtanzania General
Nyumbu Fc, Polisi Tanzania hakuna mbabe

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Timu ya Soka ya Nyumbu ya mkoani Pwani inayojiandaa na ligi daraja la Pili imetoka sare ya goli 1-1 na timu ya Polisi Tanzania kwenye mchezo wa kirafiki uliofanyika kwenye uwanja wa Chuo Cha Polisi Kurasini Jijini Dar es Salaam. Timu ya Nyumbu huo ni mchezo wake wa pili wa

1 day ago


Mtanzania General
Nchi jirani ruksa kutumia Reli za Tanzania-Serikali

Na Mwandishi wetu, Mtanzania Digital Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Prof. Godius Kahyarara amesema kufutia mabadiliko ya Sheria katika Mashirika ya Reli hapa nchini hivi sasa kampuni binafsi na mashirika ya reli katika nchi jirani zitapata fursa ya kutumia Reli kusafirisha mizigo yao kupitia Tanzania na sehemu nyingine. Akizungumza Septemba 27, 2023 jijini Dar

1 day ago


Baba Levo 2 weeks ago  
Zuchu 1 week ago  
Zuchu 3 days ago  
Alikiba 3 weeks ago  
LadyJaydee 2 weeks ago  
YPrince Official 2 weeks ago  
Diamond Platnumz 2 weeks ago  
Lony Bway 4 weeks ago  
Burna Boy 1 week ago  
Diamond Platnumz 1 week ago  
Nandy - The African Princess 1 week ago  
Godfrey Steven 1 month ago  
Rayvanny 18 hours ago  
Obby Alpha 🏅 3 weeks ago  
kontawa 1 week ago  
Jay Melody 1 month ago  
Billnass 1 month ago  
Appy (Tz) 19 hours ago  
AbigailChamsVEVO 15 hours ago  
Taifa Leo General
Kidudu-mtu asambaza umbea kwa mke wa polo aliyekutana na ‘ex’ kisiri

NA JANET KAVUNGA MALINDI MJINI JOMBI wa hapa alijuta kukutana na mpenzi wake wa zamani, mkewe alipopata habari na kumfokea vikali. Jamaa alisema alikutana na ex wake katika mkahawa, wakasalimiana na kupiga gumzo huku wakiteremsha kikombe cha kahawa. Hata hivyo, kidudu-mtu alimuona na moja kwa moja akamrushia mkewe umbea, naye akachukua simu na kumtumia mumewe

1 day ago


Taifa Leo General
Hatubahatishi, tutaandaa AFCON ya kupigiwa mfano asema Ababu

Na CECIL ODONGO “Hatukupata haki ya kuandaa Kombe la Afrika 2027 kwa bahati. Tunastahili kwa sababu ombi letu lilisheheni mengi ambalo litafanikisha kipute hicho,” Haya ndiyo yalikuwa maneno ya Waziri wa Michezo Ababu Namwamba hapo jana baada ya kurejea nchini kutoka Cairo Misri ambapo mkutano wa Baraza la Kuu la CAF, uliipa Kenya, Tanzania na

1 day ago


Kagame makes key cabinet changes

Scholars say the reshuffle at the Ministry of Foreign Affairs illustrates a major policy shift in Rwanda's regional policy.

1 day ago


Mtanzania General
DMI yaingia makubaliano na Chuo cha Korea Kusini

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Mkuu wa Chuo cha Bahari Dar es Salaama (DMI), Dk. Tumaini Gurumo amesema chuo hicho  kimeingia makubaliano ya miaka mitano ya kubadilishana uzoefu wa elimu ya Ubaharia na Ujenzi wa Meli na Chuo cha Korea Institute of Maritime and Fisheries Technology ambayo yatawezesha kunufaisha  pande zote mbili za vyuo hivyo

1 day ago


Mwanaspoti Sports
Mfaume Mfaume apata ajali Singida

Bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Mfaume Mfaume 'Mapafu ya Mbwa' amenusurika kifo katika ajali iliyotokea jana mkoani Singida ikihusisha gari yake ilioharibika vibaya. Kwa mujibu wa Msemaji wa kambi ya Team Naccoz, Feiz amesema kuwa ajali hiyo imetokea jana na wote wametoka salama. Ajali hiyo imemuhusisha Mfaume na baadhi ya ndugu zake ambao walikuwa wakielekea Singida katika jambo la kifamilia pamoja na kwenda Mwanza kumsapoti mmoja kati ya mabondia wa Team Naccoz anayetarajia kupigana kesho Ijumaa kwenye pambano la...

1 day ago


Taifa Leo General
Jamii ya wafugaji Lamu yadai vita dhidi ya ugaidi vinailenga bila ushahidi

NA KALUME KAZUNGU JAMII ya wafugaji katika Kaunti ya Lamu sasa inadai kwamba idara ya usalama eneo hilo inawalenga katika vita dhidi ya ugaidi. Hii ni kufuatia visa vya kujirudiarudia vya wafugaji kupotezwa katika hali tatanishi na watu wanaoadaiwa kuwa ni maafisa wa usalama. Kisa cha hivi punde zaidi cha mfugaji kutoweka asijulikane aliko ni

1 day ago


Taifa Leo General
WAMEMKALIA CHAPATI? Madiwani waendelea kumkalia ngumu Sakaja

NA WINNIE ONYANDO SERIKALI ya Kaunti ya Nairobi inayoongozwa na Gavana Johnson Sakaja itaendelea kuumia zaidi baada ya madiwani kutaka muda wa ushirikishi wa umma kuhusu Mswada wa Fedha 2023 kuongezwa kwa kipindi cha mwezi mmoja. Madiwani hao wanasema kuwa muda huo utawawezesha wakazi wa Nairobi kuelewa mswada huo wa fedha kabla haujapitishwa na bunge

1 day ago


Taifa Leo General
Jirani asimulia jinsi alivyompata Assad Khan akiwa hoi kwa kuvuja damu nyingi

NA RICHARD MUNGUTI SHAHIDI Francis Gitonga aliyejitolea kumpeleka dereva wa Safari Rally Assad Khan katika Nairobi Hospital, ameambia Mahakama Kuu mnamo Alhamisi kwamba alimpata akiwa hoi kwa kuvuja damu nyingi. Alisema hayo wakati wa kusikilizwa kwa kesi dhidi ya dereva Maxine Wahome, mrembo aliyekuwa akiishi na Khan na ambaye ndiye mshukiwa mkuu wa mauaji hayo.

1 day ago


Mwanaspoti Sports
Timu ya Nyumbu yapiga mbili za kirafiki, yatoka 1-1 na Mashujaa

Dar es Salaam. Timu ya soka ya Nyumbu ya mkoani Pwani inayojiandaa na Ligi Daraja la Pili imetoka sare ya bao 1-1 dhidi ya timu ya Polisi Tanzania kwenye mchezo wa kirafiki uliofanyika Uwanja wa Chuo cha Polisi Kurasini jijini Dar es Salaam. Timu ya Nyumbu huo ni mchezo wake wa pili wa kujipima nguvu uliochezwa jana Jumatano ukitanguliwa na uliochezwa juzi Jumanne na timu ya Mashujaa ya mkoani Kigoma inashiriki ligi Kuu Tanzania Bara na kutoka sare ya 1-1...

1 day ago


Peruzzi