International Highlights Show All 
Mwanaspoti Sports

Mwenyekiti Soka la Wanawake Mbeya afariki dunia

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Soka la Wanawake Mkoa wa Mbeya (MWFA), Atupakisye Jabir, amefariki dunia leo Aprili 3, 2025 wakati akipatiwa matibabu kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar...

5 hours ago


The Citizen General

ZRA exceeds collection target for third quarter

ZRA has reported a remarkable Sh238.746 billion in collections for the third quarter of the 2024/25 financial year, surpassing its target by 100.06 percent.

7 hours ago


Mtanzania Business

Serikali itaendelea kuboresha mazingira ya uwekezaji- Majaliwa

Na Mwandishi Wetu Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali itaendelea kufanya maboresho zaidi ya mazingira ya biashara na uwekezaji ili kuifanya Tanzania iendelee kuwa sehemu salama zaidi ya uwekezaji. Majaliwa...

7 hours ago


Mwanaspoti Sports

Sillah, Saadun wailiza KenGold, Taoussi achekelea

Harakati za kujinasua mkiani kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara zimeendelea kuwa ngumu kwa KenGold baada ya kukumbana na kipigo cha mabao 2-0 dhidi ya Azam FC. Katika mchezo wa...

7 hours ago


Taifa Leo News

Naibu Gavana aonya wakazi Lamu ikilengwa na mashoga na wasagaji

NAIBU Gavana wa Lamu, Bw Mbarak Bahjaj amewataka wananchi kuwa macho, akidai kuwepo kwa shinikizo za eneo hilo kuingizwa kwenye ushoga na usagaji (LGBTQ+). Akizungumza mjini Lamu wakati wa kongamano...

7 hours ago



Habari Leo News

Watatu wa familia moja wafariki kwa ajali Chato

WATU watatu wa familia moja wamefariki dunia kwenye ajali ya gari iliyotokea katika barabara ya Mganza-Chato eneo la… The post Watatu wa familia moja wafariki kwa ajali Chato appeared first...

8 hours ago


Habari Leo General

‘Bulldozer’ lagonga nyumba na kujeruhi watano Geita

WATU watano wamejuruhiwa baada ya mtambo (Bulldozer) mali ya mgodi wa Bucreef kuacha njia na kugonga nyumba za… The post ‘Bulldozer’ lagonga nyumba na kujeruhi watano Geita appeared first on...

8 hours ago


Taifa Leo News

Maafisa wa Gavana Wavinya Ndeti wakamatwa na EACC

MAAFISA wa Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC), Alhamisi, Aprili 3, 2025 walivamia afisi kadhaa katika Kaunti ya Machakos, na kuondoka na stakabadhi. Uvamizi huo, ulisababisha mvutano huku...

8 hours ago


Taifa Leo News

Shemejiye Trump kuzuru Kenya na Maziwa Makuu

MASSAD Boulos, mshauri mpya wa masuala ya Afrika katika Wizara ya Masuala ya Kigeni nchini Amerika atazuru Kenya wiki hii. Bw Boulos ni babake Michael Boulos ambaye ni mumewe Bi...

8 hours ago


Load More...

Job Vacancies





Entertainment